Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Umechelewa sana ,wenzako tushabeba mji ndio unakuja na vijiclip uchwaraPICHA ZINATISHA SIWEZI KUZIWEKA HAPA. UKRAINE WANAPUKUTIKA KAMA NZI
Reportedly from the Kharkov Front.
View attachment 2353203
Mbolea hiyoKAZI SASA IMEPAMBAMOTO
New Akhmat forces ready for deployment to the war zone
View attachment 2353214
Kama unashindwa kuweka sisi tunakuwekea na video kabisa vijana wenu tunakamata matekaPICHA ZINATISHA SIWEZI KUZIWEKA HAPA. UKRAINE WANAPUKUTIKA KAMA NZI
Reportedly from the Kharkov Front.
View attachment 2353203
Zelensky Mara kwa Mara anasema hii kauli. Hivi winter ina Uhusiano gani na hii Vita. Maana hii sio Mara 1 anatoa hii kauli.[emoji845][emoji3587][emoji3063][emoji1255][emoji1099]Zelensky: 90 days of next winter will decide more than 30 years of Ukraine's independence and than all the years of the EU's existence[emoji845]
100 Days 22 Hours 47 Minutes until winter [emoji352][emoji3587][emoji3063]
Someni kwanza historia ya kweli kuhusu kiini cha mgogoro huu wa Ukraine bila ya kutumbukiza masuala ya ushabeki, tujaribu kuwa wakweli hapa - Zelensky/Ukraine mgogoro/vita hii waliuutaka wenyewe, msianze kumlahumu Putin bila sababu -kumbe mlitaka Putin afanyeje baada ya kuona Taifa lake linatishiwa kiusalama na Mataifa ya NATO, wanakwenda mbali zaidi mpaka wanafikia hatua ya kujenga maabara chungu nzima nchi Ukraine zenye lengo la kuzalisha virusi hatarishi kwa binadamu pamoja na Chemical weapons lengo likiwa ni kutaka kuwaangamiza mamillion ya Warusi bila sababu zozote za msingi - kisa? hawataki Warusi in particular Putin wanaye mchukulia/muona ni tishio kwenye agenda zao za siri,namely: (NWO), Global hegemony and Unipolar World wanataka/lazimisha ku-maintain vices zote tajwa hapo juu - wanaye muona ni kikwanzo kwenye crusade zao za kishetani wako radhi kumtoa pumzi au kushambulia kijeshi taifa ambalo hawalipendi wanafikia hata hatua ya kupindua Serikali halali za Nchi huru kama kuna uwezekano ili kutimiza malengo yao ya siri -jamaa hawa ni hatari sana kwa amani ya Dunia - kwa bahati mbaya ni watu wachache Duniani wanao tambua ukweli huu.
Naziomba Pm mkuuPICHA ZINATISHA SIWEZI KUZIWEKA HAPA. UKRAINE WANAPUKUTIKA KAMA NZI
Reportedly from the Kharkov Front.
View attachment 2353203
Bado hujachoka kuleta hekaya zako[emoji2]Russian Su-25 attack aircraft supporting Russian Armed Forces troops in the Izyum-Balakleya direction.
Attack aircraft crews carry out missile attacks on military facilities and equipment of the Armed Forces of Ukraine from low altitudes, firing unguided rockets at an angle, using their ballistic computers that calculate the angle/drop off.
Ni hatari. Wamejaa kwenye 18PICHA ZINATISHA SIWEZI KUZIWEKA HAPA. UKRAINE WANAPUKUTIKA KAMA NZI
Reportedly from the Kharkov Front.
View attachment 2353203
Nyie endeleeni kujifariji,tunasonga mbele mpaka ukombozi wa Crimea..,Ni hatari. Wamejaa kwenye 18
Je una takwimu ni nani aliyefundisha vijana wengi zaidi wa Tanzania: Urusi, Uingereza, Marekani??Mkuu, Watanzania walio wengi hawakumbuki au hawana habari kuhusu mchango mkubwa wa Taifa la Urusi katika kusomesha vijana wengi kwenye Vyuo Vikuu vya Taifa la Urusi katika nyanja zaUinjinia(Civil,Mechanical,Chemical,Electrical na Electronics), Madaktari, Ecomomists, Utawala na siasa.
Russia ilifanya jambo la ziada kwa kujenga Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba Moscow mahususi kwa kufundisha vijana wengi kutoka third World Nations specifically Bara la Africa, walikuwa wanasomeshwa bure na kulipiwa kila kitu.
Msaada wa Urusi haukuishia hapo, pia walijitolea kuwapa mafunzo ya kijeshi wapigania uhuru wa Afrika, wakapewa silaha na kuanzisha makambi ya maalumu yakuwafundisha wapigania uhuru jinsi ya kitumia silaha nzito nzito kama mizinga,MRLS,silaha za kutungulia ndege nk - wapigania uhuru waliopitia mafunzo hayo usimulia kwamba mafunzo yalikuwa kama vita hasa hasa na sio mchezo, wengine walipoteza maisha wakiwa katika mafunzo ya kijeshi - wanasema mpaka leo ukienda, mfano: Kongwa,Nachingwea nk bado kumebaki kuna mabaki/alama za kuonyesha kwamba mafunzo hayakuwa lelemama hata kidogo.
Huo ndio mchango wangu kuhusu ni jambo gani la maana sana ambalo Urusi ilisaidia Bara la Africa - kuna baadhi ya watu upenda penda sana kubeza beza sana mchango wa Urusi katika kukomboa baadhi ya Mataifa barani Africo yaliyo kuwa chini ya Ukoloni, sijui kwa nini?
Nitumie PM mkuuPICHA ZINATISHA SIWEZI KUZIWEKA HAPA. UKRAINE WANAPUKUTIKA KAMA NZI
Reportedly from the Kharkov Front.
View attachment 2353203