Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu ungekuwa walao umepitia jeshini kidogo ungenielewa vizuri tu. Nimewambieni kwamba kuna kundi la wataalamu wa tehama wanalipwa na Serikali za Ukraine, Uingereza na Merikani wanaeneza taarifa za uongo tu na wakati mwingine kuongeza chumvi mno kwenye baadhi ya matukio - mabingwa sana ku-digitally manipulate baadhi ya picturers/photos kutengeneza video clips za war games kama hauko makini unaweza kuamini, wanafungua channels zao kwenye UTube wakitumia alias names, lengo lao ni moja tu kushinda vita ya mitandaoni na media za magharibi kumpamba pamba Zelensky na Ukraine, wakati wakijua wazi wazi Ukraine haina uwezo wa kumtunia misuri Putin wala kushinda vita hii inayo endelea nchi za magharibi wanacho kifanya ni kujaribu ku-prolong war ili waendelee kuuza silaha na kufanyia majaribio silaha zao - hawana uchungu wa dhati kuhusu Taifa la Ukraine wala raia wake, manacho care ni uuzaji wa silaha na kujaribu kuidhoofisha Urusi kijeshi na kiuchumi.
Hivi wewe unafikiri sawasawa Ukraine angekuwa hana uwezo wa kupigana na Russia basi hii miezi sita yote mrusi kashindwa kuitawala Ukraine yote pale Kyiv alipigwa akakimbia sasa hivi jasho linamtoka hapo miji ya mipakani mpaka anataka kuketa wafungwa means jeshi nguvu imepungua.
 
Mkuu ungekuwa walao umepitia jeshini kidogo ungenielewa vizuri tu. Nimewambieni kwamba kuna kundi la wataalamu wa tehama wanalipwa na Serikali za Ukraine, Uingereza na Merikani wanaeneza taarifa za uongo tu na wakati mwingine kuongeza chumvi mno kwenye baadhi ya matukio - mabingwa sana ku-digitally manipulate baadhi ya picturers/photos kutengeneza video clips za war games kama hauko makini unaweza kuamini, wanafungua channels zao kwenye UTube wakitumia alias names, lengo lao ni moja tu kushinda vita ya mitandaoni na media za magharibi kumpamba pamba Zelensky na Ukraine, wakati wakijua wazi wazi Ukraine haina uwezo wa kumtunia misuri Putin wala kushinda vita hii inayo endelea nchi za magharibi wanacho kifanya ni kujaribu ku-prolong war ili waendelee kuuza silaha na kufanyia majaribio silaha zao - hawana uchungu wa dhati kuhusu Taifa la Ukraine wala raia wake, manacho care ni uuzaji wa silaha na kujaribu kuidhoofisha Urusi kijeshi na kiuchumi.
Kuna kila dalil zinazoonyesha Urusi hana mpango wa kulimaliza hili zoez mapema.

Km angetaka kumaliza mapema ilikua lazima wafanya maamuz wasikae kwa kutulia waishi km digidigi apige bom ktk maeneo muhim yote lkn mpaka leo hii serikal ipo kyv na inapiga mzigo ktk majengo rasm ya kiserikal huku urusi akiwahakikishia umeme wa uhakika unaozalishwa ktk mtambo ambao upo chin ya urusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku asikari wake wakiendelea kuuwawa kama kumbikumbi...,yaani adui anayeua asikari wako. , Kuteketeza maghala ya siraha.., kuharibu miundombinu yako ya kijeshi,bado unampa access ya umeme..,hapo ndo ujue Ukraine ni mwanaume kweli.., urusi mwenyewe anamheshimu,
 
Mateka wa Russia ni wengi mpaka sasa huko Kherson wanazidi kujisalimisha.

