Oy hizo video za kusema Russia kafanya hiki Mara kile kudhihirisha ushindi Frontline zipo nyingi Sana. Na maelfu zimefutwa.Uzuri ni kwamba tunaleta information live kutokana field..,pro Russia kwa kutafuta faraja wanaishia kusema ni video game.., wengine wameenda mbali na kusema eti wanachoma mataili hivyo Moshi unaoonekana kwenye mashambulizi ni Moshi wa mataili [emoji2][emoji2]
Winter inakaribia, lazima warudi tena Moscow kuomba msamaha.Ile meza refuuu ya putin inawaumiza sana viongozi wa ulaya ila hawana cha kufanya
--------
German Chancellor Olaf Scholz considers it necessary to continue negotiations with Russian President Vladimir Putin:
"I met with the Russian president in Moscow at a long table, I talked to him many times on the phone , and I will continue doing so
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Winter inakaribia, lazima warudi tena Moscow kuomba msamaha.
Video games brigade[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] we hata JKT kwa miujibu utakuwa hujawah kupita! Hicho kikosi cha ma cameraman ambao wanasubiri artillery zipige wawe wana record ni brigade gan?
I am with him[emoji682]#Putin :"I never asked for anything that wasn't mine. When I watched Russia fall, I promised myself before God that I would save it.
It turns out that I have to save the whole world;
bcZ the demons that have taken over the West have destroyed everything spiritual on this planet
"I know that I will succeed because I have the support of the Lord... I don't need anything else
Super pawer wa mchongo anazidi kuhenyeshwa tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255]Kichapo ni kikali sana mrusi anatapika nyongo hukoView attachment 2342808