Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1662522448264.png
 
Ndio maana Uingereza iliomba kujitoa.

Kuwa chini ya Brussels ni kuhand over political power ya nchi.

Kuhand over matumaini na matarajio ya Taifa.

Hivyo ni kamtindo fulani ka kuburutwa unless uwe kama Victor Urban na Hungary yake.
Na kinachosangaza ambao hasa hawana maamuzi wao kama wao ni vi nchi vidogo kwenye umoja huo. "Matembo" katika wao kuna mda wanagoma tu hawa wengine sijui ndio kubembeleza mgao au vipi.

Nchi kama Estonia, Latvia na Lithuania zote hizi ni post-soviet states zilizo mstari wa mbele by far dhidi ya Russia kuliko member wengine wa EU ambao baadhi wanaenda kwa step.

Hawa completely wako agaisnt Russia na kila day list ya higher inflation ikitoka wana top the list, huku nchi kubwa kama france ikishika nafasi ya mwisho.

Ka usemavyo ni Victor Orban tu anayetambua Nchi yake inapaswa kujisimamia kwa maslahi ya Raia wake mwenyewe wengine tia maji tia mchuzi.

Huyo UK alijitoa lakini ushubwada tu, nahisi labda alijitoa kulinda fedha yake tu ila kimatendo ni ngumu kuwatofautisha na wenzie walio kwenye huo umoja.
 
Hii vita imesababisha njaa kali sana hapo Somalia na Kenya mamia ya watu wanakufa kila siku, mashirika ya misaada badala ya kuendelea kusaidia hasa somalia sababu shughuli za kilimo ni kama simesimama kwa muda mrefu sababu ya machafuko sasa yanapeleka misaada zaidi kwa wahanga wa vita Ukraine.

then kuna watu wameshiba uji JF wanashangilia vita na kukumbatia wasababishi wa vita kama vile wanagombania mabwana.

Yaani jitu zima linajua kusoma na kuandika, lina ama computer au simu au vyote, lina access ya internet, labda hata lina mke na watoto nyumbani, na wazazi wategemezi juu, liko JF linaandika "Urusi anasiraha ambazo hakuna nchi inazo", yaani utafikilia labda ni punguani labda, yaani.

wengi mna akili za kupenda misaada sana, huu ni ulemavu mmejengewa sijui ni lini mtarecover.

Ni aibu Africa kulilia misaada ya chakula wakati iko ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo, iko na mito na maziwa ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Ni lini akili zetu zitafunguka tuache kutegemea misaada hadi ya chakula?

Labda nikuulize swali, vita imesababishaje njaa hapo kenya? Vita imekausha mito na mabwawa kiasi kwamba hawawezi kufanya kilimo cha umwagiliaji? Vita imekausha mvua? Vita imefunika mashamba kiasi kwamba wakulima wakienda mashambani wanakutana na tanks na missiles badala ya kuona mashamba?

Somalia imeshindwa kujitawala inategemea misaada kutoka nje huoni huo ni udumafu wa akili? Yani mshindwe kujitawala wenyewe mje mtegemee mtu kutoka nje awawekee utaratibu mzuri wa kujitawala? Na awape na misaada ya chakula? Nchi yenyewe haioni umuhimu wa kuitana pande zote 2 kuongea na kuweka utaratibu sawa kuachana na vita?

Watu weusi tunapenda kubweteka, hatutaki kutumia uwezo wetu wa akili, tuko na uvivu sio wa kazi hadi uvivu wa kufikiri.

Ni sawa na kufurahia misaada ya USAID kujenga vyoo vijijini wakati huo huo serikali inatumia bil 550 kila mwaka kununua V8 za viongozi.
IMG_20220907_070920_952.jpg
 
Mkuu are you serious kweli hivi unafatiaga Vizuri migogoro na vita vya Mashariki ya Kati hivi hujui Kama Syria na Israel walishapigana na Syria anakinyongo nae sababu alinyanganywa mlima Sinai na israeli.

