Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa jamaa ni ma twin? Maana collabo yao sio ya kitoto
1662744161499.png
 
Tukimbie kwa sababu gani wala sioni cha kusababisha sisi tukimbie.kwa hayo maeneo ya UKRAINE waliochukua ndo tukimbie.tunashikilia zaidi ya 120,000 km.nyie kuchukua km 50 mnaona kama mmekomboa UKRAINE yote.kibaya vita haipo KHARKIV peke yake.huko DONESK jana tumechukua baadhi ya vijiji vingine ila ilo mnajifanya kama sio habari.

Kherson mmekimbia hamtaki hata kupasikia kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenifuraisha ulipotumia maneno kama tukimbie, Sisi Yan ni kama na wewe upo vitani kumbe bongo hapahapa
 
NWO ni nini?
Sehemu gani duniani wameshikwa mateka na hili genge la NWO?
Hasara za NWO ni zipi?
Watu wanaingia vipi katika NWO?
Russia na China wanazuia vipi sehemu nyingine za duniani kuingizwa kwenye hili "genge" la NWO?
Comments nyingine ukizisoma ni pasua kichwa kabisa - logic yako ina lengo gani hasa? Eti labda Urusi itumie nukes - sisi tuna moral authority gani ya kupangia Warusi watumie silaha gani/zipi kulinda Taifa lake na Raia wakivamiwa na majambazi na majitu makatiri kupindukia yasiyo penda Urusi iwashinde kete katika harakati zao za kutekeleza mawazo yao ya kishetani (NWO), nawambieni bila uwepo wa Urusi hasa hasa Putin Dunia nzima ungekuwa imeshikiliwa mateka na genge hili ovo, watu hawajui tu umuhimu wa uwepo wa Urusi na Uchina ku-counter kundi hili hatarishi.
 
Jukwaa hili tangu siku ya kwanza tu imefunguliwa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji. Pia nimekuwa mfuatiliaji wa vita na kwa jinsi ambavyo sipendi vita na kwa jinsia sipendi binadamu akifa kwa kuuawa kila siku moyoni nimekuwa nikitamani Vita hii kuisha kabla ya watu kuana.

Kuna kitu nimejifunza kadiri vita inavyoenda. Kwamba hata mtu akikukosea, mwanzo kabisa akiomba yaishe mkae mezani muyamalize ukubali bila kumuwekea masharti magumu. Mwanzo kabisa mwa vita hii Ukraine walikuwa wanaomba wasiende vitani wayamalize kinyumbani na wao hatajiunga na NATO na walikuwa tayari kuiachia Cremia. Lakini Urusu ilikuwa ikitoa masharti magumu. Kwa hali inavyoenda watamaliza vita kibabe huku wote wakipoteza roho nyingi, Ukraine ikibaki na ardhi yake yote na Urusu akirudi nyumbani huku amepoteza vijana wake wengi.

Ni mimi muhanga wa TOZO.
 
Mtego waliyowekewa Ukraine ni wahatari wanajisifu wanakamata maeneo kumbe wanasubiriwa wajae wazingukwe na wauwawe au wajisalimishe Russia sio watu wazuri dah acha tuandae popcorn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2351708
Hahahaha nyie si ndo mlikua mnakesha humu mnasema Ukraine hawezi kukomboa hata mtaa Leo mnasema mtego!!!!

Mtego gani huo wanajeshi wanadakwa pamoja na vifaa vyao kutekwa. Kupitia hii counter offensive Ukraine amejipatia masilaha ya Bure kibao baada ya wanajeshi wa Urusi kukimbia na kuacha zana zao kuanzia air defenses,mizinga,maroketi,mabomu,nk.

Kweli comedian kiboko
 
Ndugu yangu hata Mimi nashangazwa na uduni au udhaifu wa hoja za Hawa wanaojiita pro-NATO....eti Russia idanganyike na mbinu za Zelensky na NATO za kujifanya wanashambulia Kherson kumbe Target yao ni Kharkiv na kwamba eti Russia akadanganyika na kupeleka majeshi yake huko Kherson na kuacha 'mlango wazi' Kharkiv....duh...yaani kwa jeshi la Russia ninalolifahamu lijiingize kwenye mtego wa Aina hiyo?!?! Dah...
Hahaha huo ndo ukweli mkuu.anavyo bumbuluka na kuanza kukaza kaskazini jamaa ndo wanaanza kherson sas
saintjavelin-20220909-0001.jpg
View attachment 2351775
 
Barua imeandikwa Kirusi,reaction ni ya Kingereza,ambayo obviously sio ya Russian official,how do we know it is authentic.Lakini kwa nini kila wakati mnaitetetea Ukraine ambayo after all it is such an evil government?Yaani your comments are so dubious and untrustworthy.
Tumia Google translate.hapo chini ni summary ya kilicho andikwa kwenye barua
 
We are getting information that tos-1a is being transferred to an izjum front. Let's pray for Ukrainians. This is the end of them.
Tos-1a develops a temperature of 3000 degrees, destroying all living things in a large radius. You can't hide from him, your lungs will simply burn out of oxygen, no matter where you hide.
View attachment 2351473
View attachment 2351474
A large number of the Russian army is transferred to the Izjum front. The collapse of the Ukrainian army, which numbers thousands of soldiers on that front, is expected. This is the key moment of this operation, when the main part of the Ukrainian army is broken, the Russians will be left clean and that whole front will start to collapse
View attachment 2351479
View attachment 2351480
Mamæ linakufa jitu hapa
 
Back
Top Bottom