Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimefwatilia sana huu uzi lakini watu wanafanya vita kama ushabiki wa mpira ,ukweli hata uwe na nguvu vipi ukiingia kwenye vita lazima upoteze askari na vifaa uwezi kwepa hilo lakini mshindi wa vita niyule atakae shinda battle nyingi maana in war kuna many battle akuna anae weza kupiga tu bila kupigwa ata uwe super power vipi maana mabomu au risasi aichagui uyu ni super power wote ni binadamu na anae waiwa atauliwa tu.
Swala lavita ni zaidi ya vifaa na wingi wa watu kuna vitu vingi vya kuangalia kama morale ya piganaji ,mafunzo etc kwaiyo vita sio one side yani wewe kwa sababu ni super power uwe unapiga tu mwisho wa hii vita atakae shinda battle nyingi ndio ata shinda vita,

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Umeongea point sasa
Ila kitechnologia Urusi yuko nyuma
 
Msee kaishiwa silaha za masafa marefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbuka hii vita tunaipeleka mpaka december hivi hakuna rangi ataacha kuona mrusiView attachment 2345345
Kwa hulka aliyonayo urusi,kama angekuwa na makombora ya masafa marefu, tungeshuudia msululu wa mashambulizi huko Kiev,, lakini kwa Hali ilivyo,jamaa kabaki empty,
 
[emoji123] Ukrainian Marines destroyed more than 260 invaders and 7 ammunition depots in a week — press service of the Ukrainian Naval Forces of the Armed Forces of Ukraine

Soldiers of the Ukrainian Naval Forces destroyed more than 260 Russian military men, 7 ammunition depots, 7 tanks, 17 self-propelled artillery, and 3 observation posts of the invaders during the week.
 
Nyie pro russia endeleeni kuulizia sehemu advancement ya jeshi la ukraine. Sehemu zinarudi.
Screenshot_20220904-163014.jpg
 
[emoji123] Ukrainian Marines destroyed more than 260 invaders and 7 ammunition depots in a week — press service of the Ukrainian Naval Forces of the Armed Forces of Ukraine

Soldiers of the Ukrainian Naval Forces destroyed more than 260 Russian military men, 7 ammunition depots, 7 tanks, 17 self-propelled artillery, and 3 observation posts of the invaders during the week.
[emoji123][emoji123] kazi nzuri kutoka kwa wanaume wa jeshi la Ukraine

N,B. Kuna wakati saa mbovu inaonyesha muda sahihi,
 
Nimetoka kumsikiliza waziri wa ulinzi wa UKRAINE (Aljazeera )anasema kuwa faida ya counter offensive itaonekan baada ya miezi kwa sababu itaenda mdog mdogo kwa kulinda wanajeshi wake na wakazi.

Nimecheka sana kusikia ivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1166]
 
Kwa hiyo hapo ndo umetoa habari tayari [emoji848]
Wenzio wanaendelea kupewa kipigo Cha mbwa mwizi huko
 
Kwa iyo WARUSI watakuwa tu wamekaa wanawasubiri UKRAINE waje kufanya counter attack wakati na wao wanaitaji kusonga mbele kuichukua MYKOLAYIV yote na pia ODESSA
Counteroffensive sio kubembelezana,ni kumpush tu adui h hata kama anatamani aendelee kukaa kwenye Hilo eneo..,ndio maana urusi wanaendelea kusukumwa nyuma kwa lazima huko kheson,
 
Kherson ya moto
Kuna wanajeshi zaidi ya 20,000 wa Kirusi hawana njia ya kutokea
Ile operation ya kukata supply ya silaha kwa kulipua madaraja matokeo yake ndiyo hayo. Hii habari sijaona lakini obviousy kama huna supply lazima uwekwe mtu kati.
 
Back
Top Bottom