Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo lenu mliharibu uzi kuleta taarifa za upande mmoja nyingi zikiwa za kutunga sasa hivi mkiletewa fact kinachoendelea frontline mnakataa na kusema uzi umeharibiwa hatuwezi kubali mlete habari za upande mmoja tena za telegram wakati ukweli tunauona kwenye media tofauti.
Mi nadhani nimeeleweka!Kama hujaelewa basi!
Endeleeni kujaza page,wengine tutabaki watazamaji tu!
 
Mlikuwa mmeugeuza huu Uzi kama sehemu ya kupiga porojo,na kuleta article ndeefu zisizo na uhalisia,..Mimi nilikuwa nawacheki tu hata kabla sijaamua kuwa member rasmi wa jamiiforum

Nilipozichoka hizo porojo zenu nikaamua kuingia front line kutetea ukweli..., uzuri ni kwamba sioni shida hata mtu akiniblock maana natambua jamiiforum Ina viewers wengi kuliko members wenyewe.., hivyo tunachokiandika hapa zaidi ni Kwa faida ya external viewers,

Huu Uzi haukuwekwa kwa ajili ya kulipigia promo taifa la urusi Kwa article zenu za kuokoteza kwenye telegram za warusi.., never..,hatutakubali...,upotoshaji mlioufanya unatosha Sasa

Sisi tutaendelea kuwaletea ushaidi wa """video game"" kutoka front line
Safi bro[emoji122][emoji122]
 
Wengi wa pande zote wameondoka kwa kuwa uzi huu umevamiwa na mashabiki na wapuuzi wachache wasiokuwa na nondo bali ushabiki wa kipuuzi. wewe fikiria watu wawili wanajaza uzi kwa mipichapicha fake kutoka youtube yaani hata maana ya mjadala haipo tena....utadhani ushabiki wa simba na yanga...mwingine anadiriki kuandika eti analeta mipicha hiyo ili 'kuwakera'...yaani hayupo kutoa elimu bali kukera...utoto mwingi umejaa humu, kwa hiyo wachambuzi wa maana wamepungua mno.
Hii ndo jamiiforum "" where we dare to talk openly ""

Umenipata bwashee?[emoji41][emoji41]
 
Aisee uko sahihi...hata Mimi nadhani hi I no misinformation strategy ya west....Kuna Kila uwezekano taasisi za kijasusi za West zimeingilia Kati ....haiwezekani vijana baadhi wamo kwenye uzi huu for 24 hrs wakileta mipicha fake na hawachoki...why?!?! There must be something behind it, for sure...
Hili nimeliona kuna vikundi vya vijana wa ovyo wako JF ili kusambaza propaganda za West na vile vivideo vyao vya youtube.
 
Umeongea mengi sana yaliyo nje ya hoja ambayo kimsingi hayana mantiki lengo lako likiwa kuonesha the mighty Russia.

Hayo yote ni ushabiki tu lakini anavoendesha hii Operesheni yake anaendesha kishamba sana makosa yamekuwa mengi mno kama jeshi la wanyonge tu.

Kama wanaamua kuondoka tu walikuja Ukraine kufanya nini si wangebaki urusi kwao? Mara ya kwanza walipigwa meli wakasemaa ni hitilafu, wakatolewa Snake island wakasema ni good gusture hata kherson si mbinu ni wamesogezwa nyuma punguza ushabiki.

Wapi nimesema wanajeshi wa Urusi walijiondoa kabisa huko Ukraine -wapi?

Nilicho kisema mimi kinahusu tactical withdraw, walio pitia jeshini wanajua namaanisha nini, kitu kingine si kweli kwamba jeshi la Urusi liliondolewa kisiwa cha Snake kwa mapigano,tafuta reliable source na sio propaganda za Zelensky pamoja na media za magharibi, wanao kumbuka vizuri tulimuona Jenerali wa jeshi la Urusi akitangaza kwamba jeshi lake litaondoka kwenye kisiwa kwa kuwa hakina strategic importance kwa jeshi la Urusi-which is true, kesho yake media za magharibi zikatujui na habari tofauto kabisa kwamba jeshi la Ukraine limepigana kwa ujasiri mkubwa na kuwashinda Warusi na kuchukuwa mateka wengi - ulaghai mtupu, na usanii huu unaendelea mpaka leo, sasa tuje kuhusu kulipuka kwa compartment inayo hifadhi missiles ndani ya Meli ya vita, mbona hilo ni jambo la kawaidi na kumbuka meli hiyo ilikuwa inatumika kuvurumisha missiles hatarishi yaliyo lenga targets tofauti ndani ya Taifa la Ukraine na siku ilipo tokea ajali, Bahari ya Black Sea ilikuwa imekubwa na upepo mkali sana, Meli zilionekana zinayumba sana, hivyo ni rahisi sana missiles ku-misfire kutokana na dharuba - nilipo ona upepo mkali ulivyo kuwa onaonekana nikakubaliana na Maelezo ya NAVY ya Urusi ya kuhusu sababu za kutokea mlipuko kwenye Meli - mawimbi yaliyo sababishwa na upepo mkali yalionelana wazi wazi yalikuwa ni makubwa mno na yenye nguvu kupitiliza - mpaka leo hakuna media yoyote Duniani iliyo wahi kuonyesha anti ship missiles yoyote zikirushwa kwenda kushambulia Meli ya vita ya Urusi, mwanzo hata jeshi la USA lilisema meli hiyo haikushambuliwa na kombora lolote kutoka Ukraine, hiyo ilikuwa ni ajali ya kawaida tu - baadae kabisa ndio wakaja na maelezo tofauti kabisa designed for political gain, lakini hawa leti ushahidi - na nyinyi mnafuata mkumbo kwa kuwa watoa taarifa ni: CNN,BBC,Reuters,SkyNews nk!!

