Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Welcome multipolarityView attachment 2340977
Countries participating in Vostok 2022 Strategic Command Post Exercise:
[emoji635] Russia
[emoji1039] Azerbaijan
[emoji1026] Algeria
[emoji1034] Armenia
[emoji1044] Belarus
[emoji1128] India
[emoji1138] Kazakhstan
[emoji1143] Kyrgyzstan
[emoji630] China
[emoji1144] Laos
[emoji1170] Mongolia
[emoji1182] Nicaragua
[emoji1238] Syria
[emoji1240] Tajikistan
#Vostok2022 @mod_russia_en
Ndugu naomba nitofautiane na wewe kwenye hili. Kama kweli intelligence ya Urusi ingekua makini sana tusengeshuhudia urusi kupiga mabomu shule.Siwasemi vibaya lakini baadhi yenu uelewa wenu wa mambo ni dismal kabisa, am sorry kulitamka hilo - kuna mambo mengi tunayafahamu lakini huwa hatuyasemi for some reasons - kuna baadhi ya members ambao ni knowlageable kweli kwenye mambo fulani lakini badala ya kuwasikiliza na kujifunza kitu nyinyi mnawabeza beza tuu bila ya kuleta maoni mbadala yenye tija, hilo la kwanza.
La pili, sasa turudi kwenye mada - unaibeza Urusi kufanyiwa hujuma mara kwa mara as if haina itellijensia ya kutosha - oh, is it? Sasa nikuhoji hivi ilikuwaje taifa linalo jinasibu kuwa na intelijensia ya kufa mtu linazidiwa akili/kete na vijana karibu kumi kutoka Saudi Arabia na Misri wanapita kwenye airports zinazolindwa 24x7 na high tech survaillance systems wanapanda ndege za abiria tatu tofauti kwa muda tofauti, wanaziteka zikiwa angani wanaingia kwenye cockpit wanawafunga kamba marubani na wao kukalia kiti cha rubani na kugeuza ndege kwenda kuzibamiza kwenye critical targets walizo panga kuzishambulia tangu hawali, namely: NY trade center, Pentagon pamoja na Ikulu ya Merikani, malengo yao yalifanikiwa hisipo kuwa kuishambulia Ikulu ambayo kwa bahati nzuri abiria waliwawahi watekaji kwa kupigana nao kabla ndege haijafika anga la Ikulu, katika purukushani ndege ika anguka ghafla kabla haijafikia target.
Wewe unawabeza Warusi, hivi ilikuwaje tena Taifa la Amerika linalo jivunia ulinzi mkali wa: (anga, majini na nchi kavu, intelijensia za Kimungu Mungu, ground breaking silaha, jeshi imara - ilikuwaje vijana wa kiarabu wakafanikiwa kuzunguka na ndege za abiria kwa masaa huku abiria walipiga simu kuwaeleza ndugu na jamaa zao kinacho endelea ndani ya ndege ,lakini waongoza ndege aridhini hawajui wala kuona kwenye rada zao wapi zinaelekea, kumbe vijana wa kiarabu walizima transponder za ndege, je, air defense system zilifanya nini baada ya ndege ya kwanza kubamizwa kwenye jengo, baada ya dakika kadhaa ndege nyingine ikabamizwa kwenye wing lingine la jengo majengo hayo tasa - mbona USAF ilishindwa kidhibiti ndege ya pili, Cha aibu zaidi na kushambuliwa kwa makao makuu wa wizara ya ulinzi ya Merikani, nani ange amini kwamba makao makuu ya jeshi la Kimungu Mungu lingeweza kushambuliwa kirahisi kivile, one of the Pentagon wing ilishambuliwa na wafanya kazi wa Wizara kupoteza maisha,je,ili ni jambo la kawaida kweli - yaani moyo wa Taifa la Merikani linashambuliwa kirahisi!! Ikulu iliponea chupu chupu, bahati nzuri Rais Bush Jr hakuwepo Ikulu alikuwa amekwenda kuitembelea shule ya chekechea kwenye jimbo fulani nimelisahau jina, niliona alipo pewa taarifa na mlizi wake wakati huo Bush alikuwa ameshikilia kitabu anamsomea mtoto wa chekechea kitu fulani, alipo pewa taarifa alionekana kutishika sana wakambimniza sijui kwenda kumficha wapi? Makamu wake Mr.Dick Chenny naye nasikia alikimbizwa kwenda kufichwa kwenye mahandaki sijui ya wapi akifuatana na Waziri wa mambo ya nje Condelliza Rice, tukio hilo lilitingisha to the very foundation of US Administration.
Bottom line is: Mnapo wazodoa zodoa warusi kuhusu masuala ya kiitelijisia na ulizi wa Taifa lao kumbukeni vijana wa Kiarabu walivyo wazidi kete vyombo vya usalama vya Merikani - likumbukeni sana hilo na sio mnaiishia kumsema vibaya sema Putin mkasahau kilicho wahi kuwakumba Wamerikani their u
impregnable air defense systems,intelligence agencies notwithstanding.
