Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio kweli.Tupe ushahidi kwamba nchi hizo ulizozitaja majeshi yao yapo Ukraine,na yanapigans kwa niaba ya Ukraine.Otherwise this will remain fake news.
[emoji1][emoji1][emoji1] ona sasa ubongo wako umecheza,kwani kushiriki vita ni hadi hizo nchi zitume majeshi Ukraine? Hao mbuzi wanamsupport Russia waziwazi kabisa wengine wametoa hadi ofa ya wanajeshi,drones feki [emoji1] wengine wameruhusu majesh ya Russia kupita kwenda Ukraine halafu unajifanya haujui? Pro Russia mnatia aibu na huruma kwa kweli
 
Ukraine wametumia akili kubwa Sana walichofanya ni kwamba

Kherson ilikua ni mtego....walitangaza kufanya counter offensive,warusi wakaingia kingi wakatuma wanajeshi kibao na vifaa vya kijeshi Kherson,sasa Ukraine anachokifanya sasa hivi anataka akate supplies za hao wanajeshi (ndo maana unaona kila kukicha wanashambulia madaraja na kila warusi wakijaribu kutengeneza madaraja ya muda yanalipuliwa na HIMARS) then at the same time wakaanzisha mashambulizi Kharkiv wakati hawakutangaza mwanzoni kama watashambulia Kharkiv. Na Kwa Kasi wanayoenda nayo hii (siku mbili wamesonga 50km) kama ukitokea wakaiteka Kupiansk,wanakua wamewatenga wanajeshi wa Urusi waliopo Izyum kupata support yoyote Ile maana wapo Kati. Inakua ni Mariupol part 2.

Ngoja tuone mpaka Mwisho wa mwezi tutakua tumeyapata. Ila Russia kachezea kichapo cha mbwa mwizi huko Kharkiv vifaa vyao vingi vimetekwa wanajeshi wamekimbia
Russia sio wa kumpa mwezi km kuna cha kufanya FANYA within two days . Russia ataibuka na means za kutisha . Hakuna mipango wa muda mrefu itafanikiwa jamaa ni wakubwa a real superpower with all the means at hands
 
Waukraine walilenga kuishambulia kote Kharkiv na Kherson kamanda wao kamuonya zelensky maana masahibu waliyoyapata yamewaletea hasara kubwa na Russia ndio kawa mjanja akawaachia Kharkiv Ili akamalizane na Kherson Nykolev na mwisho Oddessa . Kharkiv sio issue kwakuwa pale ni mpakani na Russia ni rahisi kudili napo kwa muda muafaka . Anakwenda kulinda bandari na Cremia. Ukraine hakupenda kustopisha counter offensive bali ameharibikiwa pakubwa . Hiyo Kharkiv sio USHINDI sana kwakuwa hakuna hasara ni relocation
 
Kumbe vita bado inaendelea tu. Nilikuwa porini nachoma mkaa, nikajua Russia ameshaipiga Ukraine siku nyingi na sasa anaimiliki. Kumbe bado anapambana tu. Russia anaweza kuipiga hata North Korea kweli? Atachezea kichapo kibaya sana kwa kiduku. Ka nchi kadogo km Ukraine anakashindwa. Hii vita Russia alikurupuka 100%
Sawa lufufu
 
Waukraine walilenga kuishambulia kote Kharkiv na Kherson kamanda wao kamuonya zelensky maana masahibu waliyoyapata yamewaletea hasara kubwa na Russia ndio kawa mjanja akawaachia Kharkiv Ili akamalizane na Kherson Nykolev na mwisho Oddessa . Kharkiv sio issue kwakuwa pale ni mpakani na Russia ni rahisi kudili napo kwa muda muafaka . Anakwenda kulinda bandari na Cremia. Ukraine hakupenda kustopisha counter offensive bali ameharibikiwa pakubwa . Hiyo Kharkiv sio USHINDI sana kwakuwa hakuna hasara ni relocation
Huo ulikua ni mtego kama umesoma vizuri comment yangu niliyokutag mwanzo #66649. Wanataka wakate supply za wanajeshi wa Urusi kuanzia Izyum wafunge njia supply yoyote Ile isifike pia Kherson. Na Warusi wameingia kingi kweli maana waliondoa wanajeshi wengi na vifaa huko kaskazini wakavishusha kusini Kherson wapambane na Ukraine,na Ukraine alivyo mjanja hakuanza mashambulizi mpaka wameondoa vifaa na wanajeshi (wakaacha wachache) ndo maana unaona jeshi la Ukraine linakomboa maeneo Kwa Kasi Kharkiv. Wakiiteka Kupiansk wanakua wamekata supply ya Izyum. Hapo ndo goma litakapozidi kunoga.
 