Kitu kingine, nakushauri kwamba JF ni jukwaa huru kila member ana uhuru wa kutoa maoni yake kama unaona yanakukwaza leta ya maoni yako mbadala members wana uwezo mkubwa wa kutofautisha baina ya pumba na mchele - msilazimishe watu kufuata mnayo yataka nyinyi, mpaka mnafikia hatua ya kukasirika na kukejeri watu - nawashauri mara kwa mara kwamba Watanzania tulio wengi tuna cha kujifunza kutoka kwa raia wa Kenya mfano: MK254 fatilia maoni yake na maelezo huwezi hata siku moja kumuona anajibu jibu members vibaya au kuwazodoa na Wazambia wako hivyo PR zao niza kistaarabu sana - kwa bahati mbaya sisi ni tofauti kabisa!! Bottom line is: we gotta lot to learn from them KENYANS. Jifunzeni kukubali kutokubalina bila ya kuwakejeri members wenzenu.
 
🇱🇹Lithuanian fertilizer plant closes due to Russian gas prices

The largest fertilizer plant in Lithuania, Achema, reported its lack of competitiveness against the backdrop of products from Russia and the United States.

“The fertilizers we produce are becoming uncompetitive compared to the products of American and Russian manufacturers,” the plant said.

❗️Recently, the six largest industrial plants in Europe have not been able to cope with rising energy prices and have announced a halt to work.
 
According to Ukrop Legitimny channel this was the setup for Kherson offensive, wave 1-2 got completely destroyed.

- the first wave: strike groups of special forces.
Approximate 5.000 people

- the second wave: immediately after the first, regular units of the Armed Forces of Ukraine, which went through the spring campaign and have good combat experience.
Approximate participation 10.000 people

- the third and fourth wave: it is underway now, and consists of additional special forces and Armed Forces of Ukraine with combat experience of at least four months.
Approximate number of participants: 10.000

- the fifth wave, now being brought from the rear: it consists of the Armed Forces of Ukraine and the territorial defense. Approximate number: 20.000
 
Tazameni hii video Himars ilichofanya magari na silaha za Russia ni mascraper tu Kherson anaumia mtu huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji2][emoji2][emoji2]pro Russia wakiona video hizi watamani kulikimbia jukwaa.
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 5, 2022)

Part 1 (read Part 2)

The Armed Forces of Ukraine (AFU) continued their attempts to consolidate at several areas of Nikolayev-Krivoy Rog direction.

💥 Russian Aerospace Forces, missile troops and artillery launch high-precision attacks at the units and reserve forces of Ukrainian troops.

💥 The enemy has lost a total of 11 tanks, 7 infantry combat vehicles and 8 armoured vehicles of other types, 9 pick-ups with large-calibre machine guns and over 220 servicemen at the abovementioned direction.

💥 High-precision armament has neutralised provisional bases of 57th Mechanised Infantry Brigade near Bereznegovatoye and Murakhovka (Nikolayev region).

💥 Russian Aerospace Forces have shot down 1 Mi-8 helicopter of Ukrainian Air Force near Kochubeyevka (Kherson region).

2 depots for missiles, artillery armament and munitions of the AFU have been destroyed near Voznesensk and Ochakov (Nikolayev region) that storaged over 1,500 rocket-propelled projectiles for multiple rocket-launching systems (MRLS), including over 200 projectiles for U.S.-manufactured HIMARS multiple rocket launchers.

Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery continue launching attacks at the military facilities in Ukraine.

💥 High-precision attack launched by Russian Aerospace Forces at a provisional base of Kraken nationalist group deployed near Kharkov has resulted in the elimination of over 30 nationalists and 10 motor vehicles.

💥 Concentrated fire attacks launched at the combat positions of 81st Air Assault Brigade near Krasnopolye (Donetsk People's Republic) has resulted in the elimination of up to 20 and wounding of over 50 AFU servicemen.

💥 6 AFU command posts have been neutralised near Dachnoye, Velikaya Danilovka (Kharkov region), Slavyansk, Artyomovsk (Donetsk People's Republic), Poltavka (Zaporozhye region), Zelenodolsk (Dnepropetrovsk region), as well as 48 artillery units and 152 Ukrainian manpower and military equipment concentration areas.

💥 5 depots for missiles, artillery armament and munitions have been destroyed near Andreyevka, Sady (Kharkov region), Dobrovolye, Zelyonoye Pole (Donetsk People's Republic) and Nikolayevka (Kherson region).

💥 1 launching ramp of U.S.-manufactured HIMARS multiple rocket-launching system has been destroyed near Timchenki (Kharkov region).

💥 Russian air defence means have shot down 5 unmanned aerial vehicles near Bolshiye Prokhody (Kharkov region), Novotroitskoye, Yegorovka, Novy Svet and Zelyonoye Pole (Donetsk People's Republic), including 1 Bayraktar-TB2.

💥 4 U.S.-manufactured HARM anti-radar missiles have been shot down near Chernobayevka and Novaya Kakhovka (Kherson region).

💥 34 projectiles launched by HIMARS, Uragan and Olkha MRLS have been intercepted in air near Kazatskoye and Chernobayevka (Kherson region).

📊 In total, 287 airplanes and 152 helicopters, 1,877 unmanned aerial vehicles, 372 air defence missile systems, 4,822 tanks and other armoured combat vehicles, 825 combat vehicles equipped with MRLS, 3,368 field artillery cannons and mortars, as well as 5,340 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Back
Top Bottom