LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ha ha ha ha inabidi tuwaanzishie hashtg kabisa ya #Kyivmajivubadotu Lisa Rina F9T Tsh 😂
 
Dogo Janja yupo sana katulia zake Kyiv anawachoreni tu mlivyopanic.
 
🤣🤣🤣
 
Kisu kimefika kwenye mfupa sasa,si kwa kupanic huku
 
Myukiren au USA na UK,
 
Tukiwaambia marekani inamuogopa Russia wanatuona wazushi.

Ona Sasa Serikali ya USA inakili yenyewe KABISA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sergey lavrov anasema hata wakiafikiana na Ukraine, wataendelea na Operation ya kijeshi hadi pale watakapo hakikisha Ukraine hana uwezo tena wa kijeshi.
This means Russia will not stop,until Ukraine is finished-more yet to come.
The aim is to demilitarize and denazify All Ukraine.

Anataka Ukraine waanze kurudi Zama za kujipanga kwa mkuki na mshale[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh kwaiyo sasa ivi ndo mnayajua haya

Sawa basi mimi kila siku nitakuwa nakukumbusha apa apa ili unipe mafanikio ya Russia kwenye hii vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…