D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
🤣 🤣🤣[emoji849]View attachment 2335709
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lile daraja la antonvisky huko khersan limepigwa cha ajabu halijaanguka Hapa Ukraine inahitaji msaada wa mwamposa
Wengi wamepotea humu mwingine anaitwa ELUNGATA nimemis nondo zakeAsee kulikuwaga na mdau maarufu sana kwenye jukwaa la international anaitwa ze kokuyo
Sijui yuko wapi huyu mdau
Sio video game?Jamaa wanasubiri amri ya kuingia Mykolayiv
Sister kipanya!! Hivi huoni aibu unavyotoa hizo youtube video zako! Yaani hadi huo nakushangaa mno.. ebu kuwa makini baas hata kidogo. Tumia akili yako kidogo bhana unaibishwa wanawake wenzio lolWengi wamepotea humu mwingine anaitwa ELUNGATA nimemis nondo zake
Hao jamaa zenu kwa midomo tu huwa hawajambo mwingine alisema Crimea ikiguswa ndio itakuwa judgement day lakin imepigwa kaufyata mkia. Waache maneno kama wanawake wa kizaramo.Raisi wa Belarus leo ametoa onyo la kutetemesha kuwa jeshi lake la anga limezitengeneza ndege zake za kivita aina ya Sukhoi ambazo sasa zina uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia na kwamba nchi hiyo ipo tayari kujibu mapigo kutoka kwa nchi yoyote itayoishambulia.
Ndege hizo za kirusi za SU-24 zimefanyiwa marekebisho baada ya makubalino na raisi wa Russia Vladmir Putin.
Belarus haina silaha za nyuklia lakini ni mshirika mkubwa wa Russia na Minks ndipo palikuwa kianzio cha operesheni maalum ya majeshi ya Russia tarehe 24 Februari mwaka huu.
Raisi Lukashenko alikuwa alizungumza na wanahabari wa shirika la habari la Belarus la Belta mjini Minsk leo mchana.
Lukashenko aliendelea kusema kuwa "wao" (nchi za magharibi) watambue kuwa wakichagua vita si ndege wala helikopta zitawaokoa. aliendelea na tishio hilo lenye kuogofya kwamba "si vizuri kuendeleza vita (escalation) lakini wakilinzisha basi hilo itakuwa ni vita kati ya umoja wa Belarus na Russia na wakianzisha matatizo majibu yatakuwa ni papo kwa papo".
MINSK, 26 August
(BelTA) – Belarus is ready to instantly respond to threats of the West, BelTA learned from Belarus President Aleksandr Lukashenko.
The United States of America continues unloading military hardware as part of Operation Atlantic Resolve. Then helicopters and the hardware will be redeployed, including to Eastern Europe countries.
Aleksandr Lukashenko said: “They have to understand that no helicopters or aircraft will save them if they decide to aggravate the situation. Putin and I once said in St Petersburg that we will refit Belarusian Sukhoi aircraft among other things so that they could carry nuclear weapons. Do you think we talk nonsense? Everything is ready! This is why may they bring it.”
Aleksandr Lukashenko went on saying: “They should think about it. I'd warned them: if god forbid some serious provocation against Belarus happens, our targets have been locked in. Decision-making centers. We know them. I don't threaten anyone. This is why you don't have to worry.
They keep an eye on us while we keep an eye on them. I should honestly say that they are not whipping up tensions at the border right now. Not everyone in Poland is a madman after all: [Poland President Andrzej] Duda may have gone crazy but the military are no fools, they understand what the response may be. They've built this wall. Now they can see that it offers no protection against migrants.
A migrant needs three minutes to get past the wall. Why did they invest in it? We guessed it right: graft and corruption. They pocketed some money and spent some on building the wall. A useless endeavor. But the military understand perfectly well: relations with Belarus must not be aggravated because it also means aggravating relations with the Union State of Belarus and Russia that has nuclear weapons. If they start making problems, Belarus may be worse off but the answer will be instantaneous.”
Chanzo: Belta News.