Kwa taarifa yako Rais wa Syria Ni mshia na Iran hawezi kuacha kumsapoti Assad Hilo halitakaa litokee. Iran pia kazungukwa na base kibao za kijeshi za US Ila yeye Wala Hana mda wa kulialia sababu nayeye anajitanua ili kulinda ndugu zake na usalama wake.
Israel wanakalia goran height ya Syria kimabavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pro RUSIANS Bwana.
1. Putin alivamia Ukraine huku akiwaambia wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe.
2. wakati huo huo akidai kazi ya uvamizi huo itakuwa imekamilika ndani ya siku tano.

Wakati akisema hayo, wamarekani na washirika wenzake wa Ulaya walidai ndani ya muda huo Putin atakuwa ameiteka Ukraine yote.

Mimi nadhani hii ndio hoja ya msingi.

Lakini cha ajabu Pro putin kila kukicha wanabadirisha magoli.
Siku tano zilizopopita, 10, mpaka 30 hoja ikawa hoo Putin anapigana na USA NA NATO.

mambo mengi yamebadilika badilika hapo katikati.

sasa imekuwa ni vita ya gas.


loosers bwana.
Saivi tano tena sio tatu hivi pro nato mnawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili
 
wengi mna akili za kupenda misaada sana, huu ni ulemavu mmejengewa sijui ni lini mtarecover.

Ni aibu Africa kulilia misaada ya chakula wakati iko ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo, iko na mito na maziwa ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Ni lini akili zetu zitafunguka tuache kutegemea misaada hadi ya chakula?

Labda nikuulize swali, vita imesababishaje njaa hapo kenya? Vita imekausha mito na mabwawa kiasi kwamba hawawezi kufanya kilimo cha umwagiliaji? Vita imekausha mvua? Vita imefunika mashamba kiasi kwamba wakulima wakienda mashambani wanakutana na tanks na missiles badala ya kuona mashamba?

Somalia imeshindwa kujitawala inategemea misaada kutoka nje huoni huo ni udumafu wa akili? Yani mshindwe kujitawala wenyewe mje mtegemee mtu kutoka nje awawekee utaratibu mzuri wa kujitawala? Na awape na misaada ya chakula? Nchi yenyewe haioni umuhimu wa kuitana pande zote 2 kuongea na kuweka utaratibu sawa kuachana na vita?

Watu weusi tunapenda kubweteka, hatutaki kutumia uwezo wetu wa akili, tuko na uvivu sio wa kazi hadi uvivu wa kufikiri.

Ni sawa na kufurahia misaada ya USAID kujenga vyoo vijijini wakati huo huo serikali inatumia bil 550 kila mwaka kununua V8 za viongozi.View attachment 2348362
Safi sana.....Afrika bado watu wengi wanaona misaada n haki yao.....Huu ujinga utalitafuna hili bara mpaka mwisho wa dahari
 
Hivi unalijua njaa?

Unajua ukubwa wa neno baa la njaa?

Ina maana ukiacha kunywa kahawa kwa sababu ya kupanda bei badala yake ukahamia kwenye chai, tutasema kahawa hakuna?!

Kuhamia kwenye inferior goods ni kwa sababu ya economic scale of preference na opportunity cost.

Huwezi kusema Kuna njaa kisa mtu amehamua ale magimbi badala ya ngano
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
Hujanielewa labda si
Bwana mdogo, usipende kudandia gari kwa Mbele.

Unaposema "...Bei ya vitu kupanda hiyo ni njaa.." hapa inaonyesha ulivyo na akili ndogo.

What if that inflation is due to more money supply/printing...? Je, utasema kuna njaa hapo?

Mmejaa na maujinga humo vichwani mwenu.
kuwa njaa haijalishi kile kinachozalishwa bali njaa ni umasikini unaosababishwa na kutokuwa na uwezo wa kupata chakula kwani kuna uwezekana mwananchi asizalishe chakula lakini akawa na uwezo wa kununua chakula chochote anachotaka.
Bei za vyakula ziko juu sana,hivyo kutishia usalama wa chakula kwenye jamii nyingi.
Watu wanapiga deshi siku hiz ,mtu anakula miogo 2 ,mchana umepita ,hii ni aina ya njaa pia,we tatizo umekariri njaa stage ya mwisho ambayo mtu anakosa mpaka maji na kupelekea kufa.
Mkuu amka
 
wengi mna akili za kupenda misaada sana, huu ni ulemavu mmejengewa sijui ni lini mtarecover.

