Nimesema tangu awali,Russia kushinda hii vita wala siyo ajabu,cha ajabu ni Underdog ( Ukraine) kutoa upinzani mkali kulingana na nguvu za kijeshi za pande zote mbili.Credit lazima iende kwa Underdog Ukraine.hio iko wazi km urusi itaendeleza mashambulizi yake basi ukraine itaanguka tu pengien ht wiki 3 zisifike, anayepinga hilo yuko nje ya uhalisia, kwanza mpk sasa wamejitahidi wengi walijua watakimbia km wale wa afghanstan ila kwa wao kusimama na kupigana ndio kumewshangaza wengi, nadhan ht russia wenyew walijua jamaa watasalenda then mengine yafuate ila imekua tofauti pengine ndio maana wapo slow labda wanachanga karata na upya maana vita watashinda ila wanahitaji political cover kitu ambacho hakijawaendea vzuri mpk sasa
macron anatafuta credit za kuwin uchaguzi, ila kwa politicians wa ulaya ye amejitahidi sana kuwa diplomatic mpk sasa hawa wengine putin anaona wanamvurugaUfaransa wanaenda kwa upole sana.
BREAKING: Putin and Macron had 90 minute phone call earlier today
hahaha dunia inamwangaikia huyu underdog punzi isije ikakata mzozo utakuwa mkubwa zaidiNimesema tangu awali,Russia kushinda hii vita wala siyo ajabu,cha ajabu ni Underdog ( Ukraine) kutoa upinzani mkali kulingana na nguvu za kijeshi za pande zote mbili.Credit lazima iende kwa Underdog Ukraine.
Wazee wa kyiv inakuwa majivu muda mfupi ujao,au deadline ni 2nd MarchWake team russia nawauliza mizinga bado haijafika kiev ,so mlisema hadi leo kiev itakuwa majivu
mbaya zaidi hakunaga ukweli wala uongo kwe siasa za hawa mabwana na urusi, ukweli unaweza kuwa uwongo na kinyume chake, maslahi mbeleMacron yuko poa sana, sema anaogopa kusema ukweli anajua kila kitu
Underdog si wa mchezo kamtikisa mbabe hadi akapanic na kutishia Nuklia,hahaha dunia inamwangaikia huyu underdog punzi isije ikakata mzozo utakuwa mkubwa zaidi
Vita ya sasa haitumii nguvu ni akili na silaha nzur"Chechen special forces under the leadership of Commander Hussein Mezhidov continue to develop successes in offensive operations against Bandera. At the mere appearance of our fighters, entire regiments of Nazis rush to their heels, if they have time, of course," Kadyrov writes.
The footage shows a military unit of the Armed Forces of Ukraine captured by the Chechens.
View attachment 2137520
haha nyie mnaleta masikhara dunia inaweza ingia hatarini hivihiviWazee wa kyiv inakuwa majivu muda mfupi ujao,au deadline ni 2nd March
ukijumlisha silaha, akili na vinginevyo ndo unapata hio nguvuVita ya sasa haitumii nguvu ni akili na silaha nzur
Hahaha jamaa labda walichanganya Kiev na Kivu !!!!!!!!Wazee wa kyiv inakuwa majivu muda mfupi ujao,au deadline ni 2nd March
hio iko wazi km urusi itaendeleza mashambulizi yake basi ukraine itaanguka tu pengien ht wiki 3 zisifike, anayepinga hilo yuko nje ya uhalisia, kwanza mpk sasa wamejitahidi wengi walijua watakimbia km wale wa afghanstan ila kwa wao kusimama na kupigana ndio kumewshangaza wengi, nadhan ht russia wenyew walijua jamaa watasalenda then mengine yafuate ila imekua tofauti pengine ndio maana wapo slow labda wanachanga karata na upya maana vita watashinda ila wanahitaji political cover kitu ambacho hakijawaendea vzuri mpk sasa
sijajua mantiki ya swali lako, chief. Rudia tena.Duh!! Kumbe ufaransa siku hizi wanaongea kiswahili!?