Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Barua imeandikwa Kirusi,reaction ni ya Kingereza,ambayo obviously sio ya Russian official,how do we know it is authentic.Lakini kwa nini kila wakati mnaitetetea Ukraine ambayo after all it is such an evil government?Yaani your comments are so dubious and untrustworthy.
Barua imeandikwa Kirusi,reaction ni ya Kingereza,ambayo obviously sio ya Russian official,how do we know it is authentic.Lakini kwa nini kila wakati mnaitetetea Ukraine ambayo after all it is such an evil government?Yaani your comments are so dubious and untrustworthy.

Barua hiyo ni fake - yaani Zelensky na wafadhili wake wa magharibi wamechanganyikiwa kichizi, wanasema chochote kinacho wajia kichwani - kila kitu fake: pictures/photo fake,video clips fake, so called massive counter offensive has failed miserably in spite of western media publicity stunts and Boris Johnson efforts of convincing Zelensky Dad's Army to commit suicide by attacking Russian forces in occupied South East Region and cities - Zelensky is a hard man with no remorse at all.
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 9, 2022)

◽️ The Armed Forces of Ukraine made various unsuccessful attempts to attack, suffered losses and withdrew their forces at Nikolayev-Krivoy Rog direction.

💥 Manpower and military equipment of 46th Airmobile Brigade, 35th Marines' Brigade and 61st Chaser Infantry Brigade have been neutralised near Bezymennoye, Novogrigoryevka (Nikolayev region) and Sukhoy Stavok (Kherson region).

📊 The enemy has lost a total of 3 tanks, 4 infantry combat vehicles and 7 other armoured vehicles, 2 pickups with large-calibre machine guns and over 270 servicemen at Nikolayev-Krivoy Rog direction.

💥 High-precision attacks of Russian Aerospace Forces have resulted in the neutralisation of the command posts of Kraken nationalist group deployed near Prishib (Kharkov region) and 93rd Mechanised Brigade near Artyomovsk (Donetsk People's Republic). Over 50 nationalists, as well as 16 units of special military equipment and motor vehicles have been eliminated.

💥 Attacks launched by high-precision ground-based armament at the provisional bases of the units from 127th Territorial Defence Brigade and 14th Mechanised Brigade deployed near Kharkov have resulted in the elimination of over 50 and wounding over 120 Ukrainian servicemen.

Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery continue launching attacks at the military facilities in Ukraine.

💥 8 AFU command posts have been neutralised near Lebyazhye, Chervony Yar, Gusarovka and Liman (Kharkov region), Maryinka and Ray-Aleksandrovka (Donetsk People's Republic), Krivoy Rog (Dnepropetrovsk region), Gulyay Pole (Zaporozhye region), as well as 52 artillery units, 153 AFU manpower and military equipment concentration areas.

💥 3 AFU missile, artillery and munitions depots have been destroyed near Chuguyev (Kharkov region) and Radushnoye (Dnepropetrovsk region).

💥 1 combat vehicle of U.S.-manufactured HIMARS multiple rocket-launching system has been destroyed near Chervony Donets (Kharkov region).

💥 1 U.S.-manufactured M-777 howitzer has been destroyed near Rovnopolye (Zaporozhye region).

💥 Air defence means have shot down 6 unmanned aerial vehicles near Izyum (Kharkov region), Staromlinovka, Kirillovka, Slavnoye and Makeyevka (Donetsk People's Republic), as well as Sladkaya Balka (Zaporozhye region).

💥 18 projectiles launched by HIMARS and Olkha MRLS have been destroyed in air near Novaya Kakhovka and Golaya Pristan (Kherson region), as well as near Kakhovka hydroelectric plant.

📊 In total, 293 airplanes and 152 helicopters, 1,916 unmanned aerial vehicles, 374 air defence missile systems, 4,870 tanks and other armoured combat vehicles, 827 combat vehicles equipped with MRLS, 3,371 field artillery cannons and mortars, as well as 5,417 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

⚠️ Kiev regime continues its provocations aimed at creating a possible technological disaster at Zaporozhye nuclear power plant.

◽️ 6 artillery attacks launched at Energodar have been recorder over the past 24 hours. A total of 27 projectiles have been launched from Marganets located at the opposite shore of Kakhovka reservoir.

◽️ The attack launched at the power transmission line has resulted in leaving the city without electricity.

💥 Enemy firepower has been neutralised by Russian artillery's counter-attack.

◽️ The personnel controls the technical condition of the nuclear power plant.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
T14 Armata unakumbuka wiki chache zilizopita tulikua tunajiuliza Ukraine inalauch HARM missiles Kwa kutumia platform gani,kumbe jamaa wameintergrate kwenye ndege zao wenyewe. Hapo bado Poland hajawapa zile Mig-29 anazotaka kuzireplace na f-16View attachment 2351646
Ile video clip niliiona ya Mig-29. Bado tukaja ona kuna team ya Ukrainians ilienda Marekani kufundishwa kufyatua Harpoon anti ship missiles ila Ukraine haikuwa na launching platform. Baadae wakatengeneza kwa kutumia flatbeds na ndio ilishambulia Russian versel moja ukiachana na Moskva
 
Nimeamini Urusi hana uwezo wa kupigana na USA labda atumie Nukes

Comments nyingine ukizisoma ni pasua kichwa kabisa - logic yako ina lengo gani hasa? Eti labda Urusi itumie nukes - sisi tuna moral authority gani ya kupangia Warusi watumie silaha gani/zipi kulinda Taifa lake na Raia wakivamiwa na majambazi na majitu makatiri kupindukia yasiyo penda Urusi iwazidi kete katika harakati zao za kutekeleza mawazo yao ya kishetani (NWO), nawambieni bila uwepo wa Urusi hasa hasa Putin Dunia nzima ungekuwa imeshikiliwa mateka na genge hili ovo, watu hawajui tu umuhimu wa uwepo wa Urusi na Uchina ku-counter kundi hili hatarishi.
 
Ile video clip niliiona ya Mig-29. Bado tukaja ona kuna team ya Ukrainians ilienda Marekani kufundishwa kufyatua Harpoon anti ship missiles ila Ukraine haikuwa na launching platform. Baadae wakatengeneza kwa kutumia flatbeds na ndio ilishambulia Russian versel moja ukiachana na Moskva
Na baada ya harpoon kufika Russia kasogeza Meli zake mbali kabisa hata efficiency ya Navy Yao imepungua kwa kiasi kikubwa Sana.

Norway akipeleka Naval Strike Missile wamekwisha
 
Comments nyingine ukizisoma ni pasua kichwa kabisa - logic yako ina lengo gani hasa? Eti labda Urusi itumie nukes - sisi tuna moral authority gani ya kupangia Warusi watumie silaha gani zipi kulinda Taifa lake na Raia wakivamiwa na majambazi na majitu makatiri kupindukia yasiyo penda Urusi iwashinde kete katika harakati zao za kutekeleza mawazo yao ya kisetani (NWO) bila uwepo wa Urusi hasa hasa Putin Dunia nzima ungekuwa imeshikiliwa mateka na genge hili ovo, watu hawajui tu umuhimu wa uwepo wa Urusi na Uchina ku-counter kundi hili hatarishi.
Unaweza kutusaidia mchango wa Rusia KIELIMU KATIKA AFRICA. Kwa msingi wa kwamba siraha ya kwanza ya kukabiliana na nia ovu za wazungu ni kupata ukombozi wa kifikra?
 
Bro zamu yao saiv afu yule msemaji wa jeshi anaendelea kuwapa moyo raia kuwa kila kitu kinaenda according to plan.afu Kuna hii imevuja View attachment 2351554View attachment 2351560
Watasema ni propaganda. Hapo hatujawagusia MIA (missed in action) ambao wengi wao wamekufa bado hawapo kwenye hiyo list. Hiyo ni list ya KIA (killed in action) pekee. DPR na LLR fighters ni kama chawa tu, viherehere wala Russia haina time nao kwa maana hawana madhara kisiasa
 
Ndugu yangu hata Mimi nashangazwa na uduni au udhaifu wa hoja za Hawa wanaojiita pro-NATO....eti Russia idanganyike na mbinu za Zelensky na NATO za kujifanya wanashambulia Kherson kumbe Target yao ni Kharkiv na kwamba eti Russia akadanganyika na kupeleka majeshi yake huko Kherson na kuacha 'mlango wazi' Kharkiv....duh...yaani kwa jeshi la Russia ninalolifahamu lijiingize kwenye mtego wa Aina hiyo?!?! Dah...
Wewe unafahamu jeshi la Urusi tangu lini? Usijikute unajusa sana mkuu? Kwenye jeshi la urusi wew unacheo gani hapo kremlin? Yani kwa kupata story ndio unataka kujiaminisha unalijua jeshi?.

Performance yake ni hovyo tangu hii so called operation ianze sio kuleta story vitu vinaonekana wazi. Wachambizi wakubwa wanashangaa hata wale waliokuwa wanaogopa kama wewe sasa sasa hawaogopi tena.
 
Miji inarusi kwa speed kazi inapigwa sio ya kitotoView attachment 2351490
Mtego waliyowekewa Ukraine ni wahatari wanajisifu wanakamata maeneo kumbe wanasubiriwa wajae wazingukwe na wauwawe au wajisalimishe Russia sio watu wazuri dah acha tuandae popcorn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20220909_110452_598.jpg
 
Back
Top Bottom