LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ndugu zangu warusi wa Katerero vip mmeshaa fanikiwa kuingi kiev ama bado tuendelee kusikilizia maan siku zimekwenda kweli kweli ndugu zangu team Putin mbona kama mmelala mbele sion tena zile hoja zenu zenye tambo za ajabu vip mpaka sasa katika hii vita mliyoianzisha mmefanikiwa kuteka nini caha maana kwa Ukrain?

Ivi bado kuna mRusi wa Namtumbi aanayemuamini yule jamaa muongo muongo bwana Putin na Russia yake ivi kuna mtu kweli anaamini kuwa Urusi ina nguvu za kijeshi kama alivyokuwa akijatapa apo awali

Aisee nawahitaji sawa warusi wa kongwa mje apa ntupe update ya miji mlioyteka mpaka sasa toka Ukrain
Ni vita ya wapi iyo ambayo nchi zilipigana alafu mji mkuu ukawa wa kwanza kuchukulia.mji mkuu ndo kila kitu ndugu silaa zote uwekwa pale sasa usitegemee kiwepesi tu uchukue mji mkuu.

Urusi ni taifa kubwa sana tena zaidi ya sana.angekuwa USA angekuja na full suport kutoka kila sehem kwa jinsi alivyokuwa muoga.angeomba jeshi la Nato, canada,mexico, finland, na mataifa mengine mpaka africa angeomba suport.
 
Nimekosa hamu ya kufuatilia huu uzi baada ya timu yangu THE BLUES kuwekwa sokoni.
Kwahiyo Abramovich kasurrender pia,ukweli hivi vikwazo Wafanyabiashara wakubwa wa Russia vinawaumiza sana.Wametengenezewa mazingira yatakuwa magumu sana kwao kibiashara,PR zao zinaharibiwa kirahisi tu hasa wale marafiki wa Putin.
 
aleti......

warusi wanateketea na ukraine wanazidi kuwakimbiza,pia tunaalifiwa kuwa mji wa moscow umeshavamiwa na ukraine,vita hii ni ya kijana daudi ambaye ukraine na goliyati urusi,ukraine anazidi kuiteketeza moscow muda huu
Wenzako wanaenda google search kupata taarifa, wewe umepotea njia umeenda google acount
 
Head of the National Defense Control Center of the Russian Federation Mikhail Mizintsev:

- The Russian Federation evacuated more than 142.5 thousand people from the special operation zone, including 39,661 children.

- The Russian side has created all the necessary conditions for a safe evacuation from Ukraine.

- Ukrainian nationalists are preventing the evacuation of more than six thousand citizens of India, Vietnam and China from Kharkov.

— At checkpoints in the Belgorod region, there are 130 buses ready to take Indian students and other foreigners out of Kharkiv and Sumy.

- A catastrophic situation in the humanitarian field is developing almost on the entire territory of Ukraine.

“More than 300 tons of essential items will be handed over today during 14 humanitarian actions in Kherson, Sumy and Kharkiv regions.

View attachment 2137392
Mbona kama wanatoa Raia wote hapo Ukraine
 
Hata hela atakazopewa baada ya kuuzwa zinaweza pigwa Pini na hamna kitu atafanya
Nilisoma hapa hapa kuwa anataka ziende kwa Wahanga wa Vita Ukraine,sijui anawaonaje walioamua kupiga vikwazo.Yeye apambane kuokoa biashara zake maana keshanasibishwa na Putin na uwezo wa kumkana hana.
 
aleti......

warusi wanateketea na ukraine wanazidi kuwakimbiza,pia tunaalifiwa kuwa mji wa moscow umeshavamiwa na ukraine,vita hii ni ya kijana daudi ambaye ukraine na goliyati urusi,ukraine anazidi kuiteketeza moscow muda huu
Siku hizi umebadilisha pusha nini?
 
Mzo
Kwahiyo Abramovich kasurrender pia,ukweli hivi vikwazo Wafanyabiashara wakubwa wa Russia vinawaumiza sana.Wametengenezewa mazingira yatakuwa magumu sana kwao kibiashara,PR zao zinaharibiwa kirahisi tu hasa wale marafiki wa Putin.
Mzozo ukiisha wanakuwa na ukwasi wa kutisha iyo club itauzwa pesa zinaenda Ukraine kusaidia
 
Head of the National Defense Control Center of the Russian Federation Mikhail Mizintsev:

- The Russian Federation evacuated more than 142.5 thousand people from the special operation zone, including 39,661 children.

- The Russian side has created all the necessary conditions for a safe evacuation from Ukraine.

- Ukrainian nationalists are preventing the evacuation of more than six thousand citizens of India, Vietnam and China from Kharkov.

— At checkpoints in the Belgorod region, there are 130 buses ready to take Indian students and other foreigners out of Kharkiv and Sumy.

- A catastrophic situation in the humanitarian field is developing almost on the entire territory of Ukraine.

