Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20220909_110452_598.jpg
images-6.jpg
 
..."tulisema...." kina nani tuliosema? Nenda ukanitag ambako nilisema ndio tuanze mjadala. Mimi sio msemaji wa kundi lolote humu JF, I present my own understanding sasa kanitag wapi nilisema ili uwe na mashiko. Tofauti na hapo siwezi nikafyatuka kujibu kauli ambayo sikuwa najua hata kama ipo
Hao hao unaowaunga mkono pamoja na media zenu mnazo ziita zakuaminika ukitoa wewe kwakule sikukuona ukitia neno
Sasa tujue KHARKIV ilokombolewa miezi ilopita ipi na hii ipiganiwayo ipi
Au vyanzo vipi mnapotoa taarifa tofauti na hv vyetu
Ila kwenye ule uzi nilikutag ujue kwamba KHARKIV ilikombolewa mda hio mnayoikomboa leo itaftieni jina jengine MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuta ni artillery splinters zile zinajeruhi sana. Zikipigwa zile kwanza mnaweweseka na zinajeruhi vibaya bora risasi. Na ubaya wa majeruhi ni kwamba inabidi abebwe, na huwa anabebwa na watu wawili. Kwahiyo mkiwa mnaretreat na kudefend position mko 20, akijeruhiwa mmoja hesabu hapo kijeshi inahesabika watu watatu wako out of action. Ndio maana majeruhi hujumlisha na waliokufa kwenye casualties, then baadae wanatengwa list ya vifo
Hichi kinachotokea wiki hii nadhani hata Marekani haamini kama Ukraine kaweza kufanya alichokifanya tena Kwa mafanikio makubwa makubwa sana
 
Mtego wa KUPOTEZA ndoano yaani uue askari in thousands? Kherson walifeli . Zelensky akalazimisha makamanda wakamuambia hapo haiwezekani .Plani ilikua kuichukua Kherson fasta na Kremia ndio mipango yao ya snake Island na mashambulizi ya warehouses na bridges . They had a roadmarp
Hao Askari waliokufa Ukraine number katoa nani kama sio Russia, unategemea atasema nn kama si kupika namba
 
Ukraine anagongwa na Chechen tu.

⚔️⚔️⚔️News from the Soledar direction: the allied forces continue to move forward
"Our fighters are systematically knocking the enemy out of the fortifications. As a result, another captured fortified area, wrecked equipment and captured infantry fighting vehicles," Kadyrov wrote⚔️⚔️⚔️

Ukraine anagongwa na Chechen tu.

[emoji3538][emoji3538][emoji3538]News from the Soledar direction: the allied forces continue to move forward
"Our fighters are systematically knocking the enemy out of the fortifications. As a result, another captured fortified area, wrecked equipment and captured infantry fighting vehicles," Kadyrov wrote[emoji3538][emoji3538][emoji3538]

View attachment 2352854
Hahahaha
 
Nendeni front line mkamsaidie super pawer wenu maana anapata tabu uko[emoji2]
 
🇷🇺 Solntsepyok heavy flamethrower system crews from Izyum-Balakleya group of troops distinguished for their courage and bravery while conducting intense fights against AFU units

💥
Servicemen have succeeded in detecting enemy's positions and launching attack by the heavy flamethrower system.

#Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Ukraine wamepigika sana kwa ule mtindo wa kupigana kama karne ya 11 munapiga kelele huku mkimguata adui kwa maelfu na mishale yenu . SASA watu 4000 kwa siku mbili si mchezo. Russia anarudi hayo maeneo . Troops ndio KWANZA zimetoka mazoezini na mchina . Hapo badala ya kushabikia ki bwege ni vema kuanza kilio

This time around jeshi la Russia halitakuwa na huruma ya kupigana vita kindugu ndugu kisa? eti ya kujali Waslav wenzao, hilo Putin asahau kabisa na kufumba macho, akumbuke ushirika wa NATO na Kiranja wao mkubwa hawaitakii mema Russian wanatamani na kupanga Urusi iwe destroyed in totality making sure it will never ever rise again to threaten western specifically US interests, wako determined kweli kweli kulitekeleza hilo kwa kupitia vita ndani ya Ukraine.

Now back to the main point - naona safari hii Putin yuko determined ku-address this proplem once and for all - ndio maana hakuvunja madaraja aliweka mtego jeshi la Ukraine liingize zana za vita pamoja na wanajeshi wengi wakidhani jeshi la Urusi limekimbia mapigano kumbee.....

Jeshi la Putin likisha weka mambo sawa, basi, jeshi la Ukraine litapata kipigo kitakatifu - Zelensky, jeshi lake na wafadhili wao wakubwa hawataamini kilicho wasibu na safari hii Zelensky atatoroka Kiev na kutokomea kusiko julikana au jeshi lake litampindua kwa kuepusha hasara zaidi za vifo ya wanajeshi, raia na infrastructures hivi sasa Zelensky amekwisha kuwa riability kwa taifa lake na sio asset tena.

Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kuwa Putin atawafyekelea mbali kwa kutumia silaha ambazo haja anza kuzitumia kwenye front line - jeshi la Ukraine naamuluki kutoka EU/Uingereza/US na Canada wataanza kuimba na kuzungumza Kilatini (Dead language) nawambieni, wiki moja mbili zijazo tutaanza kushuhudia msafara wa Ukrainian soldiers and muluki kutoka EU/UK/US na Canada POWs.
 
