Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
To anyone who would consider interfering from the outside - if you do, you will face consequences greater than any you have faced in history,’ ........Rais Makini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wababe huko wanatunishiana misuli. Hapo hapo Pentagone ya Marekani
imejipanga Kitambo.
Vita toka zamani zilikua ni sehem ya kutafuta Amani.Ujinga tu. Putin na Biden na wadau wote wanaohatarisha usalama wa dunia ni WAJINGA. Wanajeshi watakufa, raia watakufa ili wao wasifiwe na watu aina yako.
Ni hoja. Watu wanakufa kama sehemu ya asili kuwa lazima tutakufa ili tupishe wengine, kuna utaratibu na sio kufa kwa kuuana kwa idadi kubwa na kuharibu mazingira na mabomu.Watu hata sasa wangali wanakufa. Hiyo hata siyo hoja.
Hii vita haina maana. Ni upumbavu wa watu wachache wanaoamini kuwa wana nguvu na kutaka historia zao zibaki vitabuni kwa kumwaga damu za binadamu wenzao waitwao wanajeshi na raia.Vita toka zamani zilikua ni sehem ya kutafuta Amani.
Usishangae hii .
Haahah USA na rafiki zake walivamia Libya ulikaa kimya, walivamia Sirya ulikaa kimya, walivamia Iraq ulikaa kimya, walivamia Afghanistan ulikaa kimya. Sasahivi hilo povu linatoka wapi?Hii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Ni kweli kabisa ametumia ile brain ya Jumong enzi zile za Korea ya zamani.Putin ni genius sana. Urusi ina Rais kwelikweli.
Hiyo haizuiliki ipo hata kabla ya dini zote na itakwepo labda dunia ipasuliwe, ndipo itapumzika na mambo ya vita. Isipokuwa ombea isitokee eneo lako tu.Ujinga tu. Putin na Biden na wadau wote wanaohatarisha usalama wa dunia ni WAJINGA. Wanajeshi watakufa, raia watakufa ili wao wasifiwe na watu aina yako.
Inashangaza,wakati Ukraine ni sehemu ya Soviet Union.Haahah USA na rafiki zake walivamia Libya ulikaa kimya, walivamia Sirya ulikaa kimya, walivamia Iraq ulikaa kimya, walivamia Afghanistan ulikaa kimya. Sasahivi hilo povu linatoka wapi?
I want presidents who won't be intimidated when defending their due rights!Putin ni genius sana. Urusi ina Rais kwelikweli.
Unanifahamu? Kabla ya kuninyooshea kidole, isome post yangu vyema!Haahah USA na rafiki zake walivamia Libya ulikaa kimya, walivamia Sirya ulikaa kimya, walivamia Iraq ulikaa kimya, walivamia Afghanistan ulikaa kimya. Sasahivi hilo povu linatoka wapi?
Sisi ni binadamu tunaweza sana kukaa kwa amani. Kuna watu wanaabudu legacy ndo huwa wanapenda vita. Ni tatizo la kisaikolojia.Hiyo haizuiliki ipo hata kabla ya dini zote na itakwepo labda dunia ipasuliwe, ndipo itapumzika na mambo ya vita. Isipokuwa ombea isitokee eneo lako tu.
Baraza hilo lipo kupiga hela tu za walipa-kodi; speech ndefu zisizo na tija. Israeli kila mwaka anaiguyuguza Palestina na Iran lakini wao mishahara inapanda huko UN.Hii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
Leo ndo mnaona hiliHii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).
"Mnaona" kina nani?Leo ndo mnaona hili
Ndo unafiki wao, wamechochea na NATO yao jamaa kaamua kukubari vichocheo vyao wanabaki kuwaonea huruma raia,View attachment 2129237
Marekani ni hatari! Anachochea vita, then anasema ANAWAOMBEA watu wa Ukraine!