T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Safi sana dementia Joe Biden. Tutaona kama silaha zitakuja na dementia na zenyeweDimentia Joe Biden pledges an extra US $ 1 billion millitary aid to Ukraine
Safi sana dementia Joe Biden. Tutaona kama silaha zitakuja na dementia na zenyeweDimentia Joe Biden pledges an extra US $ 1 billion millitary aid to Ukraine
Zinakwenda kuangamizwa zote!Safi sana dementia Joe Biden. Tutaona kama silaha zitakuja na dementia na zenyewe
Kama ambavyo madaraja yamefanikiwa kuangamiza HIMARS, na helicopters zimefanikiwa kuangamiza MANPADS. Kama ambavyo miili ya wapiganaji wamefanikiwa kuangamiza risasi zisipoteeZinakwenda kuangamizwa zote!
Sasa nani hapa anatumia raia kama ngao?pia hakuna uthibitisho wa picha wa kuonyesha wanajeshi wa Ukraine wapo kwenye maeneo ya kilaia.Sasa kama majeshi ya Ukraine yanaweka kambi mashuleni, hospitalini na kwenye huduma za kijamii ili kuwatumia raia kama ngao ulitarajia majeshi ya Urusi yawapelekee biscuits, pipi na juice cola?!
![]()
Amnesty International report exposes Ukraine’s violations of international law, deliberate use of civilians as human shields
The report has dealt a significant blow to the relentless war propaganda in the media and has provoked a hysterical response by the Ukrainian government.www.wsws.org
Bro zamu yao saiv afu yule msemaji wa jeshi anaendelea kuwapa moyo raia kuwa kila kitu kinaenda according to plan.afu Kuna hii imevujaWarusi waliopo line ya Izyum hawachomoki. Walikuwa na muda wa kufanya maamuzi magumu tangu juzi ila bahati nzuri makamanda hawajaamuru hivyo, tutarajie habari njema uko
Unfortunately wewe upo hapa kiushabiki,wakati mimi nipo hapa to seek for the truth,so you are not my equal,tuachane.Kama ambavyo madaraja yamefanikiwa kuangamiza HIMARS, na helicopters zimefanikiwa kuangamiza MANPADS. Kama ambavyo miili ya wapiganaji wamefanikiwa kuangamiza risasi zisipotee
Aisome Bukyanagandi kuna siku nilimwambia ukraine walitangaza counter offensive makusudi ili urusi wahamishe vifaa na wanajeshi upande huo huku nyuma wakiwakatia supply line. Nadhani imedhihirika sasa.Ni ushamba wa army command yao ilipangwa ikaamini mashambulizi yamefanyika Kherson hivyo ikabeba silaha na wanajeshi wengi kuwapeleka uko wakati namna ya kuwarudisha ni ngumu njia karibia zote zinafikika na mashambulizi na madaraja yameharibiwa. Sasa Kherson haipati hata supplies na reinforcements hazifiki kirahisi, wakati Kharkiv ikiachwa na weak defense.
Russia walikuwa wapi mbona mpango wa kuishambulia Kharkiv ulikuwa unajadiliwa Twitter, Reddit na Telegram. Tena wengi tuliamini counteroffensive itaanzia Kharkiv na haikuwa inaaminika kama Ukraine inaweza kuanzisha operations fronts mbili
Haka kanchi kana stahili pongezi maana hata mwezi nilihisi hakatoboiTukimbie kwa sababu gani wala sioni cha kusababisha sisi tukimbie.kwa hayo maeneo ya UKRAINE waliochukua ndo tukimbie.tunashikilia zaidi ya 120,000 km.nyie kuchukua km 50 mnaona kama mmekomboa UKRAINE yote.kibaya vita haipo KHARKIV peke yake.huko DONESK jana tumechukua baadhi ya vijiji vingine ila ilo mnajifanya kama sio habari.
Kherson mmekimbia hamtaki hata kupasikia kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]