Hii nimewahi kusikia maeneo yenye migodi mikubwa ya open pit hapa Tanzania wanasema sababu ya blasting anga limechafuliwa hivyo maji ya mvua si salama kunywa yana sumu
Mkuu blasting of rocks kweli inachafua anga,lakini remember that from the soil or rocks tunapata only dust which will make us cough for a while or allergies.The main problem is this👇(nimei-copy na ku-paste kwa kuwa nilishai-discuss previously)
Mkuu.Unajua,anga wamelichafua sana sana,believe me.Angalia hapa uchafuzi huu ukiendelea,in what are called Chemtrails,na scientists wamefanya utafiti wa kina wa sprays hizo,na wamegundua kwamba zina sumu nyingi.
Find Chemtrail stock images in HD and millions of other royalty-free stock photos, illustrations and vectors in the Shutterstock collection. Thousands of new, high-quality pictures added every day.
www.shutterstock.com
Hapa chini nimeweka clip ya ndani ya madege hayo yanayofanya-fanya uharibifu huo.
Mkuu uwe na tabia hii,usibishie kitu ambacho huna utaalamu nacho.
Ni hivii, kwenye anga letu wana-spray chemicals kwa makusudi ya kuharibu ardhi na kuchafua hewa kama nilivyo onyesha hapo juu.Sasa mvua inaponyesha,ina-collect hizi chemicals ambazo ni poisons with it. Unapokunywa hayo maji,you also drink the poisons!This is scientifically proven.Ndio maji ya mvua yalikuwa mazuri zamani,but not anymore,do not drink it.
Halafuu,mtu akudanganye kwamba maji ya mvua hayafai kunywa ili apate faida gani,na ili iweje hasa,mbona hamna faida yeyote.
Ninyi watu lazima muelewe,people are trying to help you,ili msiangamizwe, do not take anything for granted,the rulers of this world,the Khazarian Mafia, are hell bent to reducing the world population to a bare minimum of 500 million and they will leave no stone unturned unless they achieve thieir evil goal.Sasa wale wanaojua ukweli wanajaribu kuwasaidia,mnachomoka,kazi kwenu,mtaisha na magonjwa yasiyo-ambukiza.Mnadhani haya magonjwa chanzo chake ni nini.
Follow also this👇link,utapata very good information.Utajua zaidi what is actually happening around us.
The entire planet is being deliberately plunged into a global famine nightmare, achieved via geoengineering programs carried out by world governments trying to achieve global depopulation. That's the warning from Dane Wigington of GeoengineeringWatch.org, a site dedicated to the scientific i
www.naturalnews.com