LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Labda atafanya genocide awaue wote kisha achukue wananchi wa Moscow wakaishi Ukraine!

Kwa sababu bila hivyo, serikali atakayoiweka watu wataasi tu na kupigana, na maghala ya silaha yako wazi saa hizi watu wanajigichia tu.
 
Kuna wakati umoja wa ulaya wataoba tu yaishe.
Urusi wanaihitaji zaidi ya inavyo wahitaji.

Acha mvua iendelee kunyesha tuone panapovuja.
 
Sidhani kama Usiku huu watashambulia tena. Inamaana Kikao walichofanya jioni Leo hakina maana.
Matokeo ya kikao ndo shida na ata hivo taarifa ya Macron si umeiona? Kasema Putin kamwambia kuwa ata makubaliano yafikiwe ataendelea kufanya operations yake mpaka kiuwezo jeshi la Ukraine libaki jeupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda atafanya genocide awaue wote kisha achukue wananchi wa Moscow wakaishi Ukraine!

Kwa sababu bila hivyo, serikali atakayoiweka watu wataasi tu na kupigana, na maghala ya silaha yako wazi saa hizi watu wanajigichia tu.
Ndo maana nafuatilia hili bila kubishana sana humu maana kwa sasa hakuna la kubishania tangu NATO na USA waliposema hawatoingiza majeshi ilifahamika fika Urusi anaishinda Ukraine, na ikafika mahali nikasema kwa mabomu yale anayopiga angepewa tu nchi.

Kuichukua Ukraine na kusimika serikali yake na wanainchi wakaitii ni jaribio jingine linalomsubiri baada ya kuchukua nchi huku akiwa anawapigania wananchi wake wavishinde vikwazo.
 
Kwa hiyo Russia wanadhani kichapo wanachokula sio toka kwa wanajeshi wa Ukraine?Hadi ahisi Kuna mamluki,Basi Kuna kitu Russia kimewakuta
 
Raisi wa taifa la Ukraine leo akijibu maswali katika mkutano wake na waandishi wa habari akijibu swali la Richard Engel wa NBC NEWS aliyeuliza kuhusu mpango wake wakuzungumza na Putin. Raisi Zelensky alijibu..
"Siyo kwamba ninataka kuongea na Putin, nafikiri ninatakiwa kuongea na Putin ulimwengu unahitaji kuongea na Putin kwasababu hakuna njia/namna nyingine zaidi yakumaliza vita hii".
View attachment 2137967View attachment 2137969
 
Nimeangalia mazungumzo ya Rais wa Ukraine, nikiri wazi anaonekana halali, muda wote yuko na hofu kubwa san. Sasa inatosha wakae mezani, huwezi bishana na Urusi. Wafanye makubaliano maisha yaendelee.
 
Mi nilivyomuona nimeumia sana, hata kama nilitaka UKRAINE wapigwe vibaya sana, ila nimeona sasa hasaidiwi, ana pambana mwenyewe, hata kama anapewa silaha ila wapiganaji wanakufa kwa wingi. Hii ni hatari.
 
Hivi wewe unawajua madikteta au unawasikia tu?
Dikteta hapangiwi, hashauriwi. Na ukimshauri ndio unaharibu kabisa ni bora uache tu..

Halafu inaelekea hufuatilii unakomenti tu JF, mkuu wake wa Intelijensia alimzuia kuvamia Ukraine!
Kwani umewahi kumuona, kuishi chini ya utawala wake au kuteswa na dikteta yeyote?

Au unawasikia na kuwasoma kama mimi?
 
Nimeangalia mazungumzo ya Rais wa Ukraine, nikiri wazi anaonekana halali, muda wote yuko na hofu kubwa san. Sasa inatosha wakae mezani, huwezi bishana na Urusi. Wafanye makubaliano maisha yaendelee.

Anaanzaje kulala watu wanamuwinda mchana na usiku na hiv dau lishatangazwa kazi anayo
 
Mi nilivyomuona nimeumia sana, hata kama nilitaka UKRAINE wapigwe vibaya sana, ila nimeona sasa hasaidiwi, ana pambana mwenyewe, hata kama anapewa silaha ila wapiganaji wanakufa kwa wingi. Hii ni hatari.
Ogopa Sana kauli ile ya tupo nyuma yako!!! Kwasababu siku zote hujui hapo nyuma wanawaza au wanafanya Nini kosa lake nikufikiri kuwa NATO na washirika wake wapo nyuma yake na watamsaidia jambo ambalo imekuja kuwa kinyume chamuhimu akubali kukaa chini na kuanzisha mazungumzo na Urusi pengine itasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…