Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jukwaa hili tangu siku ya kwanza tu imefunguliwa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji. Pia nimekuwa mfuatiliaji wa vita na kwa jinsi ambavyo sipendi vita na kwa jinsia sipendi binadamu akifa kwa kuuawa kila siku moyoni nimekuwa nikitamani Vita hii kuisha kabla ya watu kuana.

Kuna kitu nimejifunza kadiri vita inavyoenda. Kwamba hata mtu akikukosea, mwanzo kabisa akiomba yaishe mkae mezani muyamalize ukubali bila kumuwekea masharti magumu. Mwanzo kabisa mwa vita hii Ukraine walikuwa wanaomba wasiende vitani wayamalize kinyumbani na wao hatajiunga na NATO na walikuwa tayari kuiachia Cremia. Lakini Urusu ilikuwa ikitoa masharti magumu. Kwa hali inavyoenda watamaliza vita kibabe huku wote wakipoteza roho nyingi, Ukraine ikibaki na ardhi yake yote na Urusu akirudi nyumbani huku amepoteza vijana wake wengi.

Ni mimi muhanga wa TOZO.
Haya mchambuzi wa zamu 🤣🤣🤣
 
Yaani Hawa Ukraine wana propaganda za kitoto Sana[emoji28]

Jamaa kawaumbua[emoji38]
Screenshot_20220909-215530.jpg
 
Comments nyingine ukizisoma ni pasua kichwa kabisa - logic yako ina lengo gani hasa? Eti labda Urusi itumie nukes - sisi tuna moral authority gani ya kupangia Warusi watumie silaha gani/zipi kulinda Taifa lake na Raia wakivamiwa na majambazi na majitu makatiri kupindukia yasiyo penda Urusi iwashinde kete katika harakati zao za kutekeleza mawazo yao ya kishetani (NWO), nawambieni bila uwepo wa Urusi hasa hasa Putin Dunia nzima ungekuwa imeshikiliwa mateka na genge hili ovo, watu hawajui tu umuhimu wa uwepo wa Urusi na Uchina ku-counter kundi hili hatarishi.
Dawa ya mjinga ni wa kuwapuuza, achana nao hao Mkuu wasikupotezee muda.
 
Unaweza kutusaidia mchango wa Rusia KIELIMU KATIKA AFRICA. Kwa msingi wa kwamba siraha ya kwanza ya kukabiliana na nia ovu za wazungu ni kupata ukombozi wa kifikra?

Mkuu, Watanzania walio wengi hawakumbuki au hawana habari kuhusu mchango mkubwa wa Taifa la Urusi katika kusomesha vijana wengi kwenye Vyuo Vikuu vya Taifa la Urusi katika nyanja zaUinjinia(Civil,Mechanical,Chemical,Electrical na Electronics), Madaktari, Ecomomists, Utawala na siasa.

Russia ilifanya jambo la ziada kwa kujenga Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba Moscow mahususi kwa kufundisha vijana wengi kutoka third World Nations specifically Bara la Africa, walikuwa wanasomeshwa bure na kulipiwa kila kitu.

Msaada wa Urusi haukuishia hapo, pia walijitolea kuwapa mafunzo ya kijeshi wapigania uhuru wa Afrika, wakapewa silaha na kuanzisha makambi ya maalumu yakuwafundisha wapigania uhuru jinsi ya kitumia silaha nzito nzito kama mizinga,MRLS,silaha za kutungulia ndege nk - wapigania uhuru waliopitia mafunzo hayo usimulia kwamba mafunzo yalikuwa kama vita hasa hasa na sio mchezo, wengine walipoteza maisha wakiwa katika mafunzo ya kijeshi - wanasema mpaka leo ukienda, mfano: Kongwa,Nachingwea nk bado kumebaki kuna mabaki/alama za kuonyesha kwamba mafunzo hayakuwa lelemama hata kidogo.

Huo ndio mchango wangu kuhusu ni jambo gani la maana sana ambalo Urusi ilisaidia Bara la Africa - kuna baadhi ya watu upenda penda sana kubeza beza sana mchango wa Urusi katika kukomboa baadhi ya Mataifa barani Africo yaliyo kuwa chini ya Ukoloni, sijui kwa nini?
 
