Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda atafanya genocide awaue wote kisha achukue wananchi wa Moscow wakaishi Ukraine!Propaganda😃😃.
Hili zoezi ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro. Sawa ni lako ila Kila siku utakuwa mahakamani.
Urusi akimaliza kupiga mabomu akachukua nchi anatakiwa kuunda serikali ambayo raia wa Ukrain wataitii. Binafsi natamani amalize apewe nchi ili lile swali la what is next lifikie.
Inaitwa,Tunawapiga na tunawapa chakula
Hawa chenchens Kama maroboti vile,Nyie mnahangaika kupinga huku jf SI muende Ukraine mkapewe silaha mkakutane na wa Chechens
Matokeo ya kikao ndo shida na ata hivo taarifa ya Macron si umeiona? Kasema Putin kamwambia kuwa ata makubaliano yafikiwe ataendelea kufanya operations yake mpaka kiuwezo jeshi la Ukraine libaki jeupe.Sidhani kama Usiku huu watashambulia tena. Inamaana Kikao walichofanya jioni Leo hakina maana.
Hawataki warusi walioko katika sehemu mbali mbali duniani waone watu wanavyopewa kipondo, shangwe zilizidi[emoji38]
View attachment 2137810
Ndo maana nafuatilia hili bila kubishana sana humu maana kwa sasa hakuna la kubishania tangu NATO na USA waliposema hawatoingiza majeshi ilifahamika fika Urusi anaishinda Ukraine, na ikafika mahali nikasema kwa mabomu yale anayopiga angepewa tu nchi.Labda atafanya genocide awaue wote kisha achukue wananchi wa Moscow wakaishi Ukraine!
Kwa sababu bila hivyo, serikali atakayoiweka watu wataasi tu na kupigana, na maghala ya silaha yako wazi saa hizi watu wanajigichia tu.
Kwa hiyo Russia wanadhani kichapo wanachokula sio toka kwa wanajeshi wa Ukraine?Hadi ahisi Kuna mamluki,Basi Kuna kitu Russia kimewakutaTusisahau kwamba hii sio vita kama NATO wanavoiita..Hii ni military operations..inaweza kuwa vita mbelen kwa sababu nimesikia warusi wanalalamika kwamba kuna viashiria vya majeshi ya nchi za NATO,na raia kutoka nchi za jirani kuungilia operesheni hivo kufanya Urusi kupoteza wanajeshi wengi.
Hakuna vita raia na Raisi wao wanapata muda wa kurekodi video na kutuma mitandaoni.
Telegram inapatikana .
Freedom over censorship, truth over narrative. Question more!
Mi nilivyomuona nimeumia sana, hata kama nilitaka UKRAINE wapigwe vibaya sana, ila nimeona sasa hasaidiwi, ana pambana mwenyewe, hata kama anapewa silaha ila wapiganaji wanakufa kwa wingi. Hii ni hatari.Raisi wa taifa la Ukraine leo akijibu maswali katika mkutano wake na waandishi wa habari akijibu swali la Richard Engel wa NBC NEWS aliyeuliza kuhusu mpango wake wakuzungumza na Putin. Raisi Zelensky alijibu..
"Siyo kwamba ninataka kuongea na Putin, nafikiri ninatakiwa kuongea na Putin ulimwengu unahitaji kuongea na Putin kwasababu hakuna njia/namna nyingine zaidi yakumaliza vita hii".
Kwani umewahi kumuona, kuishi chini ya utawala wake au kuteswa na dikteta yeyote?Hivi wewe unawajua madikteta au unawasikia tu?
Dikteta hapangiwi, hashauriwi. Na ukimshauri ndio unaharibu kabisa ni bora uache tu..
Halafu inaelekea hufuatilii unakomenti tu JF, mkuu wake wa Intelijensia alimzuia kuvamia Ukraine!
Nimeangalia mazungumzo ya Rais wa Ukraine, nikiri wazi anaonekana halali, muda wote yuko na hofu kubwa san. Sasa inatosha wakae mezani, huwezi bishana na Urusi. Wafanye makubaliano maisha yaendelee.
Ogopa Sana kauli ile ya tupo nyuma yako!!! Kwasababu siku zote hujui hapo nyuma wanawaza au wanafanya Nini kosa lake nikufikiri kuwa NATO na washirika wake wapo nyuma yake na watamsaidia jambo ambalo imekuja kuwa kinyume chamuhimu akubali kukaa chini na kuanzisha mazungumzo na Urusi pengine itasaidia.Mi nilivyomuona nimeumia sana, hata kama nilitaka UKRAINE wapigwe vibaya sana, ila nimeona sasa hasaidiwi, ana pambana mwenyewe, hata kama anapewa silaha ila wapiganaji wanakufa kwa wingi. Hii ni hatari.
Hawajui kama russia ndo aliukomboa ulimwengu mwaka 1945!Hahahha imebidi nicheke tu kwakweli, nimeamini watu hawaijui historia ya russia wengi wamejulia humu ndomana mtu anacomment tu hajui chochote kuhusu russia.