Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uzuri ni kwamba tunaleta information live kutokana field..,pro Russia kwa kutafuta faraja wanaishia kusema ni video game.., wengine wameenda mbali na kusema eti wanachoma mataili hivyo Moshi unaoonekana kwenye mashambulizi ni Moshi wa mataili [emoji2][emoji2]
Oy hizo video za kusema Russia kafanya hiki Mara kile kudhihirisha ushindi Frontline zipo nyingi Sana. Na maelfu zimefutwa.
Pia za Ukraine akishinda Frontline zipo nyingi Sana. Zipo hats mariupol ilivyoanguka wengine hawakusita kuendekeza hizo video YouTube.
Sema Nini wengi wanaona video hizo za warusi ama za wa Ukraine Kama michosho..
I'la TU nikwambie zipo nyingi Sana
 
Poor Europe
IMG_5998.jpg
 
[emoji682]#Putin :"I never asked for anything that wasn't mine. When I watched Russia fall, I promised myself before God that I would save it.
It turns out that I have to save the whole world;
bcZ the demons that have taken over the West have destroyed everything spiritual on this planet

"I know that I will succeed because I have the support of the Lord... I don't need anything else
 
[emoji682]#Medvedev:Appearance of NATO soldiers on Ukranian soil and this escalation in worst case could lead to a full-scale war with the use of nuclear weapons. Now the countries of military bloc are trying to prevent such a situation, but "the West is becoming bolder and more active"
 
Ile meza refuuu ya putin inawaumiza sana viongozi wa ulaya ila hawana cha kufanya

--------
German Chancellor Olaf Scholz considers it necessary to continue negotiations with Russian President Vladimir Putin:

"I met with the Russian president in Moscow at a long table, I talked to him many times on the phone , and I will continue doing so
 
Winter inakaribia, lazima warudi tena Moscow kuomba msamaha.
 
Wazee wa counter offensive,
Vipi Imekuaje aisee, ile opereshen yetu jana imeshndikana kuwafurusha warusi?

Naona wanalamika hapa Russia keshaanza kufungua shule na kaanzisha mitaala yake uko kherson Tangu Jana[emoji4][emoji116]
Screenshot_20220902-030309.jpg
 
Ndugu yenu wa pro-nato ameamua kuwa mkweli, hebu msikilize.

#YURI The second wave of Ukrainian offense on Kherson ends in a predictable disaster, 2000 or more KIA, and between 5 and 6 thousands wounded. The hospitals in all the nearby large cities nearby are full. Yet, Ukrainians cling to the bridgehead near Davydov Brod, that can indicate their intent to try for the third time.

Russian intelligence uncovered the plan of Ukrainian spec op on Zaporozhye nuclear plant to capture it shortly before the IAEA mission would arrive. Some 300 elite Ukrainian elite special forces operatives lured into a trap and destroyed.

Donbass: battles continue near Pervomayskoye, no definitive breach of the 2nd line of defence yet achieved. The Kodema problem persists.

@war_subtitled_en, veáse también en Español a @rpd_es
 
Umoja wa Mataifa umeipongeza Urusi kwa kuwapa kipigo kikali Cha mbwa Koko askari wa ukrein baada ya kujaribu kutaka kuteka kituo kikubwa nukria kuliko vyote ulaya. Askari hao walijipanga kuwateka viongozi wa msafara wa kuhakiki usalama wa mtambo huo na kuwatumia Kama ngao.
 
Attachments

  • VID_20220902_063230_664.mp4.mp4
    10.6 MB
[emoji682]#Putin :"I never asked for anything that wasn't mine. When I watched Russia fall, I promised myself before God that I would save it.
It turns out that I have to save the whole world;
bcZ the demons that have taken over the West have destroyed everything spiritual on this planet

"I know that I will succeed because I have the support of the Lord... I don't need anything else
I am with him
 
Haya warusi 120 wameng'ata shuka huko Kherson jana Counter Offensive ni balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220902-083653_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom