Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Massive Protest Against NATO, EU & Soaring Energy Prices Hits Prague

Some 70,000 protesters gathered in Prague, Czech Republic, demanding the country take a neutral military stance, while urging the government resign over soaring energy prices and inflation.
 
❗️President Putin Sets Goals For Russia’s Technological Independence

During the meeting of the National Development Council the president tasked the body with curbing Russia’s reliance on foreign software.

He also proposed setting up a minimum broadband speed for internet providers to meet, at 10 gigabit per second, as well as working out an incentive initiative for math, science and computer teachers at Russian schools.
 
Asante kunitag. Kachambua vizuri na it makes sense mfano suala la gesi nakubaliana nae ila kusema kwamba Ulaya itaishiwa ghala la silaha kisa kuisaidia Ukraine nalikataa hilo. Wala kusema Marekani itawekewa vikwazo na Asian countries baada ya Ulaya kuanguka kisa gesi ya Urusi kukatwa nakataa vilevile. Kwani Russia ikiipiga Ukraine ikaitwaa kisha ikakata gesi kwa Ulaya inapungukiwa nini, mbona unahangaika hadi sasa mpaka Ukraine imeanzisha counter offensive. Bado naona udhaifu wa jeshi lao.

Silaha zinazopelekwa Ukraine nyingi ni versions za zamani. HIMARS zilianza za zamani ila wakaongeza GMRS za kisasa, Gepard za Ufaransa zilishaacha kutumika uko kwao, Bushmaster IFV za Australia zilitumika vita ya Iraq na Waingereza walishaunda nyingine za uwezo mkubwa. AGM-88 zinazoua S-300 zote ni old version. Poland ambayo imekomba vifaru na kupeleka Ukraine ni kwamba imevichoka, ilikuwa na mpango wa kuvitunza kwenye ghala ichukue vingine. Kuna silaha nyingi za NATO wao wamezichoka ila Ukraine inazihitaji. Italy ina Leopard 1 MBT zilizoundwa na Oto Melara kwa leseni, ziko outdated kwa level zao. Canada ina Leopard 1 MBT vilevile na ziko modified ila hawazitaki tena. Hizi silaha zikikutana na silaha za Mrusi zinaonyesha uwezo. NATO mara nyingine wanatoa silaha nyingi kwa mfumo wa phasing out ili wapate mpya. Poland ilitaka itoe Mig-29 zote kwa Ukraine, bado hawajazitoa ila hawazitumii. Kuwaza eti kuna nchi ni wajinga watatoa silaha zote waishiwe ni sawa na Kusema USAID itagawa hela zote za Marekani mpaka Federal Reserve iishiwe.

Na pia NATO unabadili mifumo kabla ya kutuma hizo silaha. Ujerumani ilitumia muda mwingi kabla haijatoa Pz2000 howitzer kutengeneza software mpya na kuijaribu, tena ilikuwa na kasoro maana walikurupushwa. Italy ilitoa mine resistant vehicles ikazitoa mfumo wa mawasiliano wa NATO. Ukikamata zana na injini zake kapambane ukeshe ujaribu bahati yako, jambo la muhimu huwa ni blueprints na ndizo China hucheza nazo.

Tatizo la humu mtu ukiweka uchambuzi ujipange kujadili 80% matusi na 20% content jambo ambalo nowadays siko tiyari nalo. Matusi najua sana ila muda sasa ndio nakosa. Na uzi unajazwa porojo ndio maana ni kama naupotezea kiasi, nadhani itabidi tuje kuongeza ufahamu sio kupimana uwezo wa kutukana
Kiufupi hii ni Ukraine arms Expo 2022 na ndo silaha nyingi zapelekwa hapo kwa majaribio na nchi nyingi hata Israeli viwanda vyao vyapeleka silaha hapo.

Ndo maana ukisikia leo kumetangazwa kwamba msaada wa silaha kiasi fulani si kwamba msaada au mzigo ule ndio upo njiani la, bali ndo vile viwanda vyapokea order na uzalishaji waanza.

Kwa mfano juzi Biden aliposema watatoa tena msaada wa vifaa vya mabilioni ni kwamba mzigo utafika Ukraine miezi miwili hadio mitatu kwani utengenezaji wake ndo waingizwa sasa kwenye production line.

Ila nchi nyingi za NATO kwa sasa zote zashughulika kuondoa silaha amabzo zilikuwa zimekaa tu kwenye maghala na hiyo si wao tu hata Russia wenyewe bado hawajatumia silaha zao mpya bali watumia silaha zote za zamani na hilo wamelisema wazi.
 
Ametweet Zelensky [emoji116]
IMG_20220905_183413.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiufupi hii ni Ukraine arms Expo 2022 na ndo silaha nyingi zapelekwa hapo kwa majaribio na nchi nyinig hata Israeli viwanda vyao vyapeleka silaha hapo.

Ndo maana ukisikia leo kumetangazwa kwamba msaada wa silaha kiasi fulani si kwamba msaada au mzigo ule ndio upo njiani la, bali ndo vile viwanda vyapokea order na uzalishaji waanza.

Kwa mfano juzi Biden aliposema watatoa tena msaada wa vifaa vya mabilioni ni kwamba mzigo utafika Ukraine miezi miwili hadio mitatu kwani utengenezaji wake ndo waingizwa sasa kwenye production line.

Ila nchi nyingi za NATO kwa sasa zote zashughulika kuondoa silaha amabzo zilikuwa zimekaa tu kwenye maghala na hiyo si wao tu hata Russia wenyewe bado hawajatumia silaha zao mpya bali watumia silaha zote za zamani na hilo wamelisema wazi.
Israel haipeleki silaha Ukraine. Israel na Russia wana makubaliano yasiyo rasmi ya kutoingiliana kwenye maslahi yao. Pale Syria mashambulizi ya Israel yanapita kwa kufumbiwa macho na Russia, yangekuwa yanazuiliwa basi ingekuwa ugomvi mwingine ambapo sioni ni silaha gani ya Russia ingezuia mashambulizi ya IDF Airforce kufanya airstrikes.
 
THIS IS ONE OF THE BIGGEST. INSANITY WAR EVER HAPPENED IN THE 21ST CENTURY SO FAR..
Sikumbuki ilikua ni Karne ya 20 au ya 21 pale Marekani, uingereza na washirika wake walipoivamia Iraq kwa madai inamiliki silaha za maangamizi.WMD.

Umoja wa mataifa ulikataa Iraq isivamiwe lkn USA na UK na wapambe wao walivamia.
Ajabu Dunia nzima haikuona kitisho Cha WMD lkn USA ambae yoko mbali kwa kwa ma milioni ya kilometer ambae hata Iraq wangejaribu kurusha kwa vifaa vyao WMD zisingemfikia.

USA na NATO walipeleka silaha za aina zote Afghanistan kwenda kuwasaka watu wawili TU,Osama bin laden na Al qaida yake pamoja na Mullah Omar na Taleban yake.
Lkn Leo Taleban bado IPO.poa sikumbuki hii ilikua ni Karne ya ngapi,lkn USA wameiacha Taleban Karne hii ya 21.
 
Israel haipeleki silaha Ukraine. Israel na Russia wana makubaliano yasiyo rasmi ya kutoingiliana kwenye maslahi yao. Pale Syria mashambulizi ya Israel yanapita kwa kufumbiwa macho na Russia, yangekuwa yanazuiliwa basi ingekuwa ugomvi mwingine ambapo sioni ni silaha gani ya Russia ingezuia mashambulizi ya IDF Airforce kufanya airstrikes.
Hizi ni silaha zilotengenezwa na viwanda vya Israeli ambazo zilinunuliwa na nchi zingine za NATO na kuhifadhiwa kwenye maghala yao.

Hivyo si kwamba Israeli wenyewe wanapeleka silaha.

Hata hivyo FYI Israeli kupitia watengenezaji wake wa silaha waitwao Rafael Air Advanced System wana viwanda ambavyo vipo katika nchi mbalimbali za Ulaya.

Pale Ujerumani pana kiwanda cha waisraeli kilichopo sehemu iitwayo Burbach.
 
Nikurebishe katika haya mkuu:-
1.Urusi sio weak sana millitarily kama unavyodhani.Kumbuka in supersonic missile technology na nukes, Urusi ndio wenyewe,bila kutaja submarine technology.Navy yao pia ni excellent.

