Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Uko sahihi sana tena sana tofauti na wambea wanaodhani kushabikia vita huku maisha ya watu wasio na hatia yakipotea ndo ujanja.Hii UNSC wakati mwingine ni 'upuuzi mtupu'. Kama mataifa yanavamiana kijeshi, huku chombo cha kushughulikia usalama wa kimataifa kipo, basi hakuna maana yeyote ile kuendelea kuwa na baraza hilo. Tofauti na hapo, baraza hilo linahitaji marekebisho makubwa (overhaul).