Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe Mathanzua acha upuuzi wa kukataza watu wapost habari kama huzipendi kausha.

Mkuu vunjo leta habari as long as zina source kuna mihabari mingi humu ya kina mohamedidrisa789 hazina hata source au source ni account za twitter na hawasemi chochote kwakuwa zinaegemea upande wao.

Humu kila mtu alete habari kama unaona ni fake au unaumia potezea tu huyo mathanzua kuna kipindi waligombana humu na pro russia wenzie kwa kuchanganya battle field na mambo ya imani yake ni mpuuzi wa kupuuza.
Mimi huwa nashangaa kabisa na inafikia sehemu wanatukana kisa hawafurahishwi na yanayoletwa ni pro Ukraine.

Wanaujinga mwingi sana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Niseme tu Pro Ukraine WANAJUA sana kureport mambo ya kusadikika. Facebook .Twitter ,Inster. Naona mengi nimebandika moja kweli wamekuja mbio kunipongeza eti saa mbovu inasema kweli . Source ya hiyo habari sio reliable hata kwa 0.00000000001
 
Wakuu naomba mwenye Jibu ,inapotokea wanajeshi wa upande flani wakajisalimisha, nini hufuata, hurudi kikosin kwake, au hjiunga na jeshi pinzani lililomzidi nguvu
Kherson ya moto
Kuna wanajeshi zaidi ya 20,000 wa Kirusi hawana njia ya kutokea
 
Tazama hii video wanajeshi kibao wamechukuliwa mateka wame sarenda hii operation ni hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Niseme tu Pro Ukraine WANAJUA sana kureport mambo ya kusadikika. Facebook .Twitter ,Inster. Naona mengi nimebandika moja kweli wamekuja mbio kunipongeza eti saa mbovu inasema kweli . Source ya hiyo habari sio reliable hata kwa 0.00000000001
Umekuja kujitetea kwa pro Russia wenzio wasije kukuona msaliti...,ukiona italeta shida kaifute coment mkuu [emoji2][emoji2]
 
Kwa hulka aliyonayo urusi,kama angekuwa na makombora ya masafa marefu, tungeshuudia msululu wa mashambulizi huko Kiev,, lakini kwa Hali ilivyo,jamaa kabaki empty,
Keep dreaming!Hivi hamjui Russia alipigana world war 2 Kwa miaka 6 na Wanazi pamoja na washirika wao mpaka kuishinda?
Eti kaishiwa silaha😃😃😃
 
Keep dreaming!Hivi hamjui Russia alipigana world war 2 Kwa miaka 6 na Wanazi pamoja na washirika wao mpaka kuishinda?
Eti kaishiwa silaha[emoji2][emoji2][emoji2]
Russia asingekubali wajeda wake kuuliwa kama kumbikumbi huko kheson, wakati ana makombora ya kutosha ya masafa marefu..,angelipua Chochote huko kheson Ili mradi tu aonekane anashambulia [emoji12]
 
Tazama hii video wanajeshi kibao wamechukuliwa mateka wame sarenda hii operation ni hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pro Russia wakiona mambo Kama haya wanapoza maumivu kwa kusema video game [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Russia asingekubali wajeda wake kuuliwa kama kumbikumbi huko kheson, wakati ana makombora ya kutosha ya masafa marefu..,angelipua Chochote huko kheson Ili mradi tu aonekane anashambulia [emoji12]
Kwahiyo Russia kaishiwa Silaha?Kwahiyo tutegemee anakimbia anakimbia Ukraine lini?
Halafu elimu ya vita umepata wapi hiyo ya kulipua chochote ilimradi una silaha?
 
Tazameni hii video Himars ilichofanya magari na silaha za Russia ni mascraper tu Kherson anaumia mtu huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Video nyungine ya pantoon la kuvusha silaha na magari linefeuzwa majivu leo huko Kherson [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kila kitu kinachoribu kuvuka kwenye huo mto,kinakwenda na HIMARS

Hii counteroffensive inazidi kuwa tamu kadri siku zinavyokwenda [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Pro Russia wakiona mambo Kama haya wanapoza maumivu kwa kusema video game [emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahaaa ukisikia video ya mchongo ndio kama hiyo,Kuna kakipande kanaonesha kifaru kinalipuka!
Ukiipata video kamili hicho ni kifaru maalumu Kwa ajili kutegua mabomu!Kina kirefu Kwa mbele ambapo mlipuko hutokea na haukiathiri!
Ndio maana tunasema hizi video zenu za michongo ni biashara Kwa wenye channel zao!Na wamewakamata kweli kweli Pro NATO!Kuanzia Sasa video uchwara kama hizo sifungui!
 
Back
Top Bottom