Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

WORLD NEWS

Euro sinks to twenty-year low against US dollar

[https://static]COMMENTS

By Euronews • 05/09/2022 - 19:35

[https://static]

A cashier changes a 50 Euro banknote with US dollars at an exchange counter - Copyright Gregorio Borgia/Copyright 2022 The Associated Press. All rights reserved.

The Euro slid to a twenty-year low against the US dollar on Monday, trading at below 99 US cents. It comes off the back of last week’s announcement from Russia that it would shut off gas deliveries to Europe indefinitely.

Speaking to Euronews why the Euro is performing so poorly, Chief Economic Adviser at the Centre for Economics and Business Research Vicky Pryce said that, "the main issue has been the differentials between interest rates in the US [and the EU] but the ECB, of course as we know, has lagged behind the trend of other central banks".

"What we're also seeing is huge re-evaluations of economic prospects with forecasts now possibly recession coming on in Europe, even in countries like Germany, which of course is particularly hit by gas not coming as it did before from Russia," said Pryce.

English

Français Deutsch Italiano Español Português Русский Türkçe Ελληνικά Magyar فارسی العربية Shqip Română ქართული български Srpski
 
Niliomba kuwa "VERIFIED MEMBER" ... sijajibiwa ... Na kabla ya kijibiwa nimehamishwa.... Ila comment zangu bado zipo nnachoomba ... Ni usiri ... Naomba tena kuhakikishiwa ..usalama wangu... Ndio maana sichamgii sana ... Kimsingi "nimekamatwa".... Ila nimelindwa na SHERIA ndio maana..hamnioni nachangia sana... Nimehamishwa kabisa lakini sijapoteza kazi... Nimetoka Mwanza... Nahamishwa Lindi... Mdomo uliponza kichwa.... Sijutiii...
 
Niliomba kuwa "VERIFIED MEMBER" ... sijajibiwa ... Na kabla ya kijibiwa nimehamishwa.... Ila comment zangu bado zipo nnachoomba ... Ni usiri ... Naomba tena kuhakikishiwa ..usalama wangu... Ndio maana sichamgii sana ... Kimsingi "nimekamatwa".... Ila nimelindwa na SHERIA ndio maana..hamnioni nachangia sana... Nimehamishwa kabisa lakini sijapoteza kazi... Nimetoka Mwanza... Nahamishwa Lindi... Mdomo uliponza kichwa.... Sijutiii...
Hebu kua serious Basi, ilikuaje,ulitekwa au?[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu kua serious Basi, ilikuaje,ulitekwa au?[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna TISS na Kuna GSO .. TISS mnaijua wengi lakini HAMJUI.. GSO...!!? SASA GSO Ndio hatari Kwa watumishi wa umma kuliko TISS .. unaijua GSO! nawaambiaga watoto ... Wamacheka
.. sasa nataka wanipe utofauti wa TISS na GSO... HALAFU niongee nao... Mi kazi siwezi kufutwa Wala kufukuzwa labda waniue....
 
Hawa walikuwa na uzi wao wa picha na video kule "jukwaa la Photo " Nilikwenda kule nikawa nawanyoosha kwa kuwapa ukweli. Walinitimua kwenye uzi huo kuwa wao hawataki uchambuzi wa ukweli wanataka picha na video za front line ya Ukraine. Bahati mbaya sana video na picha nyingi walizokuwa wanaweza kule zilikuwa zinakiuka maadili ya upashaji habari na utu pia nyingine zilikuwa za kubumba!

Hata hivyo, ni nadhani uzi huu unaweza kuwa unachafuliwa kwa makusudi kuzuia watu wengi wenye shauku ya kujua ukweli wa kinachoendelea kwenye operation demilitarization and denazification huko Ukraine. Pia kuna uwezekano wachafuaji wa uzi wanalengo la kuficha aibu ya upande Fulani wanaoutete kwenye Mgogoro huu.
Nini kifanyike?
 
Aisee uko sahihi...hata Mimi nadhani hi I no misinformation strategy ya west....Kuna Kila uwezekano taasisi za kijasusi za West zimeingilia Kati ....haiwezekani vijana baadhi wamo kwenye uzi huu for 24 hrs wakileta mipicha fake na hawachoki...why?!?! There must be something behind it, for sure...
Ukumbuke balozi wa nchi za Ulaya kama sijakosea aliwahi fika ofisi za JF kutembelea,,,kwa sasa Uikrane wakifanya uvamizi wanatoa na idadi ya vijiji walivyokomboa ambapo tulikua tunahoji hiyo misaada mbona haikomboi hata mtaa?
 
