Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
🆕🔥🔥🔥Russia terminated the agreement on simplified access for Japanese citizens to the Kuril Islands🔥🔥🔥
Dah Russia kavuliwa nguo aisee ajigambo yote kumbe ana kibamiaGas ndo imebaki kuwa silaha Yao kuu, sijui gas inapigana vita[emoji57]
Hii ni aibu kubwa kwa taifa hambalo limejinasibu kwa miaka mingi kwamba ni super pawer,Dah Russia kavuliwa nguo aisee ajigambo yote kumbe ana kibamia
Wahuni tuu hao mkuu ,kazi kupiga hela za wananchi huku wakijifanya wanaimarisha jeshi,Putin ndiye mtu tajiri dunian, ameiba vya kutosha.always nasemaga Russia inaangushwagwa na viongoz wake,uzalendo hawana ,wanapiga hela za mafuta na gesi,matajiri wengi wa Russia ni vibarua wa Putin wakimzingua huwa anawaflotishaHii ni aibu kubwa kwa taifa hambalo limejinasibu kwa miaka mingi kwamba ni super pawer,
[emoji1787]Sasa hv mtaskia Putin kapigwa pingu anapelekwa the Hague kujibu mashtaka.
Alidhani Ukraine ni Aleppo [emoji38]
Yaani Israel watumie nguvu dhidi ya Urusi [emoji1787]. NATO na US wanahofia direct confrontation dhidi ya urusi alaf hapa israel ndio awe haofii wala hana haja ya kubembeleza ikibidi atumie ubabe!? Mkuu Unaichukulia Russia poa sana hadi sio poaMkuu hizi taarifa umepata wapi? Kwamba kuna silaha za Israel zinadunguliwa na Russia zikionwa na satellites.
Na wapi ulijulishwa kwamba Israel ina production ya manned aircraft on the run? Zile modifications za US jets ndizo unataka wauze, Marekani itakubali?
PM wa Israel kwenda Moscow, tena ziara mbili zilifuatana na suala lile lile la maslahi ya Israel ndani ya anga la Syria. Na Israel huwa hana muda wa kubembeleza kwenye maslahi yake, makubaliano yakigoma basi nguvu zitumike. Ndege za Israel zinaruka muda wowote pale Syria na air defence systems supplied by Russia zipo.
Kwanza sijaona unachotofautiana na mimi unaposema 'kama sijui' Israel imeuza sana silaha. Hayo mauzo si ndio nimeanza nayo kuyaeleza na kugusia uwepo wa mikataba ya vitu kama licence production na technology transfer?
Israel imeisaidia hadi hiyo Russia kwenye drones, Forpost ni drone ya Russia ambayo ni licence production iliyokuwa granted na Israel ila tu kwa ajili ya reconnaissance na inatumika sana na vikosi vya Russia ikiwemo pia Zara.
Hiyo Army Recognition nishaitumia miaka mingapi sijui mfululizo. Bado nasubiri maelezo mawili ikikupedeza.
1) Silaha zipi Israel imepeleka Ukraine, usituletee silaha made by Israel defence companies maana mikataba ya silaha ni tofauti unless kama Tanzania ikipeleka vifaru made in Soviet Union pale Congo utasema ni USSR imepeleka hivyo vifaru.
2) Manned aircrafts zipi Israel imeuza tangu hiyo 2014, wao si wanauza drones tu. Waliwahi fanya modifications ya old Mirage jets za Ufaransa na kuunda za kwao ila hazikuwa for export ingawa walishare technology kwa apartheid South Africa miaka ile ya 1980s
Ulaya hawawezi kureplace gesi ya urusi kwa namna yeyote ile. Wataongea tu lkn mwishowe watarudi kununua.Hypothesis yako ni nzuri sana haijakaa kwamba haiwezekani. Angekuwa ni China kwenye vita ya kiuchumi na Marekani angalau ingeleta mantiki ila sio hii Urusi. Energy sources ziko sehemu nyingine nyingi ingawa for the short run kutakuwa na shida. Olaf Scholz ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu awe Chancellor alianzia Senegal, uko kuna gesi inafunguliwa na kampuni ya Total mwakani tena kwa vile demand ni kubwa basi watafanya haraka. Kuna shipyards kibao za kujenga meli, sijaona wakijenga hivyo sijui mpango wao ni upi. Kwa miezi hii ya haraka sijaona watafanyaje ila uhakika ni kwamba Russia atafute mapema wateja wa gesi yake, baada ya hii vita asahau kuuza gesi kwa Western Europe ambao ndio consumers wakubwa, 40% ya gesi ya Ulaya ni from Russia.
Vichwa vyote pale Ulaya haviwezi zubaishwa na nchi inayoshindana na South Korea kwenye GDP. Hata mdororo wa mafuta wa early 1970s ambapo OPEC nzima ilipanga kutoiuzia Israel na Marekani mafuta kisa zimeshirikiana kwenye Yom Kippur war Marekani haikupoteana. Ilileta mabadiliko ya fuel efficiency na makampuni kama PanAm yakapotea ila uchumi wa Marekani haukufa. Na bado Marekani ilifanya lobbying kwa OPEC mafuta yakashuka Soviets wakakosa mapato makubwa.