The Ukrainian telegram channel ZeRada writes:
At the moment, the situation in Kupyansk looks like this.

After two unsuccessful assaults using tanks, the Armed Forces of Ukraine began shelling the bridge across the Oskol River.

Most likely, intelligence has information that motorized columns of the RF Armed Forces are on the way, and the bridge must be destroyed so that the Russian tanks would not enter the city.

The idea of forcing Oskol and advancing further by the Armed Forces of Ukraine was abandoned
 
Haya Makombora AGM-88 HARM ni ya zamani lakini yanavyobomoa Rada za Urusi sio poa. Hili kombora linalock emissions za Rada then unafyatua kazi nyingine inafanya yenyewe itafuata hizo emissions mpaka rada ilipo na kuibomoa. Russia kazi anayo,akiwasha Rada Agm-88 zinamsubiri akizima Rada Himars zinapishana angani. Nadhani baada ya hii vita hatutasikia tena zile kelele za sijui S-300,S-400 maana kwenye vita zimedhalilishwa Ile mbaya

Kwani mkuu wewe mbwembwe za s300 na s400 bado unazisikia?
 
1662754653329.png

The operational situation on September 9, according to the French Ministry of Defense:

1️⃣
Northern Front - counteroffensive of the Armed Forces of Ukraine in the Kharkiv region

2️⃣
Eastern Front - the situation is relatively stable. Russian troops are concentrating their efforts in the area of Bakhmut and Donetsk

3️⃣
Southern Front - the continuation of the Ukrainian attack on Kherson.
Armed Forces remain active in this area
The IAEA maintains its presence at the Zaporozhye NPP122:41
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 9, 2022)

◽️ The Armed Forces of Ukraine made various unsuccessful attempts to attack, suffered losses and withdrew their forces at Nikolayev-Krivoy Rog direction.

💥 Manpower and military equipment of 46th Airmobile Brigade, 35th Marines' Brigade and 61st Chaser Infantry Brigade have been neutralised near Bezymennoye, Novogrigoryevka (Nikolayev region) and Sukhoy Stavok (Kherson region).

📊 The enemy has lost a total of 3 tanks, 4 infantry combat vehicles and 7 other armoured vehicles, 2 pickups with large-calibre machine guns and over 270 servicemen at Nikolayev-Krivoy Rog direction.

💥 High-precision attacks of Russian Aerospace Forces have resulted in the neutralisation of the command posts of Kraken nationalist group deployed near Prishib (Kharkov region) and 93rd Mechanised Brigade near Artyomovsk (Donetsk People's Republic). Over 50 nationalists, as well as 16 units of special military equipment and motor vehicles have been eliminated.

💥 Attacks launched by high-precision ground-based armament at the provisional bases of the units from 127th Territorial Defence Brigade and 14th Mechanised Brigade deployed near Kharkov have resulted in the elimination of over 50 and wounding over 120 Ukrainian servicemen.

Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery continue launching attacks at the military facilities in Ukraine.

💥 8 AFU command posts have been neutralised near Lebyazhye, Chervony Yar, Gusarovka and Liman (Kharkov region), Maryinka and Ray-Aleksandrovka (Donetsk People's Republic), Krivoy Rog (Dnepropetrovsk region), Gulyay Pole (Zaporozhye region), as well as 52 artillery units, 153 AFU manpower and military equipment concentration areas.

💥 3 AFU missile, artillery and munitions depots have been destroyed near Chuguyev (Kharkov region) and Radushnoye (Dnepropetrovsk region).

💥 1 combat vehicle of U.S.-manufactured HIMARS multiple rocket-launching system has been destroyed near Chervony Donets (Kharkov region).

💥 1 U.S.-manufactured M-777 howitzer has been destroyed near Rovnopolye (Zaporozhye region).

💥 Air defence means have shot down 6 unmanned aerial vehicles near Izyum (Kharkov region), Staromlinovka, Kirillovka, Slavnoye and Makeyevka (Donetsk People's Republic), as well as Sladkaya Balka (Zaporozhye region).

💥 18 projectiles launched by HIMARS and Olkha MRLS have been destroyed in air near Novaya Kakhovka and Golaya Pristan (Kherson region), as well as near Kakhovka hydroelectric plant.

📊 In total, 293 airplanes and 152 helicopters, 1,916 unmanned aerial vehicles, 374 air defence missile systems, 4,870 tanks and other armoured combat vehicles, 827 combat vehicles equipped with MRLS, 3,371 field artillery cannons and mortars, as well as 5,417 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

⚠️ Kiev regime continues its provocations aimed at creating a possible technological disaster at Zaporozhye nuclear power plant.

◽️ 6 artillery attacks launched at Energodar have been recorder over the past 24 hours. A total of 27 projectiles have been launched from Marganets located at the opposite shore of Kakhovka reservoir.

◽️ The attack launched at the power transmission line has resulted in leaving the city without electricity.

💥 Enemy firepower has been neutralised by Russian artillery's counter-attack.

◽️ The personnel controls the technical condition of the nuclear power plant.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en

Hata ukipitia report hii inaonyesha wazi wazi kwamba waleta taarifa wako well organised na ni ma-professionals unlike Zelensky's Dad's Army wanao tuletea highly sensational news about Ukranian war - ajabu sana, niliwahi kuona picha za HIMARS system zikionyesha zina fyatua roketis za kwenda kushambulia Russian ammunition dump, kumbe picha hizo hazina uhusiano wowote na vita ya Ukraine, ilipigwa wakati wa mazoezi ya kijeshi Nchini Morocco - just imagine!! Wakaleta video clip nyingine eti ikionyesha HIMARS roketis zikifyatuliwa kwenda kuvunja madaraja yanayo pitisha zana za kivita za Urusi, kumbe video clip yenyewe ilipigwa kwenye majaribio ya silaha kwenye jimbo la Nevada nchini Merikani na sio Ukraine - you can imagine jinsi jeshi la Zelensky na wafadhila wao/USA wanavyo weza ku-manipulate habari za uongo na uzushi na kuzifanya zionekane ni za kweli kwamba jeshi la Urusi linapata cha MOTO, watashindwa vita next week !!!Uzuri sisi tumekwisha wajulia hulka zao hivyo hiyo haitupi shida hata kidogo, tunawachukulia kama walivyo, cha muhimu ni kwamba time will tell eventually - come December tutashuhudia mengi.
 
Hata ukipitia report hii inaonyesha wazi wazi kwamba waleta taarifa wako well organised na ni ma-professionals unlike Zelensky's Dad's Army wanao tuletea highly sensational news about Ukranian war - ajabu sana, niliwahi kuona picha za HIMARS system zikionyesha zinafyatua roketis zakwenda kushambulia Russian ammunition dump, kumbe picha hizo haina uhusiano wowote na vita ya Ukraine, ilipigwa wakati wa mazoezi ya kijeshi Nchini Morocco, wakaleta nyingine eti inafyatuliwa kuvunja madaraja yanayo pitisha zana za kivita za Urusi kumbe picha yenyewe ilipigwa kwenye majaribio ya silaha Nevada nchini Merikani na sio Ukraine - you can imagine jinsi jeshi la Zelensky na wafadhila wao/USA wanavyo weza ku-manipulate habari za uongo na uzushi na kuzifanya niza kweli!!! Tumekwisha wajulia hiyo haitupi shida hata kidogo, tunawachukulia walivyo time will tell - come December.
Niliwaambia Kharkiv ni mdomoni mwa Russia . Ukraine kapishwa ajae
 
[emoji845][emoji1188][emoji573] - North Korea says new law allows it to automatically launch nuclear strike against enemy target if it is attacked[emoji845]

[emoji1188] - Kim Jong Un says there will be no negotiations over denuclearisation. 'Nuclear weapon state status irreversible'.

The DPRK has adopted a law proclaiming it a responsible nuclear state, KCNA reported.
Habari njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom