kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
TISS ni Taasisi ya Usalama wa Kitaifa .. GSO .. NI TAASISI YA ULINZI WA SERIKALI,TAARIFA ZA SERIKALI NA WATUMISHI. NA Hawa ndio wanaofanya Vetting na kupeleka machaguo KWA TEUZI.
Government Security Office....GSO ndo Nini hiki mkuu? Jibu Tafadhali
Source zetu zimesema atakuwa sio yeye, waliomkamata hata hawakusema ni yeye ila ni watu walimfananisha kwenye video na kusema amebadili sare kama inavyokuwa. Russians huwa tunawasikiliza wakitoa evidenceFake news:
The Ukrainian Armed Forces have captured Lt-Gen Andrey Sychevoy, commander of the Russian Armed Forces "Zapad (West)" grouping, Ukrainian Telegram channels report.
The fact:
You can see with your own eyes that the pictures show two different people. The men's lips, jaws and noses are very different. The information that Andrey Sychevoy has been captured was also denied by Daniil Bezsonov, First Deputy Minister of Information of the Donetsk people's republic.
This is not the first time Ukrainian propagandists have spread fakes about the "liquidation" of Russian servicemen and government representatives. Previously, we denied the death of Colonel Denis Kurilo, commander of the 200th separate motorized rifle brigade and the hospitalization of Vladimir Saldo, head of the military and civil administration of the Kherson region. Such fakes are created to maintain the morale of the Ukrainian Armed Forces, but in reality they do not stand up to the initial fact checking. Often they are refuted by the "eliminated" themselves
T14 Armata hii nayo imekaaje !!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Luhansky is falling back to Ukraine
Wewe jamaa/chief toka nikufahamu hapa Jf ni mtu asie na juzi, jana na kesho. Wewe una leo tu, juzi, jana na kesho hazipo katika misimiati yako.This time around jeshi la Russia halitakuwa na huruma ya kupigana vita kindugu ndugu kisa? eti ya kujali Waslav wenzao, hilo Putin asahau kabisa na kufumba macho, akumbuke ushirika wa NATO na Kiranja wao mkubwa hawaitakii mema Russian wanatamani na kupanga Urusi iwe destroyed in totality making sure it will never ever rise again to threaten western specifically US interests, wako determined kweli kweli kulitekeleza hilo kwa kupitia vita ndani ya Ukraine.
Now back to the main point - naona safari hii Putin yuko determined ku-address this proplem once and for all - ndio maana hakuvunja madaraja aliweka mtego jeshi la Ukraine liingize zana za vita pamoja na wanajeshi wengi wakidhani jeshi la Urusi limekimbia mapigano kumbee.....
Jeshi la Putin likisha weka mambo sawa, basi, jeshi la Ukraine litapata kipigo kitakatifu - Zelensky, jeshi lake na wafadhili wao wakubwa hawataamini kilicho wasibu na safari hii Zelensky atatoroka Kiev na kutokomea kusiko julikana au jeshi lake litampindua kwa kuepusha hasara zaidi za vifo ya wanajeshi, raia na infrastructures hivi sasa Zelensky amekwisha kuwa riability kwa taifa lake na sio asset tena.
Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kuwa Putin atawafyekelea mbali kwa kutumia silaha ambazo haja anza kuzitumia kwenye front line - jeshi la Ukraine naamuluki kutoka EU/Uingereza/US na Canada wataanza kuimba na kuzungumza Kilatini (Dead language) nawambieni, wiki moja mbili zijazo tutaanza kushuhudia msafara wa Ukrainian soldiers and muluki kutoka EU/UK/US na Canada POWs.
Walisema niyeye mwanzo MKUU hata nawewe ukaileta hapaSource zetu zimesema atakuwa sio yeye, waliomkamata hata hawakusema ni yeye ila ni watu walimfananisha kwenye video na kusema amebadili sare kama inavyokuwa. Russians huwa tunawasikiliza wakitoa evidence
MKUU hua nakusisitizia sana uwe na hakiba (akiba) ya manenoMpaka sasa nashangaa Lieutenant General mzima anakamatwaje kizembe, na frontline alienda kufanya nini. Huyu ni Lt. Gen. Andrei Sychevoi aliyekamatwa siku chache zilizopita pamoja na kubadili sare asitambulike cheo. Superpower etiView attachment 2351194
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]Hadi huyu anadakwa kuna wengi wamekufa
Kuna taarifa nyingi zimekamatwa