Ni sawa na kumkamia sana mwanamke huku umepanga utamkomesha kwa kumpiga paipu za kutosha mpaka ashindwe kutembea.
Siku ya mechi, hautaki hata kumuandaa mwanamke, unachomeka. Unapiga tak tatu wazungu haooo, hapo kwanza mwanamke hamu ndiyo imeanza. Unajifuta, huku unavuta hisia kali huku unasugua mashine kwenye kichwa.
Unakunywa maji mengi huku unawaza imekuaje. Inasimama huku imelegea, unamvuta mwanamke haraka haraka ili isilale. Unaweka chapuchapu. Unapiga tak 5 wazungu haooo.
Unaanza kumwambia mwanamke hukufanya muda mrefu, uliumwa siku mbili zilizopita na sababu zingine nyingi.
Ndicho kinachomtokea Russia kwasasa sababu nyingi mara ni small military mara ni operation ndogo. Hii vita Putin alikurupuka na aliikamia 100% kwahiyo ili kutohaibika visingizio vimekuwa vingi.
Kwa ulichoandika endelea kuchoma mkaa tu mkuu wangu haviendani kabisa
 
Kichapo anachotoa Ukraine huko Kharkiv sio cha dunia hii wanajeshi wa Urusi wanakimbia kama kenge aliyepigwa rungu

Hizo ni chache tu kuonyesha kichapo kinachoendelea huko
Lete vitu kaka waje wakane hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1][emoji1][emoji1] ona sasa ubongo wako umecheza,kwani kushiriki vita ni hadi hizo nchi zitume majeshi Ukraine? Hao mbuzi wanamsupport Russia waziwazi kabisa wengine wametoa hadi ofa ya wanajeshi,drones feki [emoji1] wengine wameruhusu majesh ya Russia kupita kwenda Ukraine halafu unajifanya haujui? Pro Russia mnatia aibu na huruma kwa kweli
[emoji1787][emoji1787]
 
Huo ulikua ni mtego kama umesoma vizuri comment yangu niliyokutag mwanzo #66649. Wanataka wakate supply za wanajeshi wa Urusi kuanzia Izyum wafunge njia supply yoyote Ile isifike pia Kherson. Na Warusi wameingia kingi kweli maana waliondoa wanajeshi wengi na vifaa huko kaskazini wakavishusha kusini Kherson wapambane na Ukraine,na Ukraine alivyo mjanja hakuanza mashambulizi mpaka wameondoa vifaa na wanajeshi (wakaacha wachache) ndo maana unaona jeshi la Ukraine linakomboa maeneo Kwa Kasi Kharkiv. Wakiiteka Kupiansk wanakua wamekata supply ya Izyum. Hapo ndo goma litakapozidi kunoga.
Duh hii ngoma ngumu aisee [emoji848]
 
Ukrein habari zenu haziaminiki miezi miwili uliyopita bbc walitoa habari kuwa wanajeshi wa ukrein wameukomboa mji wote wa kharkiv wiki hili tena ndio nasikia ukrein wanasonga mbele khakiv
Huwa tunaleta evidence mpaka video hamjawahi kukubali sisi tunasonga mbele pigeni kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa ulichoandika endelea kuchoma mkaa tu mkuu wangu haviendani kabisa
Acha nichome mkaa. Huo ndiyo uhalisia.
Mpaka hapa, Russia hawezi kuichukua Ukraine. Hayo majimbo waliyoyachukua sasa Russia, watayachia kwasababu ya kushindwa kuipiga Ukraine na muda unazidi.
Vita ni gharama na ni biashara kwa capitalist. Unaipiga Ukraine ili ufaidike na nini? Visingizio vitakuwa vingi sana.
Muda si mrefu nitaenda kuchoma mkaa, nitakuja mwezi wa 12 mwaka huu, nione km Russia anaimiliki Ukraine. Km bado, Russia ndiyo kwaheri hivyo. Akienda vitani na Marekani si ndiyo atachakaa km tu Marekani anamuwekea vikwazo.
 
Mzee wa kulishwa tango pori... Huyo vunjo na kp kipanya ni wehu. Wanavyoleta video, ziwe za kweli au uongo utafikiri russia wao wamekaa tu wanasikilizia kipigo. Wanajibu tena zaidi ya mara 10 yao. Na ushahidi mkuu mixx anauweka hapa toka kwenye vyanzo vya kuaminika. Hii one sided story ni kujidanganya tu. Na taarifa zao ni kutoka kwenye visite vinavyoegemea ukraine. Unaweza kuta page 2 ni wao tu wamejaza video na vicomment vya mipasho. Dunia nzima, inajua na kutambua kuwa Ukraine haitakaa iweze kuishinda russia kwa jambo lolote.
US na EU na Nato yao wamepiga hesabu zao vibaya. Matarajio yao ni kilichotokea ni mbingu na ardhi.
Sawa mkuu, tupe habari sehemu Russia walizo advance walau kwa wiki hii uweke na source.
 
Back
Top Bottom