Naomba ukumbuke kwa sasa Russia is fighting the US,NATO and Europe,with Ukraine only being used as a proxy,yet it is winning the war in Ukraine.So it is an extremely strong army in any standard.Tena usisahau kwamba ipo Vita ya uchumi inayo endelea kati ya Russia Vs US na Europe.In this war Russia has won without any doubt.I must say at this juncture,Viva Russia.

Urusi ina strengths zake nyingi millitarily in terms of millitary hardware,Cyberwarfare and Space weapons Urusi kwa sasa ina uwezo wa ku-disable satilites zote za US.This means that Russia can disable the US GPS system,ikiwa na maana kwamba Urusi ina uwezo wa kufanya vifaa vyote vya Vita vya Marekani vinavyotumia GPS kuwa disfunctional,ambavyo ni vingi,which is an exceedingly huge advantage.

2.Urusi kuipiga kwanza Kiev na kuondoka,ilikuwa war strategy,sio kushindwa vita.Zipo command sites nyingi Kiev ambazo ilikuwa lazima kuzi-disable kwanza,ili waweze kuishambulia East Ukraine bila bughdha,yaani Luhansk na Donetsk.Naomba ukumbuke kwamba Ukraine haikuwa na Jeshi dogo.NATO iliwa-equip sana na kuwa-train for 8 solid years ili liwe Kama proxy ya kuisambaratisha Urusi,kwa hiyo si Jeshi la kubeza hata kidogo.Infact it is said to be one of the strongest armies in Europe.Kwa nini Luhansk na Donetsk,kwa kuwa huku ndiko Ukraine ilikokuwa ime-concentrate majeshi yao na ndiko ambako ethnic Russians wako concentrated.

Nataka pia ujue kwamba Central na Western Ukraine hakuna vipingamizi vyovyote vya maana kijeshi,wakishanikiwa kuiteka East Ukraine,Central na Western Ukraine ni kutembea tu.


Those are the important points I thought I should straighten up,otherwise the majority of your points are sound and straight.I must however admit that because of time constraint I have not thoroughly well gone through your comment.Those two points are the ones I have been able to gather quickly.
Kuna sehemu nadhani hujanielewa nimesema nini, Mimi nimeandika kuwa kuna watu wanasema kuwa sababu ya kuchelewa kuiteka Ukraine yote ni sababu Russia ina jeshi dhaifu Ila wanaomsema hivi asilimia kubwa ni pro NATO

Pia walisema kuwa Russia kashindwa kuchukua Kyiv ni pro NATO

Ukiangalia na ukisoma Kwa umakini utajua andiko langu lililenga kupinga watu wenye mtazamo huo, mkuu rudia tena kusoma
 
Yeah, nimeona Al Jazeera Pia.

1. Nordsteam 1 pipeline will be halt until sanctions lifted.

2. OPEC Members wamekubaliana kupunguza oil output, wata review tena October.

3. Gas price imepanda 400 times Y - to - Y
Putin's having them by the balls
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi ni silaha zilotengenezwa na viwanda vya Israeli ambazo zilinunuliwa na nchi zingine za NATO na kuhifadhiwa kwenye maghala yao.

Hivyo si kwamba Israeli wenyewe wanapeleka silaha.

Hata hivyo FYI Israeli kupitia watengenezaji wake wa silaha waitwao Rafael Air Advanced System wana viwanda amabvyo vipo katika nchi mbalimbali za Ulaya.

Pale Ujerumani pana kiwanda cha waisraeli kilichopo sehemu iitwayo Burbach.
Licence production na kufungua production plant inafanyika kwa faida ya kampuni, sio kwa faida ya mteja. Mfano India ikitoa tenda ya silaha inapenda sana kuweka kigezo cha Make in India, jeshi halipendelei ila serikali ndiyo inataka hivyo unakuta bidders wanatoa offer ya kufungua plant na kushirikiana na makampuni ya India kama TATA kutengeneza baadhi ya components. Na pia kuna technology transfer.
Kampuni isiyofanya hivyo hakuna anayeilazimisha ila itakosa tenda mwishowe inaamua yenyewe.