Hawa jamaa source zao zinachekesha aisee,ukiwawekea video halisi ya kichapo kinaendelea huko field wanakuambia ni video game [emoji2]Jamen njooni uku muone source za mapro Russia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Telegram News[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia releases new estimate of Ukrainian counter-offensive losses
Over 1,000 Ukrainian service members were killed in a botched operation in the south of the country, Moscow has claimed
FILE PHOTO: Local residents pass by the destroyed tank of the Ukrainian armed forces in the city of Volnovakha in Donetsk People's Republic. [emoji2398] Sputnik / Maksim Blinov
Russian forces have taken out hundreds of Ukrainian troops and dozens of tanks and armored military vehicles after repelling an ill-fated offensive in the south of the country, the Defense Ministry claimed on Tuesday.
A statement added that officials believe the failerd operation was mounted at the personal order of President Vladimir Zelensky.
โThe effective actions by the Russian forces destroyed 48 tanks, 46 infantry fighting vehicles, 37 other armored combat vehicles, eight pickups with heavy machine guns and more than 1,200 Ukrainian servicemen in one day,โ they outlined. The Ministry added that Kiev sustained these losses during a botched offensive whose directions led to Nikolaev, Krivoy Rog, and other cities in southern Ukraine.
The ministry went on to say that Moscowโs forces routed the units of the 128th Ukrainian Mountain Assault Brigade, which had been redeployed from western Ukraine to take part in the operation. โFive service members from this brigade laid down their arms and gave in,โ the ministry added.
Russian forces also wiped out โmore than 200 militants, including about 40 foreign mercenariesโ as well as more than 20 armor units, according to the military.
The Russian Defense Ministryโs statement comes after its claim on Monday that the Ukrainian counteroffensive in Kherson had โfailed miserably.โ At the time, the ministry put Kievโs losses at 26 tanks, 23 armored fighting vehicles, nine more armored vehicles, two jets and at least 560 troops.
READ MORE
Ukrainian attempt at counter-offensive has failed โ Russia
Kiev has been talking about a โKherson counteroffensiveโ all summer, while soliciting more weapons and ammunition from its Western backers. In a video address to the people on Sunday, Zelensky vowed that โUkraine will returnโ to Donbass โ as well as Kharkov, Zaporozhye, Kherson, and โdefinitely to Crimea.โ
Russia sent troops into Ukraine on February 24, citing Kievโs failure to implement the Minsk agreements, designed to give the regions of Donetsk and Lugansk special status within the Ukrainian state. The protocols, brokered by Germany and France, were first signed in 2014. Former Ukrainian president Pyotr Poroshenko has since admitted that Kievโs main goal was to use the ceasefire to buy time and โcreate powerful armed forces.โ
In February 2022, the Kremlin recognized the Donbass republics as independent states and demanded that Ukraine officially declare itself a neutral country that will never join any Western military bloc. Kiev insists the Russian offensive was completely unprovoked.
Hatimaye umerudi baada ya kujificha kwa mda mrefu.., karibu sana mkuu tuendelee kumpaka mafta huyu super pawer wetu wa mchongo [emoji12]View attachment 2340977
Countries participating in Vostok 2022 Strategic Command Post Exercise:
[emoji635] Russia
[emoji1039] Azerbaijan
[emoji1026] Algeria
[emoji1034] Armenia
[emoji1044] Belarus
[emoji1128] India
[emoji1138] Kazakhstan
[emoji1143] Kyrgyzstan
[emoji630] China
[emoji1144] Laos
[emoji1170] Mongolia
[emoji1182] Nicaragua
[emoji1238] Syria
[emoji1240] Tajikistan
#Vostok2022 @mod_russia_en
Huyu super pawer wa mchongo hatosahau hiki kipigo haki ya mungu [emoji2]Mvamizi anazidi kurudi nyuma View attachment 2340990View attachment 2340991
Muda ndio msema kweli,kwa nini tuandikie na mate?Telegram News[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni moto tu Kwa kwenda mbele. , Masikini super pawer wa mchongo [emoji12]Pigeni kelele na articles zenu za telegram soon tunatanga Kherson kurudi mikononi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2340984
Pigeni kelele na articles zenu za telegram soon tunatanga Kherson kurudi mikononi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2340984
Sijui asikari wa super pawer wameshafundishwa kupiga mbizi Ili kuikimbia kheson [emoji2][emoji2]Habari ya Kherson leo kichapo kinaendelea na madaraja yanavunjwa hakuna kutoka
View attachment 2340969
Mmegeukia utalii Tena? Tunaomba habari za front line mkuu,View attachment 2341000
Vladimir Putin will hold a meeting of the State Council on tourism within the framework of the Eastern Economic Forum in Vladivostok
This was stated by the Presidential Press Secretary Dmitry Peskov:
[emoji187]"We are preparing for the Eastern Economic Forum. Putin will make a speech. An important State Council meeting dedicated to tourism will take place. The tourism industry is a very important driver of the development of Russian economy.โ
Wale wazee wa video game mpooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mrusi leo ameendelea kupewa kichapo huko Donetsk tazama video vifaru vinaungua tu
Wazee wa video game mkujeni hukuuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mrusi leo ameendelea kupewa kichapo huko Donetsk tazama video vifaru vinaungua tu