kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Urusi mandonga tu, [emoji848]Wataalam wa vita wanasema hamjafanikiwa lolote mnasemaje Pro Russia View attachment 2347063
Urusi mandonga tu, [emoji848]Wataalam wa vita wanasema hamjafanikiwa lolote mnasemaje Pro Russia View attachment 2347063
Ni mwendo wa kipigo tu hakuna namna [emoji91][emoji91][emoji91]Tazama video frontline ya Ukraine inazidi kusonga mbele wakigawa kichapo heavy
Wazee wa video game mpooo [emoji91][emoji91][emoji91]Jeshi la Ukraine linazidi kurudisha maeneo huko Kherson na kusimila bendera zao tazama video
Pokeeni vidonge vyenu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tazama silaha zilizoachwa na warusi baada ya kukimbia maeneo waliyokuwa wanashikilia huko Kherson
siraha zinazoeleweka ziko kazini vitani, apeleke siraha vitani, vita sio maneno wewe.Jibu SWALI.
Porojo kwetu hazina nafasi,ni kuwaletea ushaidi kutoka front lineMaeneo yanakombolewa wanajeshi wa Ukraine wanazidi kusonga mbele anayebisha Himars hazijabadili upepo wa hii vita basi atakuwa na ugomjwa wa akili
Hata Mimi nimemshangaa sana,Yaani Isarel imvimbie Urusi!Punguza mahaba,Kuna mda hua unaongea facts but sorry hiki unachosema Ni pumba. Hilo taifa la wayahudi feki ni sisimizi kwa urusi,nimeanza kufuatilia mgogoro vita vya Syria tokea 2011 mpaka mrusi alipoingia katika vita hivyo.
Taja nchi yenye hypersonic missile bro, Acha ujingasiraha zinazoeleweka ziko kazini vitani, apeleke siraha vitani, vita sio maneno wewe.
na hapa nasoma taarifa kwamba baadhi ya masiraha yake yanakamatwa huko yakiwa yamefungwa ma CHIPS yanatotumika kwenye ma dishwashers na ma fridge.
alafu unakuja kuongea upuuzi wa eti RUSIA PEKEE.
Kuna watu bado mpaka Leo wanaamini urusi ni super pawer? Bas watakuwa na mtindio wa ubongo [emoji848]Video ya pili source tofauti ikionesha silaha walizoacha warusi.Ukitaka kuamini kichapo ni kilali kwenye jukwaa Pro Russia wanapost GAS kuanzia asubuhi mpaka jioni jeshi lao hali advance chochote ndani ya Ukraine so hawana cha kupost[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi nchi ni kama zimegeuka kua mikoa ya EU. Hazina maamuzi yao wao kama wao kwa Raia wao.Estonia asks the EU to make an exception to anti-Russian sanctions. About 12,000 tons of explosive ammonium nitrate belonging to a Russian chemical company are "stuck" in an Estonian port. Respecting EU sanctions, Estonia cannot allow its shipment, which puts its port and its people at great risk. "The European Union allows you to request an exception if it is necessary to... prevent situations that are dangerous to the environment or to the life and health of people," writes ERR. That is, not exposing Estonians to danger is possible only with the permission of the EU.
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123]Lile swali la mpaka sasa mmekomboa vijiji vingapi siku hizi mbona haliuliziwi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2347067
Then hiyo gesi ya Nord Stream 1 itafikaje China? Unataka China anunue gesi zaidi ya mahitaji yake kisa inauzwa bei ya kutupwa na hilo haliwezekani, sasa Russia akate gesi ya Ujerumani ambayo ni 19% ya mauzo yake ya gesi kabla ya vita, akate gesi kwa Ulaya nzima ainywe hiyo gesi tuone uchumi wake utabebwa na biashara gani. Kwanza hakuna pipelines za kupeleka LNG China kwahiyo ni vigumu Russia afidie gesi ya Ulaya, hapo kumbuka anahatarisha 40% ya market na inayohusika ni kwa discountView attachment 2347780
China anunue gesi kwa bei nafuu azalishe cheap alafu akose wateja maana si ushasema Ulaya watafirisika, bidhaa atamuuzia nani au sisi hapa tunaonunua mifagio na chupi?
Marekani pekee inanunua zaidi ya 15% ya exports za China, Taiwan inanunua over 10% ya exports na ndio hawa China inataka ipigane nao, Ulaya wengine wanachangia mno uchumi wa China kwahiyo net gain hakuna hapo.
Hatua hiyo ikifika sisi LDCs tutakula mawe
Pumbavu kabisa. sina muda wa kupoteza na kula kulala.Taja nchi yenye hypersonic missile bro, Acha ujinga
Inaonesha akili zako zilipoishiaPumbavu kabisa. sina muda wa kupoteza na kula kulala.
Mimi nakuambia hivi!Naomba Ni comment hapo ulipoandika "Hakuna pipeline ya kupeleka gas China"
Mwanzoni nilidhani wewe ni mtu ni msomaji na mtu wa kufuatilia vitu. Kumbe nilikuwa najidanganya.
Nilichogundua wewe Mara nyingi unaandika hapa Kama "opinion" na Wala sio kwamba Kuna reference unafanyaga.
Naomba leo nikujuze kwamba kuna pipeline inaitwa "Power of Siberia I" hii pipe inapeleka gas China
Power of Siberia I
This is a Gazprom - operated pipeline in Eastern Siberia that transports natural gas from Yakutia to Primorsky Krai and China. It is a part of the eastern gas route from Siberia to China. Hii project imeanza kupeleka Gas huko China since 2019.
Pia kuna Power of Siberia II
Hii pipeline inatarajiwa kuanza kujengwa early 2024. Hii pipeline itapitia Mongolia. Dhumuni la hii pipeline ni divert Europe bound gas to China.
Sasa nakushangaa Sana unapokuwa unapotosha hapa. Next time jitahidi uwe unatumia kidogo akili.
Hata Marekani ananunua silaha toka ufaransa,sweden,Norway na kwingineko.Hiyo ni biashara ni kuuziana na kununuliana.Hiki ni kipindi ambacho washirika wake nao wanataka kujaribu ubora wa silaha zao.Majuzi Putin alidai ana siraha za kisasa kuliko mataifa ya Ulaya na USA na yuko Tayari kuzishare na friendly nations.
Mwezi haukuisha Urusi ikabainika kwamba inanunua Drones za kivita kutoka Iran.
Ghafla tena inasemekana iko kwenye mikakati ya kununua siraha kutoka North Korea.
hahahahahahahahaha
Ndio Mkuu Kama unakumbuk nafikiri Iran aliwahi kuweka oda ya s300 kwa dola bilion 10 nafikiri Ni between 2010 na 2013 ambapo isreali chini ya waziri aliyepita Benjamin netanyau alilalamika sana. Nakupinga kwa nguvu zote urusi kuwapa Iran huo mfumo, tena akishirikiana na marekani na nchi za umoja wa ulaya hasa uingereza,ufaransa na ujerumani.Hata Mimi nimemshangaa sana,Yaani Isarel imvimbie Urusi!
Ama kweli duniani Kuna mambo.