Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Msee kaishiwa silaha za masafa marefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbuka hii vita tunaipeleka mpaka december hivi hakuna rangi ataacha kuona mrusi
Screenshot_20220904-120601_Chrome.jpg
 
Haya mapipa aliyowapora Syria S300 sasa hivi anayatumia kwa mashambulizi maana kwenye defense system ni zero kabisa.Na kwenye mashambulizi ni Less Accurate [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220904-121351_Samsung Internet.jpg
 
Break Neews!!! Ile pantoon(ferry) jana tulikuwa tunaicheki kwenye satellite ikivusha vifaa vya kijeshi leo muda si mrefu imeshambuliwa na the biggest HIMARS ni majivu tu hakuna kuvusha kitu.Tazameni video hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Break Neews!!! Ile pantoon(ferry) jana tulikuwa tunaicheki kwenye satellite ikivusha vifaa vya kijeshi leo muda si mrefu imeshambuliwa na the biggest HIMARS ni majivu tu hakuna kuvusha kitu.Tazameni video hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimefwatilia sana huu uzi lakini watu wanafanya vita kama ushabiki wa mpira ,ukweli hata uwe na nguvu vipi ukiingia kwenye vita lazima upoteze askari na vifaa uwezi kwepa hilo lakini mshindi wa vita niyule atakae shinda battle nyingi maana in war kuna many battle akuna anae weza kupiga tu bila kupigwa ata uwe super power vipi maana mabomu au risasi aichagui uyu ni super power wote ni binadamu na anae waiwa atauliwa tu.
Swala lavita ni zaidi ya vifaa na wingi wa watu kuna vitu vingi vya kuangalia kama morale ya piganaji ,mafunzo etc kwaiyo vita sio one side yani wewe kwa sababu ni super power uwe unapiga tu mwisho wa hii vita atakae shinda battle nyingi ndio ata shinda vita,

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mateka, vifo ,zana kuaribiwa wala sio kitu cha kushangaza kwenye vita maana ukiamua kuingia kwenye vita aviepukiki kikubwa kila mmoja ana jaribu kupunguza madhara upande wake nikama ununue gari lazima ukubali kuna mafuta na service na uwezi kwepa garama za kumiliki ilo gari so ukiona mtu kaamua kuingia vitani anajua kuna gharama na kasha zikubali.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nimefwatilia sana huu uzi lakini watu wanafanya vita kama ushabiki wa mpira ,ukweli hata uwe na nguvu vipi ukiingia kwenye vita lazima upoteze askari na vifaa uwezi kwepa hilo lakini mshindi wa vita niyule atakae shinda battle nyingi maana in war kuna many battle akuna anae weza kupiga tu bila kupigwa ata uwe super power vipi maana mabomu au risasi aichagui uyu ni super power wote ni binadamu na anae waiwa atauliwa tu.
Swala lavita ni zaidi ya vifaa na wingi wa watu kuna vitu vingi vya kuangalia kama morale ya piganaji ,mafunzo etc kwaiyo vita sio one side yani wewe kwa sababu ni super power uwe unapiga tu mwisho wa hii vita atakae shinda battle nyingi ndio ata shinda vita,

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji2935]
 
Back
Top Bottom