kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukimblock VUNJO usisahau kuniblock na Mimi, maana ni pacha wangu huyo[emoji41][emoji41][emoji41]Kwanini msim-block?Nyie ndio mnampa airtime.
Ukimblock VUNJO usisahau kuniblock na Mimi, maana ni pacha wangu huyo[emoji41][emoji41][emoji41]Kwanini msim-block?Nyie ndio mnampa airtime.
Super pawer wa mchongo [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Helicopter ya super power imetunguliwa jana hatutaki takataka angani
Niliwahi kusema humu, kuwa kweli Dunia inazunguka kiasi sikutegemea Ulaya waishi ' kidigidigi' namna hii.Hivi kweli west ndo wanahangaika na kuset price cap kwenye mafuta ya Mrussi??? kweli hali mbaya. Hakuna jambo lisilokua na mwisho huu ndo mwisho wa West sahivi matajir wanainvest Asia nasio Europe. Mwisho wa West umefika ni suala la muda tu
Ukisikia nguvu ya soda ndo hii sasa [emoji848][emoji848]Ila urusi kachapwa jamani hadi huruma,nakumbuka siku ya kwanza aliingia kwa mbwembwe helcopter na ndege vita zilikuwa zinapaa kila sehem,lakini hivi sasa hathubutu tena kupeleka pua kyiv
Sio 2000 walisema 20,000 wamewekwa mtu kati !!?? Noma Sana ....Wale warusi 2000 mliosemwa wamewekwa mtu kati,wako wapi?
Umeongea mengi sana yaliyo nje ya hoja ambayo kimsingi hayana mantiki lengo lako likiwa kuonesha the mighty Russia.Mkuu mbona unarudia maelezo yangu kwa kuyageuza upside down na inside out - strange don't you think.
Sasa turudi kwenye mada - hivi huna habari kwamba Russians were pioneers kwenye masuala ya space exploration, wa kwanza kurusha satellite kwenye orbit, first space station imebaki huko anga za juu miaka nenda rudi, Merikani walijaribu Sky Lab yao ilikaa angani kwa muda tu ikadodoka kwenye Bahari ya Pacfic - hata hii international space station imeweza kuendelea kubaki anga za juu kutokana na ujuzi wa wana sayansi wa Urusi ndio uhakilisha kila mara wanaisukuma space station kwenye higher orbit slot ili hisije ikadondoka Duniani, hivi sasa Warusi wanataka kujiondoa kwenye project, hivi hawa Warusi wakijiondoa kwenye project hii 'am telling you space station hiyo haitachukuwa round itakuja kudodoka Duniani.
One may ask kwa nini nasema yote haya - nataka kukuonyesha kwamba Warusi sio waganga wa kienyeji au watabiri - wana nyenzo lukuki za kisayansi zenye uwezo mkubwa kubaini kinacho endelea nje na ndani ya taifa lao - umenishangaza sana ulipo sema eti Ukraine ilitangaza makusudi operation yake hili ivute wanajeshi wa Russia kuja kuongeza nguvu za Ulinzi Kherson - hivi inaingia akilini kwamba Urusi ni taifa la kusikiliza Radio mbao kuhusu mienendo ya jeshi la Zelensky? Yaani umesahau kabisa kwamba Russia ina satellite chungu mzima za kuratibu movement na mobilization za jeshi la Zelensky in REAL TIME, kusikiliza mpaka mazungumzo ya radio na simu hata kama yako scrambled - leo hii mtu anatujia na Mickey Mouse stories eti Ukraine ilitangaza makusudi ili kuvuta majeshi ya Urusi - hii wapi na wapi mkuu??
Kitu kingine cha kuchekesha zaidi kwa nini hao watoa taarifa wa Ukraine wanakuja kurudia maelezo ya mbinu za Urusi walizo tumia kuwatega wanajeshi wa Ukraine inakuwaje watoa taarifa wa Ukraine wanatoa maelezo ya kuchonga baada ya Jenerali wa jeshi la Urusi kulezea strategies za jeshi lake zilizo tumiwa kutega jeshi la Zelensky na likaingia kwenye mtego wa Urusi kichwa kichwa - kama hiyo ni kweli mbona hawakuyasema kabla hawajamsikiliza Jenerali wa Urusi aliyo yasema baada ya kumsikiliza baadae na wao wakayarudia yale yale in reverse, usanii mtupu!!
