Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,512
Technologia ya Urusi ni ya kawaida mno, sema anawashabiki wengiMkuu usiwe na ubishi wa ajabu.
1. Israel haina ubavu wa kutunishiana msuli na Urusi hata kwa jambo moja.
2. Air defences za urusi s400 ndio bora zaidi kuliko zozote zile mpk muda huu tunaoongea
3. Israel wanahitaji greenlight ya urusi ili wafanye mashambulizi yao kwenye ardhi ya syria. We ita kukubaliana au kuomba ruhusa it sounds the same to me. Km huwezi kufanya jambo lako mpk ufanye kwanza makubaliano na mtu mwingine kuhusu hilo jambo ni sawa na kuomba ruhusa tu.
Kuhusu hiyo ndege km huelewi ngoja nikueleweshe. Pale syria kuna mifumo inalinda anga la syria ya syria na ya urusi. Urusi ni ally wa syria. Ndege za urusi zinaposhuka kwenye base zake huko syria haziofii chochote maana mifumo inayoweza kuzishambulia ndege ni ya ally wao syria na ya kwao wenyewe warusi. Waisrael on the other hand ndege zao pale syria zinakuwa considered km ndege za adui. Ndege zao zilipoingia syria kwenda kushambulia automatically either s400 au s200 ya syria ingekuwa activated kulinda anga dhidi ya ndege za adui. S400 haikuwa activated kufuatia makubaliano ya pm wa israel na raisi wa urusi ila s200 za syria zikawaka.
Ilitakiwa kbl israel hajaenda kushambulia atoe taarifa kwa urusi ili waondoe ndege zao karibu na eneo la tukio na syria walitakiwa wahakikishe hakuna ndege za urusi angani wakati wakijaribu kushusha ndege za adui (israel). Hakuna aliyefanya alichotakiwa kufanya. Israel alichelewa kutoa taarifa kwa urusi kilichopelekea ndege yao kudunguliwa.
Ndege ya urusi ilikuwa ni ndege ya surveillance sio ndege vita (fighter). Ni lzm tu ingekuwa hit kwa sababu haijawa designed kujilinda na mashambulizi ya mifumo ya kulinda anga ya ardhini. Ni ndege tu ya kawaida.
Israel ashawah kusema S400 ni ya kawaida sana