mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,449
- 993
Kuongezea hapo juzi nimeona utafiti nilicheka sana Eti Maji ya mvua ni sumuTunajielewa kabisa mkuu.Haya mambo kama umezoezwa kulishwa fake news sio rahisi kuyaelewa.Remembe that any mainstream media outlet iko owned and controlled by the NWO cabal members,kama the Rothschilds.Nia ya watu hawa always ni kukupotosha wewe ili waweze kuku-control,kukuibia fedha through unlawful and dangerous businesses and in doing so hata kuku-exterminate.So they use the media for their advantage.
Kwa mfano Hollywood is an extremely dangerous soft power tool for mind control,lakini wamewa-aminisha watu kwamba ni burudani,by using the mainstream media!Ushabiki wa mpira is a Cult from the pit of hell,lakini wame-waaminisha watu kwamba ni starehe and people are crazy about it,and all by using their mainstream media!Microovens are very deadly gadgets which essentially work by using millimetre waves which are extremly dangerous to the body,lakini tumeaminishwa again by the same mainstream media kwamba ni nzuri and we strongly believe a good kitchen must have it,kumbe its' a slaughter tool!!! Na dawa za miswaki je with Aspartame,,magari ambayo yanatoa extremely dangerous fumes,rangi za nyuma,the tarmac roads we use ambazo tunaona ni maendeleo,kumbe ni extermination tools.Not forgetting ofcourse computers,TVs,phones especially smart phones which emits very dangerous EMFs.The list friend is endless,and all these things are advertised through the mainstream media.
They convince us that these things are development, kumbe lo,they are killing us slowly.Tumeingizwa mkenge sana.These people are bad,just too bad.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe mnasoma nilijua na wewe ume ignore video zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habar inasema ni report from 26th Aug to Sept 2 we unasema nijana tuuu, inabid upimwe akili sio kwa ushabiki mandaz ulionao
Ni kweli mkuu.Unajua,anga wamelichafua sana sana,believe me.Angalia hapa uchafuzi huu ukiendelea,in what are called Chemtrails,na scientists wamefanya utafiti wa kina wa sprays hizo,na wamegundua kwamba zina sumu nyingi.Kuongezea hapo juzi nimeona utafiti nilicheka sana Eti Maji ya mvua ni sumu
Narudia msituletee matango mwitu hapa,bring us credible news, sio fake news.Kama huwezi kuleta credible news ni ushabiki wa Yanga na Simba kalale.Watu wapo hapo kujifunza sio kuletewa taarifa ambazo si kweli.Zipo innocent minds in JF ambazo ziko hapa ili kujifunze,so we have a duty to protect such minds.Hili jamaa jitu zima ovyo kila siku unaleta articles zako humu zimeengemea upande wa Russia leo unaanza kuleta upuuzi wako hebu tulia kama hutaki video ignore tu hutaziona lakini naleta video kutoka vyombo vya habari Ukraine na zinatoka frontline.
Ni kipigo kwa kwenda mbele, super pawer wa mchongo mpaka maji Aite mmaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tazama video jana tumelipua silaha na magari yao wanaficha kwenye makazi na vichaka tumemaliza kabisa hili eneo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa wamebananishwa haswa,Hadi nawaonea huruma Kwa kweli, huyu dikiteta kaamua kwa makusudi kuwatoa kafara vijana wa urusi [emoji848]"Sending more scrap metal, Ukraine will be rich on iron scrap".Moja ya comment za wadau YouTube baada ya hiyo video kuonesha warusi wanaongeza vifaru Ukraine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nimewahi kusikia maeneo yenye migodi mikubwa ya open pit hapa Tanzania wanasema sababu ya blasting anga limechafuliwa hivyo maji ya mvua si salama kunywa yana sumuNi kweli mkuu.Unajua,anga wamelichafua sana sana,believe me.Uwe na tabia hii,usibishie kitu ambacho huna utaalamu nacho.
Mkuu ni hivii, kwenye anga letu wana-spray chemicals kwa makusudi ya kuharibu ardhi na kuchafua hewa.Mvua inaponyesha ina-collect hizi chemicals ambazo ni poisons.Sasa unapokunywa hayo maji,you also drink the poisons!This is scientifically proved.Ndio maji ya mvua yalikuwa mazuri zamani,but not anymore,do not drink it.Halafuu,mtu akudanganye kwamba maji ya mvua hayafai kunywa ili apate faida gani,mbona hamna.Ninyi watu lazima muelewe,do not take anything for granted,the rulers of this world are hell bent to reducing the world population to a bare minimum .Sasa wale wanaojua ukweli wanajaribu kuwasaidia,mnachomoka,kazi kwenu,mtaisha na magonjwa yasiyo-ambukiza.Mnadhani haya magonjwa chanzo chake ni nini.
Usipotoshe ndg yangu,toka uanze kutuletea mapichapicha ya wanajeshi wa Urusi huko kherson wana hali mbaya halafu hata km moja hawajapoteza au Ukraine haijaongeza hata kilometa 5,uko serious kweli?Tazama na hii jana wanahoji moja kwa moja kutoka newsroom na wanajeshi walio frontline[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TUNAJUA HALI ZENU MBAYA
Huyu ndg yetu vunjo anachofanya ni kutuletea mapicha ya miezi iliyopita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habar inasema ni report from 26th Aug to Sept 2 we unasema nijana tuuu, inabid upimwe akili sio kwa ushabiki mandaz ulionao
Vifaru zaidi vinaongezwa kwenye battlefield,vile vifaru vilivyokuwa vikielekea kyv zaidi ya kilometa 60 vilikwenda wapi?🤔Russia yapeleka idadi kubwa ya vifaru mpakani na Ukraine.Je,hii ni dalili ya Russia kulemewa vitani?kumbuka:Russia ilipata hasara ya vifaru vingi sana 🤔
Always be on your guard! Russia is deploying an operational reserve of the strategic level of the Russian army to Ukraine. According to the Conflict Intelligence Team, photos and videos found on the network indicate the transportation by rail of the Buk complex and T-80BV and T-90M tanks to the border with Ukraine - to the Rostov region . "Transportation of Buk complexes indicates the transfer of a large formation, for example, the army. In this case, we can assume that we are talking about the transfer of the entire 3rd corps, or at least that part of it that is considered combat-ready," the organization notes.View attachment 2344357
Tatizo lenu pro NATO wa bongo mnatengeneza habari zenu ndio maana hamuaminiki!Counter offensive inafanya kazi hii ni jana tuView attachment 2344993
Mkuu blasting of rocks kweli inachafua anga,lakini remember that from the soil or rocks tunapata only dust which will make us cough for a while or allergies.The main problem is this👇(nimei-copy na ku-paste kwa kuwa nilishai-discuss previously)Hii nimewahi kusikia maeneo yenye migodi mikubwa ya open pit hapa Tanzania wanasema sababu ya blasting anga limechafuliwa hivyo maji ya mvua si salama kunywa yana sumu
Check huyu mjeda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tazama wale walio sarenda si hawa hapa tunawahoji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni video?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe mnasoma nilijua na wewe ume ignore video zangu