Ni aibu Africa kulilia misaada ya chakula wakati iko ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo, iko na mito na maziwa ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Ni lini akili zetu zitafunguka tuache kutegemea misaada hadi ya chakula?

Labda nikuulize swali, vita imesababishaje njaa hapo kenya? Vita imekausha mito na mabwawa kiasi kwamba hawawezi kufanya kilimo cha umwagiliaji? Vita imekausha mvua? Vita imefunika mashamba kiasi kwamba wakulima wakienda mashambani wanakutana na tanks na missiles badala ya kuona mashamba?

Somalia imeshindwa kujitawala inategemea misaada kutoka nje huoni huo ni udumafu wa akili? Yani mshindwe kujitawala wenyewe mje mtegemee mtu kutoka nje awawekee utaratibu mzuri wa kujitawala? Na awape na misaada ya chakula? Nchi yenyewe haioni umuhimu wa kuitana pande zote 2 kuongea na kuweka utaratibu sawa kuachana na vita?

Watu weusi tunapenda kubweteka, hatutaki kutumia uwezo wetu wa akili, tuko na uvivu sio wa kazi hadi uvivu wa kufikiri.

Ni sawa na kufurahia misaada ya USAID kujenga vyoo vijijini wakati huo huo serikali inatumia bil 550 kila mwaka kununua V8 za viongozi.View attachment 2348362
Well said mkuu

Entitlement is a disease! Mtu kujihisi kwamba unastahiki. Chochote kile iwe msaada, upendo, mahusiano, nk. Watu weusi tuna ugonjwa huu. Tunafikiri ni haki yetu ya msingi kusaidiwa. Tusiposaidiwa tunahisi tunaonewa. Tunaona hatujatendewa haki. Tutalia na kulalama na kulaumu.

Tunajiendekeza. Kwa kuwa misaada ipo na inakuja basi sisi hatuna haja ya kujituma kufikiri na kutenda. Sisi kazi yetu ni kuishi vizuri juu ya migongo ya watu wengine. Pale watakapotushusha kwa sababu zozote zile tutalia na kulaumu na kulaani. Matatizo ni yetu wenyewe ila tunataka wengine ndio watuondolee na wasipofanya hivyo tutalia na kulaumu na kulaani.
 