Marekani yuko safe, Ulaya sijui ila ngoja tuone. Wala hakuna ulazima wa vita nao
152 tanks3100 military personnel
Lete source ya ahabri yako sio unaandika kama ngonjera[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Territories of the former Ukrainian SSR controlled by Russia, as a percentage.
Donetsk region - 60.29%
Kharkov - 33.15%
Zaporozhye - 72.49%
Kherson - 94.3%
Nikolayev - 4.83%
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Video ya pili source tofauti ikionesha silaha walizoacha warusi.Ukitaka kuamini kichapo ni kilali kwenye jukwaa Pro Russia wanapost GAS kuanzia asubuhi mpaka jioni jeshi lao hali advance chochote ndani ya Ukraine so hawana cha kupost[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu mara zote Israel inapofanya mashambulizi Syria wanakuwa wanatarget silaha na miundombinu ya Iran. Je kuna mkataba uliopo wa Urusi kuyalinda masrahi ya Iran nchini Syria?Yaani Israel watumie nguvu dhidi ya Urusi [emoji1787]. NATO na US wanahofia direct confrontation dhidi ya urusi alaf hapa israel ndio awe haofii wala hana haja ya kubembeleza ikibidi atumie ubabe!? Mkuu Unaichukulia Russia poa sana hadi sio poa
Ndege za Israel kuruka kwenye anga la Syria licha ya kuwa kuna air defences za urusi haimaanishi kwamba Hizo ndege ni bora sana au mifumo ya ulinzi wa anga ya urusi ni mibovu. Of course inaweza kuwa hivyo lkn pia inaweza kuwa ni makubaliano baina ya Israel na Urusi.
Logically speaking kama kweli ndegevita za Israel ni bora kiasi cha kutamba kwenye anga linalolindwa na mifumo ya urusi mbona hao hao Israel wanahangaika na kulalama mifumo hiyohiyo (mibovu) isiuzwe kwa mahasimu wao Tehran!?
Mfano Shambulio la December 28 kwenye bandari ya latakia lilikuwa umbali mchache tu kutoka base kubwa kabsa ya urusi hapo syria lkn cha ajabu sio tu kwamba s400 ilishindwa kuintercept bali hata haikuwa activated kbs. Alaf sasa wakati huo huo Israel wanafanya shambulio lao ndege ya urusi ya kijeshi ilikuwa inashuka kwenye base hiyo iliyoko mile chache tu kutoka latakia hivyo pia mifumo ya syria nayo haikuwa activated. Kumbuka Muda mchache kbl ya shambulio hilo la Israel waziri mkuu wa Israel na Putin waliwasiliana kwa njia ya simu
Bado haijakuwa wazi kbs kwa baadhi ya wachambuzi wa mambo haya kwamba ni kwa nini hasa urusi anaiacha Israel ishambulie kupitia anga syria licha ya kuwa hao ni allies wake. Zilizopo ni speculations tu ambazo hazikupi sababu yenye mashiko lkn inaaminika kuna kitu nyuma ya pazia.
Dah,thankyou for your reaction,umejaribu,ila there is more to it than what you have put across.Kabla sija highlight sababu za msingi hasa,naomba utambue kwamba tatizo hili limekumba binadamu wote,hasa wale ambao kwa kupenda wao wenyewe au kwa sababu ya mazingira yanayowa-zunguuka,wameshindwa kujua kimsingi mambo maovu yaliyopangwa kuwadhuru Wanadamu kwa makusudi,na hivyo kuweza kuya-epuka.The new generation are dumb because of globalization....we are overpowered culturally, socially, economically and psychologically ...we are doomed...we didn't prepare ourselves for this ...globalization can be defined as capitalism at its predatory and devilish stage...As a Nation hatuna Cha kufanya kwa Sasa labda capitalism Ife yenyewe...
Kwa hiyo vijana wako doomed....hawakuandaliwa ....kosa linaweza kuwa ni la sisi kizazi chetu ( Cha Enzi za mwalimu) kwa kutowaandaa vijana wetu...kwa kushindwa kuliandaa taifa letu...lakini Kama tulijaribu kufanya hivyo tulishindwa kufanya hivyo kutokana na nguvu. ya capitalism or global capitalism..globalization....Kama taifa hatuwezi kwenda popote....ukiona misafara ya leaders inasindikizwa na magari karibu 100 huku baadhi ya wananchi vijijini wakikosa Maji Safi kwa kuwa hawana kisima cha maji Cha gharama ya sh. milioni tano tu uDshjue we have a big problem...ukiona waziri anatembelea gari la sh. Milioni 450 ujue we have a problem...vijana wetu hawawezi kufikiri kwa kuwa hawana nafasi ya kufikiri...as a Nation we have failed in almost everything...