“More than 300 tons of essential items will be handed over today during 14 humanitarian actions in Kherson, Sumy and Kharkiv regions.

View attachment 2137392

Ingekua NATO Ndio imepiga pale hiyo roho was ingekua nayo jamaa kama mashetani wale,,,walivyoifanya Syria,Iraq,Yemen,Libya Yan hawatoi Hata warnings wao wanaangusha mabom yao Kwenye makazi ya watu kuwe na raia kusiwe hawajali sasa hiv ndio hashtag zao zakinafki #Nowar ile kwa wengine sawa pumbavu!
 
Ona hili nalo
aleti......

warusi wanateketea na ukraine wanazidi kuwakimbiza,pia tunaalifiwa kuwa mji wa moscow umeshavamiwa na ukraine,vita hii ni ya kijana daudi ambaye ukraine na goliyati urusi,ukraine anazidi kuiteketeza moscow muda huu
Ona hili nalo
 
Russia planning own international sporting events after ‘unacceptable’ sanctions – minister​

Russia planning own international sporting events after ‘unacceptable’ sanctions – minister
Russian Sports Minister Oleg Matytsin has condemned efforts to cut off the country
Russia planning own international sporting events after ‘unacceptable’ sanctions – minister

Russian Sports Minister Oleg Matytsin. © Paola Visone / Pacific Press / LightRocket via Getty Images
Russian Sports Minister Oleg Matytsin has said the country is not isolated despite a series of “unacceptable” sanctions from various federations, and that officials would work on developing competitions in Russia which invite international athletes.
Russia was hit was another sporting ban on Thursday when the International Paralympic Committee (IPC) announced that Russian and Belarusian athletes would be barred from the 2022 Beijing Winter Games, despite clearing them to compete as neutrals just one day previously.
The IPC had resisted an earlier recommendation from the International Olympic Committee (IOC) to bar all Russian and Belarusian athletes from global competitions, but relented after coming under the threat of boycotts from rival nations while also citing the “influence of governments” as it announced the ban.
Russia lashes out at ‘illegal’ Beijing Paralympics banREAD MORE: Russia lashes out at ‘illegal’ Beijing Paralympics ban
Hitting back, Russian Sports Minister Matytsin said Russia was not fully isolated despite the best efforts of some federations.
“In the near future, a program will be developed for a system of competitions on the territory of the Russian Federation with the participation of the maximum number of foreign athletes,” said Matytsin, according to TASS.
“First of all, Belarusian athletes, [and] a system of competitions with the CIS [Commonwealth of Independent States], SOC [Shanghai Cooperation Organization], and BRICS [Brazil, Russia, India, China, South Africa].
“We are not isolated, we continue contact with international federations. We hope that these are temporary measures and that reason will prevail, and the entire international community will understand that the split that is happening now is unacceptable.
“Sport should act as one of the conductors of diplomacy and the restoration of human values,”
Matytsin added.
‘I’m proud to be Russian,’ says football star after being targeted by Ukraine playersREAD MORE: ‘I’m proud to be Russian,’ says football star after being targeted by Ukraine players
Elsewhere, the Russian Olympic Committee (ROC) issued its response to the recent swathe of sporting sanctions, stressing that the bans “grossly violate the principles of the International Olympic Movement.”
“Russian athletes are discriminated against on the basis of nationality and citizenship… Paradoxically, the IOC, in its decision of February 28, 2022, explicitly stated that the punishment of innocent athletes is unfair and that the IOC allegedly stands for fair competition without any discrimination,”
the statement read.
“As a result of the decisions taken, thousands of Russian athletes are currently deprived of the opportunity to participate in international competitions simply because they are citizens of the Russian Federation.”
The ROC’s Athletes’ Commission has gone as far as to call the anti-Russian sanctions a “sporting genocide” against sportsmen and women from the country.
READ MORE: ‘Sports genocide’ being waged against Russian athletes, says union

BREAKING: Putin and Macron had 90 minute phone call earlier today
 
Rais wa Ufaransa amelipongeza jeshi la Ukraine ila ameonya ya kwamba halitaweza kuhimili nguvu ya Urusi ndani ya siku chache zijazo.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app

UFARANSA :, Rais wa Ufaransa amelipongeza jeshi la Ukraine ila ameonya ya kwamba halitaweza kuhimili nguvu ya Urusi ndani ya siku chache zijazo.

ZIRO BRAINS :, teh teh teh👍👍😂😂 Ufaransa amekili kuwa Ukraine haitaweza kuzuia majeshi ya Urusi. Urusi ina nguvu, nashangaa humu Jf wanapinga nguvu ya Urusi.

UFARANSA :, askari kadhaa wa Urusi wameuawa na wengine kutekwa na majeshi Ukraine.

ZIRO BRAINS :, propaganda za magharibi, waongo wakubwa. mimi siku hizi sifuatilii habari za media za Westerns.
 
Duh!! Kumbe ufaransa siku hizi wanaongea kiswahili!?
 
Back
Top Bottom