Ukraine Tells Crimea Residents "Prepare Bomb Shelters / Get Food"​

WORLD NEWSDESK 06 SEPTEMBER 2022
The government of Ukraine is officially telling Russians in Crimea to prepare bomb shelters and stock up on supplies as Kyiv presses ahead with plans for a major counteroffensive to drive Russian troops out of what Kiev calls "Occupied Ukrainian territory."
Ukraine has, for weeks, been telling residents in its occupied south to be ready and to evacuate before it launches a counter-offensive. Still, Monday's warning was notable because it was addressed to residents of Crimea, which voted in a Referendum to return to Russia in 2014, after the European Union and United States fomented, incited, and financed the violent overthrow of Ukraine's President, Viktor Yanukovich.
Crimea had been part of Russia for at least 300 years before then-Soviet Communist Party Chairman Nikita Khrushchev, (a Ukrainian) GAVE Crimes to Ukraine. Crimea was part of Ukraine for only about 50 years, by Communist Party dictate; they voted to return home to Russia.
The European Union and United States flatly refused to recognize that referendum, claiming it was a rigged vote. They applied economic sanctions to Russia, but none of it made any difference; Crimea is now part of Russia by vote of the Crimean population, and laws enacted by the Russian Federation legislature.
The ongoing Special Military Operation by Russia, to de-militarize and De-Nazify Ukraine, has gone on for slightly over 6 months. Prior to the start of that operation, Ukraine had the largest standing army in all of Europe. That army had been trained by NATO for ten years, and in less than six months, the Russian Army has basically chewed it up and spit it out.
Ukraine is now losing the war very badly, and has absolutely no chance of winning . . . at all.
Their only hope is to have something take place that will bring NATO into the fight. Ukraine is not a member of NATO, yet NATO/US/EU are inextricably intertwined in the war, supplying Ukraine with money and all manner of weapons and intelligence.
It is clear by Monday's announcement, that Ukraine plans to attack Russian Crimea, which will likely result in an utterly massive Russian response. Perhaps so massive that NATO uses it as some sort of excuse to get involved.
The trouble with that is simple: At the beginning of Russia's Special Military Operations, Russian President Vladimir Putin made clear in public remarks that he knows Russia's conventional forces do not compare with NATO; that NATO is superior. He also went on to say publicly that "Russia is also a nuclear power, and many of [Russia's] weapons are superior to all other countries" He went on to say, "If NATO declares Article 5 (collective self-defense) against Russia, "it will be a war that no one will win."
As all educated readers know, the ONLY war that "no one will win" is a nuclear war.
Now that Ukraine is openly telling people in Crimea to build bomb shelters, it is clear Ukraine is planning on attacking (Russia) territory - Crimea- and that will be a massive escalation in the fighting taking place in Ukraine. The world is literally on the precipice of actual nuclear war.
Sadly, the mass-media in Europe and in the United States is not covering these developments very well, and the general public in both Europe and America remain blissfully unaware that we are facing an actual nuclear war,if indeed Ukraine attacks Crimea possibly within weeks.
 
Ndio maana nakuambia tatizo ni ukula kulala, haujui hata bei za vyakula ilikuwa shillingi ngapi kabla ya special operation na sasa ni shillingi ngapi.

labda soda utakuwa japo unaona watu wanavyolipia bili wanapokununulia.

unajua kwa nini soda zimepanda bei?

Au njaa unafikiri ni ziku moja uamuke ukute mama ako anakuambia kaenda kununua maandazi kakuta hawajapika sababu ngano haipo?
Kuna sababu Mbili za msingi za kupanda kwa gharama za Mazao/Vyakula Tanzania.

1.Mabadiliko ya hali ya hewa mwaka huu (2022) kipindi cha msimu wa kilimo - Mvua zilisumbua sana kwa kukosekana, kiwango ambacho kilipelekea mazao mengi kutostawi na kuzaa kwa wingi ukilinganisha na mwaka uliopita. (Demand imekuwa kubwa kuliko Uzalishaji)

2.Kupanda kwa gharama za mafuta (Especially Diesel)- Hili limesababisha kupanda kwa gharama ya usafirishaji wa bidhaa muhim kama Mazao/Vyakula na vinginevyo.

Ingawa sababu kuu ni hizo mbili hapo juu, lakini kubwa na ya msingi ni hiyo no.1(Mabadiliko ya hali ya hewa) ukizingatia kilimo chetu tunategemea hasa Mvua za msimu. Swala la kupanda kwa gharama za mafuta lina athali kubwa ila sio sawa na la hali ya hewa.
 

West deceived poor nations with Ukraine grain deal – Putin​

Published: 7 Sep 2022 | 06:41 GMT
West deceived poor nations with Ukraine grain deal – Putin

Vladimir Putin speaks at the plenary session of the Eastern Economic Forum in Vladivostok © Sputnik / Alexey Danichev

Developing countries received the minimum from the exported grain, the Russian leader has said
Western nations lied when they claimed Ukraine needed access to sea shipping to alleviate the surging food prices and risk of famine in poor countries, Russian President Vladimir Putin has said.
Most of the cargoes that came out of Ukraine under a Turkey- and UN-brokered deal with Russia went to the EU, Putin stated in a speech at the Eastern Economic Forum in Vladivostok, Russia on Wednesday. He added that he terms of the arrangement should probably be changed.
Putin made the remarks in reference to the arrangement allowing civilian ships to enter and leave Ukrainian Black Sea ports to deliver grain cargoes. The scheme was put into action in late July, with Turkey hosting a center that coordinates the deliveries.
The Russian leader noted that the deal was touted as a way to curb the surging global prices and help the most struggling nations. In practice, almost all of the grain shipped from Ukraine went to wealthy EU nations, he said.
Many European nations acted in decades and centuries past as colonizers, and they act in the same way today. They simply deceived developing nations once again. And they keep up the deceit.
With an attitude like this, problems with food availability will only grow worse, Putin warned.
DETAILS TO FOLLOW
 
Sanktiooonnn!!!!

