Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Nimeisoma hiyo link, ukiangalia jinsi wanavyotumia hizi howtizer ..,ni wazi jamaa wako well trained [emoji91][emoji91]Nimegundua Ukraine hawafanyi mambo kwa kubahatisha. Ni watu wanaojua vita nani watu wenye akili sana[emoji848]
How to relocate a 4.2-ton M777 howitzer in 80 seconds? Ukrainian troops show an example - Technology Org
The M777 is “ultralight” field howitzer. It, however, still weighs 4.2 tons when fully equipped, and as awww.technology.org
Mbona wanauawa kama kumbikumbi?Nimegundua Ukraine hawafanyi mambo kwa kubahatisha. Ni watu wanaojua vita nani watu wenye akili sana[emoji848]
How to relocate a 4.2-ton M777 howitzer in 80 seconds? Ukrainian troops show an example - Technology Org
The M777 is “ultralight” field howitzer. It, however, still weighs 4.2 tons when fully equipped, and as awww.technology.org
Kweli mkuuNimeisoma hiyo link, ukiangalia jinsi wanavyotumia hizi howtizer ..,ni wazi jamaa wako well trained [emoji91][emoji91]
Ngoja tuwatoneshe vidonda[emoji41][emoji41]Tazama video kichapo huko Kherson mrusi ana hali mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi ni habari za Leo,mistake kujisahaurisha [emoji91][emoji91][emoji91]Kherson tunazidi kusonga mbele
Za Leo Leo hizi[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Himars imepiga Olishki Kherson eneo Russia anapotunza silaha kabla ya kuzivusha Kherson
Hizi hazijapoa, ni za Leo Leo[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tazama hawa vijana wa super power wameangushiwa bomu na drone marehemu tayari hawaponi
Semeni video game Sasa[emoji2][emoji2][emoji2]Kumbe wale Chechen walimgruka super power sasa hivi wanapigana upande wa Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Semeni video game [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255]Translated:"They are dead here, they will go home in black bag"
Hawa na wajeda wa kirusi waliouliwa Kherson jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ruksa kusema video game [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tazama video games warusi wakishambuliwa live kipigo ni cha mbwa koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakuu,haya ni mataili yaliyounguzwa au[emoji848]Translated:"They are dead here, they will go home in black bag"
Hawa na wajeda wa kirusi waliouliwa Kherson jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulisikia Ukrain ameimba wanajeshi au wafungwa kutoka nchi zingine kama mrusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]vunjo na kp kipanya44 mna shida vichwani mwenu. Ukraine ina hali mbaya sana. Acheni kujitoa ufahamu.
[emoji23][emoji23][emoji23] we hata JKT kwa miujibu utakuwa hujawah kupita! Hicho kikosi cha ma cameraman ambao wanasubiri artillery zipige wawe wana record ni brigade gan?Tazama kifaru kinashambuliwa warusi wanakimbia ovyo njooni muone nduguzenu wanavyosulubishwa huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume wamekutana wanapasha misuli
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]View attachment 2342375
America’s biggest adversaries — China, Russia and Iran — are increasingly teaming up in ways that could undermine U.S. objectives.
Driving the news: Russian and Chinese forces began major military exercises Thursday in Russia’s far east. Meanwhile, Russia has received an initial batch of drones from Iran to deploy on the battlefield in Ukraine.
Those are just the latest examples of America’s top geopolitical foes finding common cause.
Referring to relations with countries like Iran and Russia, a Chinese diplomat tells Axios it’s “only natural” that countries facing sanctions and pressure…
Continue Reading
News Source: U.S. pressure drives Russia, China and Iran closer together