kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lengo langu ni kuwakera kama ulivyokereka wewe hapo[emoji2][emoji2][emoji2]Hii crip imejirudia Sana tafuta nyingine
Asitafte public sympathy
Ukiangalia ye ndo kafata nchi ya amani kaanza kuua watu na kufukuza waliopo
Ukiangalia ata maovu ya Urusi na ufisadi na uuaji ni mkubwa kuliko West, tena apo ni mauaji ya ndani kwake
Huu ni uoga, maana yake anajua hawez kupigana nao vita, ni lazima atumie nuclear tu
Ngoja wazee wa " video game" waje[emoji848][emoji848]Haya tazameni wanajeshi wa Urusi wame sarenda huko Kherson kwa kunyoosha bendera nyeupe juu leo hii huu mziki sio wa kitoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akikujibu unitagi mkuu [emoji23]US alipotumia Nuclear kule Heroshima na Nagasaki, je alikuwa muoga?
UKRAINE plus NATO hawaiwezi RUSSIA hii SMO imeonesha hv MKUUMpaka sasa hii vita imeshathibitisha kuwa Urusi ni nchi yenye uwezo wa juu kivita na USA na NATO wanaiheshimu sana linapokuja suala la vita sababu Hawajakurupuka kupeleka majeshi na tumejionea energy crisis na inflation ilivyotikisa.
Ukraine ni nchi jasiri na hawakati tamaa kiwepesi, Mpaka leo bado wana ujasiri wa kudefend na sasa wanafikiria kuishambulia Urusi katika maeneo waliyonyang'anywa. Na iwapo Urusi haitaamua kuanzisha vita kamili bila kujali aina ya silaha basi Urusi inaweza zidiwa.(Hii haimaanishi kuwa Urusi ni dhaifu, ingekuwa dhaifu naamini USA na washirika wangeshafanya yao. Naamini Urusi na USA/NATO huenda hawajawa tayari kwa vita kamili sababu na wao watapoteza, Dunia itapoteza. Inaonekana hakuna win-lose wala win-win ila kuna Lose-Lose)
Jamii Forum kuna uzalendo wa kimihemko, utimu na ushabiki kwa nchi isiyo Tanzania.
Show don`t tell.Mpaka Muda huu wanajeshi WA Ukrainian walio kufa katika jaribio LA kuukomboa mji WA kherson ni 2800 wakati huo huo majeshi ya urusi ni kama yanaunda mzingiro pale mykolaiv
Operation ya kuukomboa kherson imefeli pakubwa na hili ni pigo takatifu maiti zimezagaa kila kona
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]Haya maeneo mengine Warusi wamekimbia na kuacha vifaa vya kijeshi.
Mbona haya mambo ni ya ajabu sana..... UraaaaUmoja wa Mataifa umeipongeza Urusi kwa kuwapa kipigo kikali Cha mbwa Koko askari wa ukrein baada ya kujaribu kutaka kuteka kituo kikubwa nukria kuliko vyote ulaya. Askari hao walijipanga kuwateka viongozi wa msafara wa kuhakiki usalama wa mtambo huo na kuwatumia Kama ngao.
""destruction of 44 HIMARS out of 20 that are in service in Ukraine ""[emoji2][emoji2][emoji2]Tayari machuma 44 yamegeuzwa kifusi na operata wake kusagwa na milipuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635]View attachment 2343314View attachment 2343315
Ukraine wameharibu kutaka kuteka waangalizi na wakaguzi wa Kimataifa.View attachment 2343353
🆕🔥🔥🔥The UN spokesman when asked about reports that Ukrainian saboteurs were destroyed by the Russian army near the Zaporizhzhia plant while trying to attack it
“We are glad that the Russian Federation did what it did to keep our inspectors safe🔥🔥🔥