LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The action of removing military forces from Ukrain inakuwa kama tamthilia, haiishi.
Kila siku itaendelea........
Ulisema hapa siku nne nyuma,wakawa wanatokwa na povu,leo hii Boss wao Putin anakazia kutakuwa na vurugu kubwa asipoikalia Ukraine yote kwa nguvu.Nilikuwa naangalia CNN japo pro Putin watatoa povu lao hapa la "western Propaganda" Mtaalamu mmoja wa maswala ya Kivita alitoa angalizo kwa statement hii "Issue siyo kushinda hii vita,bali ni itakuwaje transition kutoka kumaliza Vita na kuituliza Ukraine hadi itawalike tena kwa matakwa yao,hapo ndipo Vita halisi ilipo,maana huwezi kila siku kuwa unawaporomoshea mabomu watu ili uwatawale.
 
Soma View attachment 2137914

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wa achekesha sana kiukweli yani wanachekesha mno mpaka sasa wameanza kuona aibu yaani ukiwakumbushia izi ahadi zao basi wanakuwa mbogo utadhani kitu gani bhana
Na wanakushushia ma screen shot ya blah blah kutoka twitter utadhani sisi huko twitter hatuingii kupata taarifa.
 
Ha ha ha ha inabidi tuwaanzishie hashtg kabisa ya #Kyivmajivubadotu Lisa Rina F9T Tsh 😂
Hahahaaaa!!, Hashtag #kievmajivubadotu@@# Follow us on twitter..🙁🙁

Dikteta wao ameanza kupiga simu, kampigia simu raisi wa Ufaransa kuomba mazungumzo.. Huyu jamaa alifikiri vita ni kufika tu unashinda, Hakujua kwamba hata ukishinda unakuwa umeumia kiuchumi.
 

Marekani amefanya nini kule libya, iran, cuba,etc??
 
Lazima azunguke Nato wapo stand by Kwenye mipaka ya poland,Romania,Hungary huko Hii resistance aliyopata kuna uwezekano wengine waliingia kwa Nguo za kiraia ndio mana komedi alikua anasisitiza watu wamataifa mengine wakasaidie plus silaha walizopewa

Ofcourse sema putin anajua sana asee hapo hakuna chawa atakaeingia wala kutoka
 
We ndio taahira unafkiri hayo anayofanya ni maamuzi yake pekee ake limekaa wakakubaliana we M Ukraine wa Mang'ula unakurupuka nenda kawasaidie wenzako
Hivi wewe unawajua madikteta au unawasikia tu?
Dikteta hapangiwi, hashauriwi. Na ukimshauri ndio unaharibu kabisa ni bora uache tu..

Halafu inaelekea hufuatilii unakomenti tu JF, mkuu wake wa Intelijensia alimzuia kuvamia Ukraine!
 

Macro kila siku anapiga simu kwa putin kuomba aachane na vita ila ameshamjibu plan zake. Uyo ndo putin huwa harud nyuma
 
Propaganda😃😃.
Hili zoezi ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro. Sawa ni lako ila Kila siku utakuwa mahakamani.

Urusi akimaliza kupiga mabomu akachukua nchi anatakiwa kuunda serikali ambayo raia wa Ukrain wataitii. Binafsi natamani amalize apewe nchi ili lile swali la what is next lifikie.
 
Ninachoisifu Russia ni pale inapoonyesha ujasiri wa kutoa takwimu za idadi ya Wanajeshi wake waliopotezwa ktk hiyo vita. Yaelekea hawapendi Uongo. Nakumbuka Marekani kote alipopigana huko Iraqi, Libya na Afghanistan alikuwa anataja kwa mbiiiiinde tena unakuta anasema ni Askari wawili tu. Hata Myahudi Naye Sera zake ni kuficha damage ya upande wake.

Japo nasikia huwa ni kuzuia taharuki kwa wananchi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…