Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

hehehe!!! Haiji hata siku moja nikerwe humu, hofu niliyokua nayo ni ile siku ya msafara ulioliwa na wabeba javelin, leo nashangaa kuona Ukraine wanasimika bendera yaani hadi raha.

Hii vita ikiisha hujalazwa hospital mshukuru Mungu. You are always awake this time, Bora Mimi ni mlinzi sijui na wewe ni mlinzi Kama Mimi.
 
Tazama drone operators walivyofast kuzirusha kutambua enemy yuko wapi na kumlipua zina saidia sana kuliko kwenda kichwa kichwa

 
Ukrane ndio haruhusu drone za mrusi angani anazitungua kabla ya madhara yoyote
Screenshot_20220906-025704_Chrome.jpg
 
Wataalam wa vita wanasema hamjafanikiwa lolote mnasemaje Pro Russia
Screenshot_20220906-025541_Chrome.jpg
 
Hii vita ikiisha hujalazwa hospital mshukuru Mungu. You are always awake this time, Bora Mimi ni mlinzi sijui na wewe ni mlinzi Kama Mimi.

Hehehehe!!! Halali mtu hapa, mbele kwa mbele slava Ukraine....
 
Tazama video frontline ya Ukraine inazidi kusonga mbele wakigawa kichapo heavy

 
Jeshi la Ukraine linazidi kurudisha maeneo huko Kherson na kusimila bendera zao tazama video

 
Tazama silaha zilizoachwa na warusi baada ya kukimbia maeneo waliyokuwa wanashikilia huko Kherson

 
Maeneo yanakombolewa wanajeshi wa Ukraine wanazidi kusonga mbele anayebisha Himars hazijabadili upepo wa hii vita basi atakuwa na ugomjwa wa akili

 
Video ya pili source tofauti ikionesha silaha walizoacha warusi.Ukitaka kuamini kichapo ni kilali kwenye jukwaa Pro Russia wanapost GAS kuanzia asubuhi mpaka jioni jeshi lao hali advance chochote ndani ya Ukraine so hawana cha kupost[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Lile swali la mpaka sasa mmekomboa vijiji vingapi siku hizi mbona haliuliziwi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220906-032607_Samsung Internet.jpg
 
Kuna TISS na Kuna GSO .. TISS mnaijua wengi lakini HAMJUI.. GSO...!!? SASA GSO Ndio hatari Kwa watumishi wa umma kuliko TISS .. unaijua GSO! nawaambiaga watoto ... Wamacheka
.. sasa nataka wanipe utofauti wa TISS na GSO... HALAFU niongee nao... Mi kazi siwezi kufutwa Wala kufukuzwa labda waniue....
Kaka mkubwa umetoa taarifa za serikali ndio maana hao jamaa wa GSO (suti za kaunda) wamekudaka kama mpira?

GSO wamejikita zaidi na watumishi wa umma hususani wanaoajiriwa na serikali, hujishighulisha zaidi na ufanyaji wa uchunguzi wa kitaarifa za waajiriwa, kusimamia ipasavyo maadili ya utumishi ikiwemo ya kutunza siri za serikali na kitaasisi husika utakayoajiriwa.

Huku kwetu Zanzibar wapo chini ya ofisi ya raisi (ikulu)kama nipo sahihi, kwa ufupi ni vigumu sana kuajiriwa bila ya taarifa zako kupita kwenye mikono ya hao jamaa pamoja na kula kiapo chao cha kutunza siri.

Uelewa wangu waishia hapo, kama nimefanya kosa nawaomba wenyewe wanisamehe
 
Ilianza hivi
1662428589990.png

Jana ameandika hivi huyu mzungu mpumbavu, hivi walifikiri russia ni bwana ridhia kama kila atakachofanyiwa atajibu MUNGU YUPO ATANISAIDIA.

Hii mizungu iliwezaje kututawala?

Putin is using energy as a weapon by cutting supply and manipulating our energy markets.
He will fail.
Europe will prevail.
The @EU_Commission
is preparing proposals to help vulnerable households and businesses to cope with high energy prices.
 
Niliomba kuwa "VERIFIED MEMBER" ... sijajibiwa ... Na kabla ya kijibiwa nimehamishwa.... Ila comment zangu bado zipo nnachoomba ... Ni usiri ... Naomba tena kuhakikishiwa ..usalama wangu... Ndio maana sichamgii sana ... Kimsingi "nimekamatwa".... Ila nimelindwa na SHERIA ndio maana..hamnioni nachangia sana... Nimehamishwa kabisa lakini sijapoteza kazi... Nimetoka Mwanza... Nahamishwa Lindi... Mdomo uliponza kichwa.... Sijutiii...
Pole Mkuu.
 
Back
Top Bottom