kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Punguza spaner mkuu, jamaa washalikimbia jukwaa mazima[emoji2][emoji2]Wengine hawa wanaugulia maumivu leo tumewaweka mtu kati hakuna kutoa FAMBA nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zile silaha zenu za maangamizi ziko wapi:
Iskander[emoji12]
Ballistic missile[emoji12]
Supersonic missile [emoji12]
Intercontinental missile
S300[emoji12]
S400[emoji12]
S500[emoji12]
Wajinga kabisa nyie mje mpige kelele tena