In March-June, purchases of aluminum and nickel from the EU and the US increased by 70%, Reuters.

Western countries bought metals from Russia for $1.98 billion.

Note : Aluminium production is energy intensive . 17000 kWh of electricity required to be able to produce 1 tonne.
 
Kuna vitu havihitaji digrii kuvielewa, ntakufundisha.
1.Kwenye umoja wowote ule nchi zote haziwezi kuwa sawa, lazima kuna wanachama watakuwa na sauti kubwa zaidi kuliko wengine kwa sababu mbalimbali zikiwemo kiasi wanachochangia kwenye bajeti, historia, risks n.k Hata hapa kwetu EAC sauti ya Tanzania haiwezi kuwa sawa na Burundi.

2.Nchi zilizokiww USSR na majirani zake Urusi ziko mstari wa mbele dhidi ya matendo ya Russia kwa sababu zinaifahamu vizuri sana na kila siku wanaishi chini ya legacy na vitisho vyake, hili lilipaswa kukufungua akili zako.

3.Mfumuko wa bei Hungary ni 13.7%, ni mkubwa zaidi kuwahi kufikiwa kwa kipindi cha zaidi ya miaka 20, sielewi unapomwagia sifa right winger Vikot Orban ambaye hataki race yake ichanganyikane na race nyingine.

4.Umelalama kuhusu baadhi ya members wa EU kuburuzwa na wenzao hapo hapo unalalama kuhusu Uingereza ambayo imejitoa na inafanya mambo yake kwa uhuru wake binafsi kwamba haijielewi,hili linaitwa gubu.
Na kinachosangaza ambao hasa hawana maamuzi wao kama wao ni vi nchi vidogo kwenye umoja huo. "Matembo" katika wao kuna mda wanagoma tu hawa wengine sijui ndio kubembeleza mgao au vipi.

Nchi kama Estonia, Latvia na Lithuania zote hizi ni post-soviet states zilizo mstari wa mbele by far dhidi ya Russia kuliko member wengine wa EU ambao baadhi wanaenda kwa step.

Hawa completely wako agaisnt Russia na kila day list ya higher inflation ikitoka wana top the list, huku nchi kubwa kama france ikishika nafasi ya mwisho.

Ka usemavyo ni Victor Orban tu anayetambua Nchi yake inapaswa kujisimamia kwa maslahi ya Raia wake mwenyewe wengine tia maji tia mchuzi.

Huyo UK alijitoa lakini ushubwada tu, nahisi labda alijitoa kulinda fedha yake tu ila kimatendo ni ngumu kuwatofautisha na wenzie walio kwenye huo umoja.
 
Bora ulivyomjibu.

Mimi natabia ya kwamba nikishakueleza Jambo halafu naona hutaki kuelewa, uwaga napenda kukaa kimya.

Nilipoona tu anataja kwamba Bulgaria haina shida ya gas ya Russia, nikaona najadiliana na mtu mjinga. Bulgaria wenyewe wanasema kwamba wanahitaji gas ya Russia, lakini yeye huku TZ anasema Bulgaria haina huitaji wa hiyo Gas. Sasa huyo si ni mtu mpumbavu tu.

Hapo juu, nilimshauri kwamba awe anapenda kusoma credible sources kuhusu dunia inakwendaje, lakini naona kama hajanielewa. View attachment 2348281
Ngojea nimtag T14 Armata
Ila nawashauri mkiwa na mjadala na huyo bwana muwe muna sceeen shot majibu yake
Maana hua yupo fasta sana kukataa alichokiandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom