Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tazama video kichapo huko Kherson mrusi ana hali mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Himars imepiga Olishki Kherson eneo Russia anapotunza silaha kabla ya kuzivusha Kherson

 
Wanapigwa kimya kimya hamna cha picha wala nini Russia ana uhakika na anachokifanya
 
Tazama video kichapo huko Kherson mrusi ana hali mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Zelensiky anazidi kuwapelekea moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]
Hawa mbwa inabidi wabondwe Hadi wasahau kwao
 

Do not underestimate Russia’s military strength, German defence chief warns​

Germany’s chief of defence has warned that the West must not underestimate Moscow’s military strength, saying Russia has the scope to open up a second front should it choose to do so
 
Tazama hawa vijana wa super power wameangushiwa bomu na drone marehemu tayari hawaponi

 
Tazama hawa vijana wa super power wameangushiwa bomu na drone marehemu tayari hawaponi

Ngoja wanyooshwe Hawa wajinga waliodhani uvamizi wa nchi nyingine ni sawa na mechi ya kirafiki [emoji848]
 
Tunataka tuone habari inayosema kuwa Kherson iko chini ya Ukraine.

Kama ni hivyo video vyenu vya kipropaganda basi ni uongo

Siku itangazwe rasmi kuwa Ukraine wameuokomboa mjia wa Kherson hapo sawa
Vuta subra mkuu ndo kwanza counteroffensive imeanza juzi tu, kikubwa ni kwamba tunazidi kusonga mbele [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…