Over Half of Americans Believe US is ‘On the Wrong Track’ – poll

More than 60% of Americans believe their country is now “off on the wrong track,” a new Yahoo News and YouGov survey shows. The poll was conducted over September 2-6 and its results were published on Wednesday.

Of the 1,634 US adults polled, only 25% said that things in the country were “generally headed in the right direction,” whereas a whopping 63% claimed the opposite, and 12% said they were unsure.

When asked about Joe Biden’s performance as president, the majority of respondents stated they disapproved of how he is handling the key issues, such as the economy, race, guns, crime, climate change, abortion and healthcare-related matters.

Subscribe to RT
IMG_20220910_200200_080.jpg
 
View attachment 2352863

🇷🇺 Solntsepyok heavy flamethrower system crews from Izyum-Balakleya group of troops distinguished for their courage and bravery while conducting intense fights against AFU units

💥
Servicemen have succeeded in detecting enemy's positions and launching attack by the heavy flamethrower system.

#Russia #Ukraine
@mod_russia_en

Flame thrower tena!! Hapo hakuna cha kupona/kunusurika hata ukijichimbia kwenye mahandaki, kweye vifaru na magari ya deraya - watakufa kwa kukosa hewa, mapafu kupata pancha na ku-collapse na kuvunjika vunjika mifupa - flamethrowers/thermobaric rockets usababisha kifo cha mateso sana na hakuna anaye pona. Nawasikitikia sana vijana wa Ukraine ambao wapo frontline.
 
This time around jeshi la Russia halitakuwa na huruma ya kupigana vita kindugu ndugu kisa? eti ya kujali Waslav wenzao, hilo Putin asahau kabisa na kufumba macho, akumbuke ushirika wa NATO na Kiranja wao mkubwa hawaitakii mema Russian wanatamani na kupanga Urusi iwe destroyed in totality making sure it will never ever rise again to threaten western specifically US interests, wako determined kweli kweli kulitekeleza hilo kwa kupitia vita ndani ya Ukraine.

Now back to the main point - naona safari hii Putin yuko determined ku-address this proplem once and for all - ndio maana hakuvunja madaraja aliweka mtego jeshi la Ukraine liingize zana za vita pamoja na wanajeshi wengi wakidhani jeshi la Urusi limekimbia mapigano kumbee.....

Jeshi la Putin likisha weka mambo sawa, basi, jeshi la Ukraine litapata kipigo kitakatifu - Zelensky, jeshi lake na wafadhili wao wakubwa hawataamini kilicho wasibu na safari hii Zelensky atatoroka Kiev na kutokomea kusiko julikana au jeshi lake litampindua kwa kuepusha hasara zaidi za vifo ya wanajeshi, raia na infrastructures hivi sasa Zelensky amekwisha kuwa riability kwa taifa lake na sio asset tena.

Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kuwa Putin atawafyekelea mbali kwa kutumia silaha ambazo haja anza kuzitumia kwenye front line - jeshi la Ukraine naamuluki kutoka EU/Uingereza/US na Canada wataanza kuimba na kuzungumza Kilatini (Dead language) nawambieni, wiki moja mbili zijazo tutaanza kushuhudia msafara wa Ukrainian soldiers and muluki kutoka EU/UK/US na Canada POWs.
Hahahaha....Kumbe jeshi la Urusi lilikua linapigana kindugu,sasa mbona walikua wanafanya carpet bombing pale kwenye kiwanda cha chuma Mariupol walimokua wamejificha wanajeshi wa Ukraine?!

Kubalini tu Russia Kala kichapo,wanajeshi wake kibao wametekwa Kharkiv pamoja na vifaa tele,yaani kiufupi tunaweza sema Russia ameipatia Ukraine kifurushi cha silaha kama ambavyo Marekani hufanya. Hivi ni silaha gani ambayo huyo Mrashia hajaitumia huko Ukraine ukiacha Nuke?! Kashatumia Kalibr cruise missiles,Iskander,kh-101 cruise missiles,kh-22 heavy ant ship missiles, hypersonics, Thermobaric missiles and bombs,nk. Labda aipige Ukraine kwa nyuklia au afanye mobilization.
 
Hivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni watakuja kulia na kusaga meno kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara, anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine cha ajabu Waukraine wanamchekea tu bila ya kumuwajibisha.
 
Hivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni waakuja kulia na kusaga memo kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine
Kubalini tu Putin kaingia Cha kike,walimjaza upepo na yeye akajaa.., safari hii jeshi lake litachakazwa mpaka aombe poo

Wanamsubiri aingie kwenye mtego mwingine wa nyukria Ili wapate nafasi ya kumfanya kama sadam au gadafi
 
Nimegundua Russia kiwango chao cha kushambulia kinatokana na kiwango cha upinzani utakavyokuwa.

Nimeiona reinforcements aliyoipeleka. Mpaka Jumatatu tutapata matokeo ya picha halisi.
Yes Russia anataka watoe nguvu zao zote Ili zoezi la demilitarization litimie . Na litatimia . Russia hahitaji sana maeneo anachotaka ni kuua na kutengua askari wa Ukraine na kuharibu silaha zao
 
Yes Russia anataka watoe nguvu zao zote Ili zoezi la demilitarization litimie . Na litatimia . Russia hahitaji sana maeneo anachotaka ni kuua na kutengua askari wa Ukraine na kuharibu silaha zao
Kwa kuwa anazidi kupokonywa maeneo Sasa lugha imebadilika" Russia haiitaji sana maeneo"
Duh! Nimeamini kweli zelensiky kamkaba mtu kooni [emoji2]
 
Back
Top Bottom