Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao watu ni zaidi ya laki 5 kwa kutumia akili ya kimahesabu
 
Tazameni hii video mpaka mwisho muone jamaa walivyo kufa na wengine kukimbia wameacha silaha zao nyingi hii ndio Counter offensive sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Super pawer anazidi kuhenyeshwa tu [emoji848][emoji848]
 
Duuh hali mbaya
 
Hii ndo unaona fake News, lakini zile article zenu za kuokoteza kwenye telegram za warusi huko na kuleta hapa ndo unaona zina ukweli,sio?
Mimi Kama mimi siwezi kuleta taarifa ya Telegram,Twitter,Facebook,CNN BBC,Aljazeera,Instagram etc.etc.hapa,I know it is fake news.Taarifa zangu ni dependable, authentic and from independent sources.Source yeyote ambayo ina conflict of interest na mgogoro wa Russia na Ukraine taarifa zao sichukui,they are simply not dependable.
 
Hata aljazeera??[emoji848][emoji848]

Alafu kama unasema taharifa zako ni kutoka independence source mbona unaleta taharifa zinazoegemea upande mmoja?
Au huelewi vizuri matumizi ya neno independence source
 
Shida yangu ni kuwa habari hii mlikuja nayo Pro NATO na kuandika Russia wajisalimisha Kwa kupunga bendera nyeupe,kumbe mmegeuza habari!
Sasa Je,ni ngapi za michongo mnazoleta?
Kina nani hao walioleta habari hiyo. Nitag uliponiona nimeileta, otherwise huna point unayoongea.
 
Sikumbuki ni nani ila ni kati yenu watatu niliowatag ambao mnapenda kuleta video za michongo humu na kuzipigia promo!
Sidhani kama Kuna video yoyote aliyowahi kuileta t14armata tangu hii thread ianzishwe[emoji848][emoji848]
 
 
Mbona ni jengo moja tu
 
tuliambiwa urusi ni maskini hana chakula na silaha ni za siku tatu.
Nani kawahi kusema hvi, urusi ni maskini kulinganisha na US au nchi kubwa kama japan na china ila ni taifa la 12 kwa utajiri duniani
 
Hata aljazeera??[emoji848][emoji848]

Alafu kama unasema taharifa zako ni kutoka independence source mbona unaleta taharifa zinazoegemea upande mmoja?
Au huelewi vizuri matumizi ya neno independence source
Aljazeera ni kama BBC tu kijana,it's a fake news channel.

Halafuu,hatuko hapa kama Yanga na Simba,tupo hapa kupeana knowledge,so concept ya ushabiki wa Simba na Yanga hapa si mahali pake na inatuharibia sana.Ndio maana tuna plenty of fake news,tuseme kweli tu,tusilishane matakataka.Kama Urusi wanashindwa vita nipike hadithi inayo onyesha kwamba wanashinda kwa sababu ya ushabiki tu,hapana.Kwanza napata faida gani,nothing.

Tatizo lenu ni kwamba mmelishwa matango mwitu kwa muda mrefu sana,kwamba the West is everything kumbe si kweli.Nategemea kwamba kupitia kwenye Vita hii,mtamtambua mbabe wa kweli duniani,sio wa kugushi kama US,your fore and true friend.Na kwa mtu ambaye sio mind controlled,the truth is obvious,the West is too evil and cares less about humanity.Sasa utapendaje entity ovu kama the West.

Luckily enough for me,Russia is capable and winning the war.Ni mjinga tu atakaye sema Ukraine inashinda wakati Urusi inazidi kuteka maeneo.

And then remember this,Russia is fighting an Economic
War against the West as well,and is winning hugely.The West will soon be at it's knees,if not already.

Mwisho naomba utambue kwamba Russia is fighting the US,NATO and the whole of Europe and is winning the War,si mbabe wa Vita huyo?Acheni ushabiki wa kijinga,be sensible.
 
Walicho wafanya wale wanajeshi wa ukrein dah sio poa kuna picha ukiona hata nyama hutakula
 
Siamin kama leo mnasema Aljazeera sio reliable channel, nyie hamjielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…