kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hata Mimi nahis hivyo mkuu, ngoja ashikishwe adabu huyu super pawer wa mchongo [emoji12][emoji12]Hahahaha wamemlamba shaba ya kalio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Mimi nahis hivyo mkuu, ngoja ashikishwe adabu huyu super pawer wa mchongo [emoji12][emoji12]Hahahaha wamemlamba shaba ya kalio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukraine kajitoa mhanga kweli! Wanajeshi wengi wamefariki ijapokuwa amesogea mbele kidogo!Urusi ANASUBIRI kabarifi kakolee na NATO wameona hilo ndio wakaamua kujitoa ufahamu . Narudia tena Kharkiv ni jirani sana na Mother Russia. Huwezi kushangilia chochote
Ukraine iligundua wako na weak spot Kharkiv ikafanya kiini macho Kherson kwa siku nyingi. Mwishowe ikashambulia Kherson kwenyewe ambako ndiko Russia ameweka nguvu nyingi, ndio maana Ukraine uko ilikuwa haifanyi vizuri hadi sasa hata hapatoi headlines. Na Warusi humu wakawa wanaringa eti Kherson offensive imefeli, kumbe mtego umewekwa na ghafla Kharkiv imeshambuliwa. Ni kama Ukraine inatumia Blitzkrieg paleNaona wanaacha hadi silaha, huenda wameambiwa waretreat kwani silaha nyingi wameacha nyuma. Kama ingekuwa ni kujipanga lazima wangeondoka na silaha zao
Naona mnarukaruka tuuu[emoji16][emoji23][emoji16]Inasemekana Urusi inajipanga kuvamia tena mara ya 2 mwezi Oct
Unaweza kuta ni artillery splinters zile zinajeruhi sana. Zikipigwa zile kwanza mnaweweseka na zinajeruhi vibaya bora risasi. Na ubaya wa majeruhi ni kwamba inabidi abebwe, na huwa anabebwa na watu wawili. Kwahiyo mkiwa mnaretreat na kudefend position mko 20, akijeruhiwa mmoja hesabu hapo kijeshi inahesabika watu watatu wako out of action. Ndio maana majeruhi hujumlisha na waliokufa kwenye casualties, then baadae wanatengwa list ya vifoHahahaha wamemlamba shaba ya kalio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nimtag huyu bwana aje[emoji1126][emoji1099]Hungary may withdraw from the EU because of its position on anti-Russian sanctions.
This opinion was expressed by Czech Minister for European Affairs Mikulas Bek on the air of Radio Český rozhlas Plus.
Hungary does not follow the policy of anti-Russian sanctions.
Mtego wa KUPOTEZA ndoano yaani uue askari in thousands? Kherson walifeli . Zelensky akalazimisha makamanda wakamuambia hapo haiwezekani .Plani ilikua kuichukua Kherson fasta na Kremia ndio mipango yao ya snake Island na mashambulizi ya warehouses na bridges . They had a roadmarpUkraine iligundua wako na weak spot Kharkiv ikafanya kiini macho Kherson kwa siku nyingi. Mwishowe ikashambulia Kherson kwenyewe ambako ndiko Russia ameweka nguvu nyingi, ndio maana Ukraine uko ilikuwa haifanyi vizuri hadi sasa hata hapatoi headlines. Na Warusi humu wakawa wanaringa eti Kherson offensive imefeli, kumbe mtego umewekwa na ghafla Kharkiv imeshambuliwa. Ni kama Ukraine inatumia Blitzkrieg pale
Kwan huko UKRAINE kuna KHARKIV ngapi MKUUUkraine iligundua wako na weak spot Kharkiv ikafanya kiini macho Kherson kwa siku nyingi. Mwishowe ikashambulia Kherson kwenyewe ambako ndiko Russia ameweka nguvu nyingi, ndio maana Ukraine uko ilikuwa haifanyi vizuri hadi sasa hata hapatoi headlines. Na Warusi humu wakawa wanaringa eti Kherson offensive imefeli, kumbe mtego umewekwa na ghafla Kharkiv imeshambuliwa. Ni kama Ukraine inatumia Blitzkrieg pale
Nimegundua Russia kiwango chao cha kushambulia kinatokana na kiwango cha upinzani utakavyokuwa.View attachment 2352788
💥 Hitting back, don't cry my Friends
Reinforcements have arrived: Hurricanes are hitting Ukrainians.
Our fighters staged a fiery hell in the Kupyansk direction.💥
Super pawer kawekewa ndoano kaingia mazima[emoji2]Ukraine iligundua wako na weak spot Kharkiv ikafanya kiini macho Kherson kwa siku nyingi. Mwishowe ikashambulia Kherson kwenyewe ambako ndiko Russia ameweka nguvu nyingi, ndio maana Ukraine uko ilikuwa haifanyi vizuri hadi sasa hata hapatoi headlines. Na Warusi humu wakawa wanaringa eti Kherson offensive imefeli, kumbe mtego umewekwa na ghafla Kharkiv imeshambuliwa. Ni kama Ukraine inatumia Blitzkrieg pale
Tulikuwa tunawazoom tu Hawa pro Russia wakijishebedua,Kumbe washabiki wa Ukraine wengi hivi! Sijui walikuwa wamejificha wapi [emoji3]. Vita bado mbichi hii sijui nani atashinda...
Hakuna namna, ngoja wapokee kichapo Hawa vijana wa super pawer wa mchongo..,alipewa option 2 ,avamie au asivamie akachagua kuvamia, hivyo kipigo ni Halali yake,Unaweza kuta ni artillery splinters zile zinajeruhi sana. Zikipigwa zile kwanza mnaweweseka na zinajeruhi vibaya bora risasi. Na ubaya wa majeruhi ni kwamba inabidi abebwe, na huwa anabebwa na watu wawili. Kwahiyo mkiwa mnaretreat na kudefend position mko 20, akijeruhiwa mmoja hesabu hapo kijeshi inahesabika watu watatu wako out of action. Ndio maana majeruhi hujumlisha na waliokufa kwenye casualties, then baadae wanatengwa list ya vifo
..."tulisema...." kina nani tuliosema? Nenda ukanitag ambako nilisema ndio tuanze mjadala. Mimi sio msemaji wa kundi lolote humu JF, I present my own understanding sasa kanitag wapi nilisema ili uwe na mashiko. Tofauti na hapo siwezi nikafyatuka kujibu kauli ambayo sikuwa najua hata kama ipoKwan huko UKRAINE kuna KHARKIV ngapi MKUU
Maana miezi minne nyuma ama mitatu mlisema imekombolewa
Leo tena naona munakuja na maneno mapya kuihusu KHARKIV kana kwamba hamkuwahi ikimboa
Kuna uzi nakutag huko najua unauona ila munaukaushia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na mwenzako Vunjo sina shaka nanyi maana hata wakati ule mnatembezewa kichapo mliendelea kutupia ma video tu🤣🤣🤣Tulikuwa tunawazoom tu Hawa pro Russia wakijishebedua,