Nanyinyi mna amini maiigizo haya - je,mnakumbuka maigizo ya waasi wa Syria yaliyo kuwa yanaratibiwa na intel agents wa Uingereza na Merikani - walikwenda kuwakusanya watu wakajifanya wamekufa kutokana na mabom ya sumu yaliyo dondoshwa na ndege za Syria - the so called victims wanawekwa kwenye mastretcher, wanapakwa mapovu/foam kwenye midomo wana koroma kama wanakaribia kukata roho vile - kumbe ni maiigizo yenye lengo kutafuta sababu za NATO/US kuishambulia Syria kwa ndege za vita na Cruise missiles kushambulia vituo muhimu vya Serikali ya Asaad yakiwemo makambi yake ya kijeshi nia hasa ya mashambilizi hayo ni kutaka kumdhoofisha Asaad kijeshi mwishowe apinduliwe.

Usanii kama huo ulurudiwa tena kule BUCHA Ukraine, walikwenda kuwasomba watu kutoka maeneo mbali mbali wakadai kwamba waliuwawa na wanajeshi wa Urusi wakati walipo kuwa wanaondoa majeshi yao huko Kiev, uongo huo ulikuja kujulikana baada ya internation probe task force kuchunguza kwa umakini taarifa hizo na kugundua ukweli. Sisemi kwamba wanajeshi wa Urusi hawafi wa kujeruhiwa - ninacho kisema mimi wanajeshi ni kwamba jeshi la Zelensky limeshindwa miserably kukalia tena jimbo la Kherson hata majenerali wa jeshi la Ukraine wanakubali ukweli huo hisipokua social media na western MSM wanatangaza/zungumza vitu tofauti kabisa kufurahisha baraza - hivi jeshi lililo kuwa cornered kirahisi halafu wanakuja hapa na maigizo eti yakionyesha wanajeshi wa Urusi waki-surrender, hizi ni propaganda zenye lengo ku-boost morale za jeshi la Uktaine ambalo limepata hasara kubwa kutokana na kujitia kutaka kukomboa Kherson wakati maandalizi na utekelezaji wa operation nzima ulikuwa ni dismal kabisa ndio maana walipigika kirahisi - media za magharibi zinapotosha wasomaji sijui hilo linamsadia kivipi Zelensky -yupo yupo tu watching the beginning of the end ya yeye mwenyewe na Serikali yake - siku hiyo inakuja fasta than you think.
 
Kuna shoga moja la kirusi liko humu
Kwenye majukwaa mengine lashangilia kufirana, afu huku latuponda Pro NATO
 
Tunafanya maigizo ya kupandisha bendera huko Kherson kama tulivyodanya snake island [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukraine anaendelea kufanya maigizo ya kupandisha bendera huko Kherson
Screenshot_20220904-225512_Chrome.jpg
 
Hahahaaa ukisikia video ya mchongo ndio kama hiyo,Kuna kakipande kanaonesha kifaru kinalipuka!
Ukiipata video kamili hicho ni kifaru maalumu Kwa ajili kutegua mabomu!Kina kirefu Kwa mbele ambapo mlipuko hutokea na haukiathiri!
Ndio maana tunasema hizi video zenu za michongo ni biashara Kwa wenye channel zao!Na wamewakamata kweli kweli Pro NATO!Kuanzia Sasa video uchwara kama hizo sifungui!

Wamewakuta vilaza acha waendelee kuliwa MB watasema vocha hatuwasaidii kununua
 
Jamaa Bukyanagandi unarudia comment moja mara mbili mbili.

Kulingana na maoni ya baadhi ya wachumbuzi wanasema Ukraine alitangaza makusudi ili kuvuta majeshi ya urusi na vifaa zaidi hapo kherson kitu ambacho alifanikiwa urusi walijaa wengi sana kisha nyuma yao ukraine akadili na madaraja ya kukata supply ndicho kilichotokea na sasa jesho la urusi wanapata ugumu wa reinforcements.

Na sio kwamba eti urusi waliondoka wenyewe ni uongo kwani hawa wanaotekwa sashv mbona hawakuondoka? Walikuwa sio party ya strategy unayosema?

Mkuu mbona unarudia maelezo yangu kwa kuyageuza upside down na inside out - strange don't you think.

