Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunarudi palepale kwamba Israel haombi ruhusa, anatoa taarifa tu. Na Uturuki mwenyewe alishawahi idungua ndege ya Urusi iliyokuwa inakatiza anga lake kwa dharau kwenda Syria na hamna kitu kilitokea wakaishia kulipa fidia kwa familia ya rubani. Na Uturuki ilikuwa ishawaonyaView attachment 2348781 Hizi habari za kusema Russia inaombwa ruhusa nazikataa. Kama haitaki makubaliano itumie silaha zake
Sasa hii ya TURKEY mbna case tofauti MKUU jmaa waliingiza ndege vita kwenye taifa la watu ulitegemea nn
Kubwa kwa TURKEY kama wamelipa fidia ndio wamejidhalili
Maana wameingiliwa kwao na bado wanaonekana wamefanya makosa ikabidi walipe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunarudi palepale kwamba Israel haombi ruhusa, anatoa taarifa tu. Na Uturuki mwenyewe alishawahi idungua ndege ya Urusi iliyokuwa inakatiza anga lake kwa dharau kwenda Syria na hamna kitu kilitokea wakaishia kulipa fidia kwa familia ya rubani. Na Uturuki ilikuwa ishawaonyaView attachment 2348781 Hizi habari za kusema Russia inaombwa ruhusa nazikataa. Kama haitaki makubaliano itumie silaha zake
Kwa jinsi ulimalizia pale chini...Mungu hawezi akafanya kosa la kukupa cheo cha kuwa na maamuzi juu ya uhai wa watu...mfano kama Rais wa Marekani,Western Europe,Urusi n.k..Watu hawafanyi tu maamuzi sababu wanauwezo wa kufanya hivyo....USA wanaweza wakiamua kumkalisha Iran, North Korea lkn hawafanyi hivyo wanatafuta sababu ya kutofanya hivyo ili kusave maisha ya watu
 
Awakuomba msamaha?
Tunarudi palepale kwamba Israel haombi ruhusa, anatoa taarifa tu. Na Uturuki mwenyewe alishawahi idungua ndege ya Urusi iliyokuwa inakatiza anga lake kwa dharau kwenda Syria na hamna kitu kilitokea wakaishia kulipa fidia kwa familia ya rubani. Na Uturuki ilikuwa ishawaonyaView attachment 2348781 Hizi habari za kusema Russia inaombwa ruhusa nazikataa. Kama haitaki makubaliano itumie silaha zake
 
UTURUKI walifanya vile kwa sababu ya hasira baada ya kuona waasi waliokuwa wanawasaidia kupigwa na kupokonywa maeneo na majeshi ya SYRIA yakisaidiwa na WARUSI.

WARUSI walikubali msamaha kwa shingo upande ila wakajua kabisa ipo siku watalipa tu maana game linaendelea.mwisho wa siku WATURUKI wakaingiq kwenye 18 za WARUSI.

2020 Balyun airstrikes

Lilikuwa ni shambulio baya lililowakuta vikosi vya WATURUKI.msafara wa wanajeshi wa UTURUKI ulipukutika baaada ya kushambuliwa na ndege aina ya SU-34 bomber. Inasemekana wanajeshi zaidi ya 100 walikufa hapo hapo na wengine zaidi ya 120 walikuwa majerui,japo serikali ya UTURUKI ilisema imepoteza wanajeshi 34 na wengine 100 majeruhi.

Toka siku iyo UTURUKI AKAWA NA ESHIMA KWENYE MPAKA WAKE KWA NDEGE ZA URUSI.

Tunarudi palepale kwamba Israel haombi ruhusa, anatoa taarifa tu. Na Uturuki mwenyewe alishawahi idungua ndege ya Urusi iliyokuwa inakatiza anga lake kwa dharau kwenda Syria na hamna kitu kilitokea wakaishia kulipa fidia kwa familia ya rubani. Na Uturuki ilikuwa ishawaonyaView attachment 2348781 Hizi habari za kusema Russia inaombwa ruhusa nazikataa. Kama haitaki makubaliano itumie silaha zake
 
Kazi inaendelea huko
Screenshot_20220907-155040_Chrome.jpg
 
Tazama video hii mateka ni wengi sana wale wabishi wanauliwa yani jamaa atoe jeshi lake atalimalizia hapo

Mateka wengine ha wa leo hii jamaa huu mziki ni hatari sana COUNTER OFFENSIVE KIBOKO YAO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shukrani sana VUNJO kwa kuendelea kutupa updates warusi wa buza wanapita hapa kimyakimya maana Wana uchungu sana moyoni kwa kipigo anachopokea super pawer wa mchongo,
 
Tazama video mpaka mwisho silaha tulizokamata baada ya warusi kukimbia maeneo wengine tumeua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom