Hapo na humo kwenye treni kulikuwa na Wanajeshi wengi mnoo siku ya Independence Day. Mlikuwa mna sifu kuwa ameshindwa kuzuia sherehe. Wanajeshi zaidi ya 200 walikata moto hapo.Mrusi anapiga chochote, target is zero !! cheki alivyoharibu eneo la station na majumba ya watu juzi !! Putin utakufwaa vibaya weweee !!
View attachment 2335358
View attachment 2335360
Kwa hiyo ameua wanajeshi wasio vitani?Hapo na humo kwenye treni kulikuwa na Wanajeshi wengi mnoo siku ya Independence Day. Mlikuwa mna sifu kuwa ameshindwa kuzuia sherehe. Wanajeshi zaidi ya 200 walikata moto hapo.
Upupu mtupu idadi hiyo hata kwenye stock ya Ukraine hakua nayo ,shule zifunguliwe mrud tuu huko maana mnatuchafulia jukwaaKwa Mwendo huu. Huyo msanii atoroke tu. Kyiv ina enda Russia.
Kwa hiyo unamsifia Putin kuua Raia wakiwa kwenye sherehe ya uhuru wao ?Hapo na humo kwenye treni kulikuwa na Wanajeshi wengi mnoo siku ya Independence Day. Mlikuwa mna sifu kuwa ameshindwa kuzuia sherehe. Wanajeshi zaidi ya 200 walikata moto hapo.
Ni kipigo heavy,mpaka akina Jesus molokozi wamelikimbia jukwaa kwa aibu [emoji2]Takataka ya mrusi anayoita drone zimepukutishwa [emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2335573
Siyo na msifu. Nampongeza kwa ku ua wanajeshi wa Ukraine, (ndio audui, na ndio walengwa wa vita hii) wanao tumia Mabomu na Sumu zilizo zuiwa. Raia wanapewa Humanitarian Aid na Russia. Na Uraia juu. Wana jengewa nyumba na ulinzi bure. Huyo msanii kaona vivu kaanzisha kifungo miaka 15 jela kupokea msaada wa ki binadamu kutoka Urusi.Kwa hiyo unamsifia Putin kuua Raia wakiwa kwenye sherehe ya uhuru wao ?
Toa hoja za maana. Mambo ya Elimu weka pembeni Coz, najua Elimu yangu una unganisha ww , mkeo na Mzee wako na msifikie bado.Upupu mtupu idadi hiyo hata kwenye stock ya Ukraine hakua nayo ,shule zifunguliwe mrud tuu huko maana mnatuchafulia jukwaa
Hahahaha kama nakuonaToa hoja za maana. Mambo ya Elimu weka pembeni Coz, najua Elimu yangu una unganisha ww , mkeo na Mzee wako na msifikie bado.
Screen shoot Part ya cheti cha Elimu yako ya juu na mm ni screen shoot part of it.Hahahaha kama nakuona
La 7 ,chet hatukupewa mkuuScreen shoot Part ya cheti cha Elimu yako ya juu na mm ni screen shoot part of it.
Sawa mkuu. Tuendelee na Ukraine vs Russia kwa Amani.La 7 ,chet hatukupewa mkuu
Mwambie ataje majina yake tu vingine vyote tutavipata mpaka kilipofukiwa kitovu chakeScreen shoot Part ya cheti cha Elimu yako ya juu na mm ni screen shoot part of it.
Nchi ikiwa vitani wanajeshi wapo vitani hakuna likizo kuna mambo mengi wanafanya kusaidia jeshiKwa hiyo ameua wanajeshi wasio vitani?
Ukraine amekula vimondo vya maana leo πππKwe huu uzi kuna LINK ya blue mwanzoni umeisoma lakini mkuu?πππ
Imeandikwa "MASHAMBULIZI YA MAKOMBORA"
Mwamposa+chidy sio mbayaLile daraja la antonvisky huko khersan limepigwa cha ajabu halijaanguka Hapa Ukraine inahitaji msaada wa mwamposa
[emoji849]Ndo kitu pekee maana hawa jamaa wana matusi