Hapana dada yangu anayeleta video za YouTube ni jamaa mmoja anaitwa VUNJOSister kipanya!! Hivi huoni aibu unavyotoa hizo youtube video zako! Yaani hadi huo nakushangaa mno.. ebu kuwa makini baas hata kidogo. Tumia akili yako kidogo bhana unaibishwa wanawake wenzio lol
Duh,usinikumbusheHao jamaa zenu kwa midomo tu huwa hawajambo mwingine alisema Crimea ikiguswa ndio itakuwa judgement day lakin imepigwa kaufyata mkia. Waache maneno kama wanawake wa kizaramo.
Sasa ka belarus katamtisha nani?
Mh kwani ni binti?Sister kipanya!! Hivi huoni aibu unavyotoa hizo youtube video zako! Yaani hadi huo nakushangaa mno.. ebu kuwa makini baas hata kidogo. Tumia akili yako kidogo bhana unaibishwa wanawake wenzio lol
According to BBC na CNN.Silaha ya kisovieti kiongozi balaa, unalenga Kigamboni kitu kinatua Mbagala - 😀 😀 😀
Raisi wa Belarus leo ametoa onyo la kutetemesha kuwa jeshi lake la anga limezitengeneza ndege zake za kivita aina ya Sukhoi ambazo sasa zina uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia na kwamba nchi hiyo ipo tayari kujibu mapigo kutoka kwa nchi yoyote itayoishambulia.
Ndege hizo za kirusi za SU-24 zimefanyiwa marekebisho baada ya makubalino na raisi wa Russia Vladmir Putin.
Belarus haina silaha za nyuklia lakini ni mshirika mkubwa wa Russia na Minks ndipo palikuwa kianzio cha operesheni maalum ya majeshi ya Russia tarehe 24 Februari mwaka huu.
Raisi Lukashenko alikuwa alizungumza na wanahabari wa shirika la habari la Belarus la Belta mjini Minsk leo mchana.
Lukashenko aliendelea kusema kuwa "wao" (nchi za magharibi) watambue kuwa wakichagua vita si ndege wala helikopta zitawaokoa. aliendelea na tishio hilo lenye kuogofya kwamba "si vizuri kuendeleza vita (escalation) lakini wakilinzisha basi hilo itakuwa ni vita kati ya umoja wa Belarus na Russia na wakianzisha matatizo majibu yatakuwa ni papo kwa papo".
MINSK, 26 August
(BelTA) – Belarus is ready to instantly respond to threats of the West, BelTA learned from Belarus President Aleksandr Lukashenko.
The United States of America continues unloading military hardware as part of Operation Atlantic Resolve. Then helicopters and the hardware will be redeployed, including to Eastern Europe countries.
Aleksandr Lukashenko said: “They have to understand that no helicopters or aircraft will save them if they decide to aggravate the situation. Putin and I once said in St Petersburg that we will refit Belarusian Sukhoi aircraft among other things so that they could carry nuclear weapons. Do you think we talk nonsense? Everything is ready! This is why may they bring it.”
Aleksandr Lukashenko went on saying: “They should think about it. I'd warned them: if god forbid some serious provocation against Belarus happens, our targets have been locked in. Decision-making centers. We know them. I don't threaten anyone. This is why you don't have to worry.
They keep an eye on us while we keep an eye on them. I should honestly say that they are not whipping up tensions at the border right now. Not everyone in Poland is a madman after all: [Poland President Andrzej] Duda may have gone crazy but the military are no fools, they understand what the response may be. They've built this wall. Now they can see that it offers no protection against migrants.
A migrant needs three minutes to get past the wall. Why did they invest in it? We guessed it right: graft and corruption. They pocketed some money and spent some on building the wall. A useless endeavor. But the military understand perfectly well: relations with Belarus must not be aggravated because it also means aggravating relations with the Union State of Belarus and Russia that has nuclear weapons. If they start making problems, Belarus may be worse off but the answer will be instantaneous.”
Chanzo: Belta News.
Da swali la kijinga sana hili.Kwa hiyo ameua wanajeshi wasio vitani?