Bottom line is: Usanii wa Zelensky na jeshi lake hautawafikisha mbali hata kidogo, watakuja kuabika mchana kweupe - jeshi la Ukraine na mamuluki wa Ulaya na US wamekuwa trapped kirahisi jimboni Kherson, walio kufa wamekufa walio nusurika watafanana na wale walio jificha kwenye mahandaki ya kiwanda cha chuma wakagoma ku-surrender, lakini njaa ilipo wabana wakatoka wenyewe zaidi za POW 2000 kama sikosei na Kherson yatajirudia haya haya - bottom line is: Zelensky a swallow his pride hasiwe kig'ang'anizi na ujeuri usio na tija, akumbuke kwamba uwezekano wa kuishinda Urusi ni mdogo sana na kusema kweli haupo kabisa - just surrender to Putin kubali masharti yake -mambo yaishe na sio anaendelea kupigana vita visivyo na tija kwa Ukraine yenyewe pamoja na Urusi - Waukraine na Warusi ni ndugu msikubali kuchonganishwa na wageni wasio watakia mema.
Huyo jamaa anajitaidi kuandika maelezo marefu sana kutetea udhalim wa urusi.., lakini anajikuta anaandika utumbo tu,Umeongea mengi sana yaliyo nje ya hoja ambayo kimsingi hayana mantiki lengo lako likiwa kuonesha the mighty Russia.
Hayo yote ni ushabiki tu lakini anavoendesha hii Operesheni yake anaendesha kishamba sana makosa yamekuwa mengi mno kama jeshi la wanyonge tu.
Kama wanaamua kuondoka tu walikuja Ukraine kufanya nini si wangebaki urusi kwao? Mara ya kwanza walipigwa meli wakasemaa ni hitilafu, wakatolewa Snake island wakasema ni good gusture hata kherson si mbinu ni wamesogezwa nyuma punguza ushabiki.
On the eve of the visit of the IAEA mission to the Zaporozhye nuclear power plant, the Armed Forces of Ukraine attempted to launch a counteroffensive in the Kharkov region. On September 1, units of the Ukrainian 14th Mechanized Brigade were defeated in the area of Russian Tishki, losing up to 50 servicemen. Another attempt to counter attack was reported near Russian Lozovaya, where Ukrainian forces also suffered losses and retreated.Wameanza kumpigia magoti zelensiky [emoji91][emoji91][emoji91]
Paragraph ya mwisho umeisoma vizuri na kuielewa? Maana tunajua unalazimisha kufurahia jambo linalokuumiza. Ha ha haaaa!Sisi hatutaki pambano liendelee tujue ukweli nani kachapika msilete ujinga kabisa tuliomba negotiations February mkagoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2346002
Itoe Al Jazeera hapo hao jamaa hawapendeleiMimi Kama mimi siwezi kuleta taarifa ya Telegram,Twitter,Facebook,CNN BBC,Aljazeera,Instagram etc.etc.hapa,I know it is fake news.Taarifa zangu ni dependable, authentic and from independent sources.Source yeyote ambayo ina conflict of interest na mgogoro wa Russia na Ukraine taarifa zao sichukui,they are simply not dependable.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Walidhani wanatikisa moto kumbe wanatikisa makalio
Kwani USA hakufunga ubalozi wake Moscow baada ya Urusi kuanza hii op??[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]The US authorities will soon announce the candidacy of a new ambassador to Russia - the State Department[emoji91][emoji91][emoji91]
Watu walikuwa wanamuona Putin,kama mungu mtu, kwamba hawezi kupokea kichapo kama hiki[emoji2][emoji2][emoji2]Mateka wengine hawa huko Kherson wanajisalimisha tu silaha hakuna
Kuna silaha inaitwe vimpire, sijui urusi Hana taharifa kwamba huu mfumo tayari upo UkraineHelicopter ya super power imetunguliwa jana hatutaki takataka angani
Block himHuyu jamaa vunjo ,ana utoro mwingi,yaani yy Hana credible argument zaidi kutupia video amabzo hazina maana,Uzi umeanza is kuharibika