Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kilaza liz truss akijifunza diplomasia kutoka kwa nguli sergei lavrov



Kiukweli nimevunjika moyo baada ya kushuhudia mazungumzo yetu yakiwa hayana tofauti na mazungumzo yaliowakutanisha bubu na kiziwi.
Sergei lavrov katika ubora wake

Tafuteni hiii press conference iliokamilika mumsikilize kilaza liz truss asiyefahamu mji wa rostov kama upo russia.

Ni sawa na mtu aseme portsmouth haipo uingereza
 
Wewe mbona unapenda kuwaattack watu personally kwa matusi ya nguoni hapa jukwaani..?, akiamua kujibu hayo matusi patakalika hapa?

Halafu kutwa kulalamika eti video kutoka front line zinachafua jukwaa..,kati ya haya matusi na hizo video kipi kinakera zaidi

Manafiki sana, huwa siyafagilii.
 
Nyie ndo tuwaulize mmefika wapi muda huu maana hamuonekani.tunasikia tu kuna vijiji vi 3 mmekomboa ila havijulikani.yani nguvu yote ilo mliyotumia ni kweli ya kukomboa vijiji vitatu
Lile swali la mpaka sasa mmekomboa vijiji vingapi siku hizi mbona haliuliziwi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2347067
 
Hii operation ni balaa tazama tunavyowalipua kama kuku ila drone zimabadilisha uhalisia wa vita maana tungekuwa tunalishwa articles za kubumba lakini drone inarecord kila kitu kipo live[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii vita ya sasa hakuna kujificha tunawafwatilia kila angle kwa drones na kuwalipua tazama video chini

 
Step by step tunachukua meneo yetu
Screenshot_20220906-074650_Chrome.jpg
 
Kherson anakufa mtu huko sasa hivi pro Russia wanapost Gas na sanctions hawana habari kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220906-074842_Chrome.jpg
 
Hii vita ya sasa hakuna kujificha tunawafwatilia kila angle kwa drones na kuwalipua tazama video chini

Mpaka huyu dikiteta aombe poo..,ni nadra sana kuwasikia pro Russia wakiongelea Hali ya front line huko kheson maana imeshakuwa ya moto sana kwao [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mpaka huyu dikiteta aombe poo..,ni nadra sana kuwasikia pro Russia wakiongelea Hali ya front line huko kheson maana imeshakuwa ya moto sana kwao [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wanaishia kulalamika winter na gas ndio silaha yao Kherson wamezidiwa hakuna mjadala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe mbona unapenda kuwaattack watu personally kwa matusi ya nguoni hapa jukwaani..?, akiamua kujibu hayo matusi patakalika hapa?

Halafu kutwa kulalamika eti video kutoka front line zinachafua jukwaa..,kati ya haya matusi na hizo video kipi kinakera zaidi
Umeona tusi hapo?
 
Hii operation ni balaa tazama tunavyowalipua kama kuku ila drone zimabadilisha uhalisia wa vita maana tungekuwa tunalishwa articles za kubumba lakini drone inarecord kila kitu kipo live[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usichoke kutuletea updates mkuu,tunafurahi sana kuona haki inazidi kusimana dhidi ya udhalim [emoji120][emoji120]
 
Kama Russia wangekuwa na Bunge lenye sauti hakika, hii vita isingekuwepo.
Kwa taarifa Yako Kuna wabunge huko Russia wanamuona Putin ni slake,wanataka atumie silaha za Rufaa.
Kuna libunge limoja lilimtaka Putin apige Kambi za NATO ulaya.
Spika wa Bunge nae akatoa tamko kua Urusi iongeze mashambulizi.
 
Back
Top Bottom