Sasa turudi kwenye mada - hivi huna habari kwamba Russians were pioneers kwenye masuala ya space exploration, wa kwanza kurusha satellite kwenye orbit, first space station imebaki huko anga za juu miaka nenda rudi, Merikani walijaribu Sky Lab yao ilikaa angani kwa muda tu ikadodoka kwenye Bahari ya Pacfic - hata hii international space station imeweza kuendelea kubaki anga za juu kutokana na ujuzi wa wana sayansi wa Urusi ndio uhakilisha kila mara wanaisukuma space station kwenye higher orbit slot ili hisije ikadondoka Duniani, hivi sasa Warusi wanataka kujiondoa kwenye project, hivi hawa Warusi wakijiondoa kwenye project hii 'am telling you space station hiyo haitachukuwa round itakuja kudodoka Duniani.

One may ask kwa nini nasema yote haya - nataka kukuonyesha kwamba Warusi sio waganga wa kienyeji au watabiri - wana nyenzo lukuki za kisayansi zenye uwezo mkubwa kubaini kinacho endelea nje na ndani ya taifa lao - umenishangaza sana ulipo sema eti Ukraine ilitangaza makusudi operation yake hili ivute wanajeshi wa Russia kuja kuongeza nguvu za Ulinzi Kherson - hivi inaingia akilini kwamba Urusi ni taifa la kusikiliza Radio mbao kuhusu mienendo ya jeshi la Zelensky? Yaani umesahau kabisa kwamba Russia ina satellite chungu mzima za kuratibu movement na mobilization za jeshi la Zelensky in REAL TIME, kusikiliza mpaka mazungumzo ya radio na simu hata kama yako scrambled - leo hii mtu anatujia na Mickey Mouse stories eti Ukraine ilitangaza makusudi ili kuvuta majeshi ya Urusi - hii wapi na wapi mkuu??

Kitu kingine cha kuchekesha zaidi kwa nini hao watoa taarifa wa Ukraine wanakuja kurudia maelezo ya mbinu za Urusi walizo tumia kuwatega wanajeshi wa Ukraine inakuwaje watoa taarifa wa Ukraine wanatoa maelezo ya kuchonga baada ya Jenerali wa jeshi la Urusi kulezea strategies za jeshi lake zilizo tumiwa kutega jeshi la Zelensky na likaingia kwenye mtego wa Urusi kichwa kichwa - kama hiyo ni kweli mbona hawakuyasema kabla hawajamsikiliza Jenerali wa Urusi aliyo yasema baada ya kumsikiliza baadae na wao wakayarudia yale yale in reverse, usanii mtupu!!

Bottom line is: Usanii wa Zelensky na jeshi lake hautawafikisha mbali hata kidogo, watakuja kuabika mchana kweupe - jeshi la Ukraine na mamuluki wa Ulaya na US wamekuwa trapped kirahisi jimboni Kherson, walio kufa wamekufa walio nusurika watafanana na wale walio jificha kwenye mahandaki ya kiwanda cha chuma wakagoma ku-surrender, lakini njaa ilipo wabana wakatoka wenyewe zaidi za POW 2000 kama sikosei na Kherson yatajirudia haya haya - bottom line is: Zelensky a swallow his pride hasiwe kig'ang'anizi na ujeuri usio na tija, akumbuke kwamba uwezekano wa kuishinda Urusi ni mdogo sana na kusema kweli haupo kabisa - just surrender to Putin kubali masharti yake -mambo yaishe na sio anaendelea kupigana vita visivyo na tija kwa Ukraine yenyewe pamoja na Urusi - Waukraine na Warusi ni ndugu msikubali kuchonganishwa na wageni wasio watakia mema.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji845]🇺[emoji1233]🇺[emoji2925]The implementation of the G7 ideas to limit the price of Russian oil is very problematic-The Washington Post

The proposals of the Group of Seven may look reasonable on paper, but in reality they will face serious problems-Catherine Rampel, an economic columnist for WP[emoji845]
 
Back
Top Bottom