Ukumbuke balozi wa nchi za Ulaya kama sijakosea aliwahi fika ofisi za JF kutembelea,,,kwa sasa Uikrane wakifanya uvamizi wanatoa na idadi ya vijiji walivyokomboa ambapo tulikua tunahoji hiyo misaada mbona haikomboi hata mtaa?
Cha Kwanza unatakiwa kujua "RULES OF ENGAGEMENT"... ndio maana wote hao wanacheza na mchoro huo "Rules of Engagement"...Toka nje ya kanuni hii uone...
 
Cha Kwanza unatakiwa kujua "RULES OF ENGAGEMENT"... ndio maana wote hao wanacheza na mchoro huo "Rules of Engagement"...Toka nje ya kanuni hii uone...
HUMU JUKWAAANI KUNA DEEEP STATE KEYBOARD WARRIORS............
 
🤣🤣,Naona kinyonge sana!Usijali mku,tuendelee kufuatilia SMO na mwisho wake Nini!
Huko Poland kwenye majumba ya Sinema,Kwa nje zimefungwa baiskeli za mota nyingi na watu wanalipwa kupiga pedeli kuzalisha nishati ya kuendesha Sinema!
Fursa hiyo!
Msimu huu hakuna rangi tutaacha ona!

halafu huwa siwaelewi nyie watu wa hiyo dini, mbona mnajitoa mhanga kulipua ubalozi wa huyo huyo mnayemuabudu Ubalozi wa Urusi walipuliwa na mpiganaji wa kidini Afghanistan
 
Hapa pia wasome vunjo MK254 ,tunahitaji kupanuana mawazo kama hivi na sio vijembe Kwa Lengo la kukera watu!

hehehe!!! Haiji hata siku moja nikerwe humu, hofu niliyokua nayo ni ile siku ya msafara ulioliwa na wabeba javelin, leo nashangaa kuona Ukraine wanasimika bendera yaani hadi raha.
 
Kwa kama umesahau subiri tukukumbushe

1) marekani soko lake la bidhaa Kwa asilimia kubwa ni ulaya, sasa kutokana vikwazo pamoja na kukosa nishati viwanda vya ulaya vinaenda kufungwa, kinachofata ni raia kukosa kazi na umasikini, uchumi wa ulaya utaanguka maana yake nchi za ulaya hazitaweza kununua bidhaa za marekani, kutokana na umasikini
Sasa kufatia bidhaa za marekani kukosa soko litasababisha viwanda kufungwa au kupunguza uzalishaji kutokana na bidhaa wanazozalisha hazina wanunuzi, hii itasababisha kupunguza wafanyakazi, wafanyakazi wakianza kupunguzwa ndiyo mwanzo wa raia wa marekani kupunguza matumizi ambapo ndipo uchumi wa marekani ulipo

Kwa hiyo hii itapelekea demand ya dolla kupungua, kitendo kitakachosababisha dolla kuanza kushuka thamani wakati pesa yuan na rubo zikichukua nafasi kutokana na ndiyo sehemu ambayo nchi nyingi duniani wanategemea kupata bidhaa kutoka Asia

Ila haya yote yanaweza yasitokee kama ulaya itatii matakwa ya urusi na kumalizika Kwa Vita ya Ukraine,
Au waanzishe Vita na urusi na washinde Ila kinyume na hapo ulaya inaenda kuwa masikini

Mkuu hongera sana kwa kuwapa somo kuna watu ushabiki umewajaa hawajui impact ya kuanguka kwa uchumi wa Ulaya. Euro inazidi kuporomoka kwa kasi kila siku. Uchumia wa Marekani kwa quarter mbili unasoma negative growth na hizi dollar wanazoendelea kuprint zitawatokea Puani.
 
Kama Russia wangekuwa na Bunge lenye sauti hakika, hii vita isingekuwepo.

Unasemea wabunge ambao walikua wanajadili jinsi ya kuitandika UK baada ya kuona wanavuka mipaka wabunge wa Urusi walikua wanajadili sehem za kuipiga kwanza mpaka UK ikaufyata [emoji23][emoji23]au unasemea wabunge wapi??. Ndugu yetu unafuatiliaga yanayoendelea huko??
 
[emoji635][emoji3542]Russia dominates #NuclearPower supply chain

[emoji3591][emoji635]Russia has almost 40% of the world's #uranium conversion capacity

[emoji3591][emoji635]Russia has 46% of the world's enrichment capacity

[emoji3591][emoji635][emoji630][emoji3544]By 2030, #China and #Russia will account for 64% of world's #nuclear enrichment capacity
 
Europe Sanctions Russia
then buys Russian LNG Gas from China that travels half the world and pay a much higher price.
IMG_6197.png
 
Back
Top Bottom