Rafael Defence System au hata IAI, Elbit Systems, etc wanalazimika wafungue plants kwingine kupunguza production cost na attracting bids. Wanazo silaha wanatengeneza kwa ajili ya wateja wa nje tu na hatuwezi sema eti Israel ndio imezipeleka zikianza kutumika. Kama zipo tusaidiane uzitaje.

Hata BAE Systems ya UK imepewa tenda na US Marines kutengeneza amphibious vehicles. Ikiamua kutengenezea plant za Marekani ni sawa
 
Kuna watu wengi walikuwa wqnajiuliza kuhusu uwezo wa urusi na kutumia muda mrefu na Kwa gharama kubwa kuiendesha hii operation, kuna watu walisema kuwa operation hii imechukua muda sababu ni



1) Ni kutokana na ukubwa na uimara wa jeshi la Ukraine



2) Ni uwezo mdogo wa urusi kijeshi



3) Ni Kwa kuwa urusi anajali Sana raia Kwa hiyo hataki kuua watu wasio na hatia, ndiyo maana anaenda taratibu Kwa uhakika ili kupunguza madhara ya kivita



Lakini kwangu Mimi naweza nikachukua namba tatu, lakini Siyo Kwa uzito huo,

Sababu ninayoiona Mimi hii operation inaenda taratibu Kwa mkakati maalumu kutoka Moscow, kitendo cha operation hii kwenda taratibu ni Kwa sababu hii



Wakati Vita inaanza mrusi alikuwa mkali na aliwapiga bit nchi zote za ulaya kuwa wasijaribu kuingilia ugomvi huo na atakaye jaribu atakiona cha Moto, na katika kipindi hiki ndicho urusi ilikuwa inatishia kutumia nukes, na KOSA KUBWA ambalo EU,NATO na USA walifanya ni kuogopa na kukaa pembeni Kwanza wakimsoma mrusi, katika kipindi wanamsoma mrusi ndipo west wakaanza Kwa kujaribu kupeleka silaha Ukraine na walipolleka silaha urusi akaonyesha kama kazidiwa na kurudi nyuma na kuachana na Kyiv, kitendo hiki kiliwatia moyo Sana Ukraine, NATO na USA Kwa kudhania kumbe wanaweza kuimaliza urusi,
Ndipo USA na NATO pamoja na EU wakaungana Kwa kupeleka silaha nyingi Ukraine ili waweze kummaliza moja Kwa moja urusi, na ikiwezekana wakomboe Crimea huku wakiweka vikwazo vingi zaidi Kwa urusi ili ashindwe kuiendesha operation yake yake, unajua baada ya urusi kugundua kuwa west wameshanasa akifanya nini? 😄😄😄😄😄 Ndipo Putin alikwenda China na taarifa zikavuja kuwa urusi imeishiwa silaha na chakula, hapa west wakavimba kichwa wakiona Zama za urusi zinaenda kuisha,

Baada ya west kupeleka silaha nyingi na za kisasa ndiyo muda mzuri mrusi alikuwa ameua ndege wawili Kwa jiwe moja

1) Kwanza alipata kujua technology iliyotumika kwenye kutengeneza silaha zile akaangalia udhaifu wake na pia aliangalia ni Kwa jinsi gani anaweza kuzidhibiti zisilete madhara makubwa

2) Kupitia hili nchi kama Poland ilisafisha ghala lake la silaha lote na kupeleka Ukraine, Kwa namna moja ama nyingine mrusi alisababisha nchi nyingi za ulaya zipunguze hifadhi zao za silaha Kwa kutegemea Ukraine atashinda Vita

Kitu ambacho hawakuamini ni pale mrusi alipoziangamiza zote na nchi nyingi zimejikuta zimeishiwa silaha mpaka zinaomba msaada

Sasa mrusi baada ya kuona jamaa wamekiuka makubaliano akaja na mtego mpya

1) akaweka vikwazo Kwa nchi za EU kuwa wakitaka gas wanunue Kwa rubo, ulaya walivyo vilaza wakaingia kichwa kichwa kwenye mtego wakagoma kulipia gas Kwa rubo mrusi akakata gas, nchi nyingi ulaya wakajikuta wanatumia gas Yao ya akiba Kwa kuwa hawataki kulipia Kwa rubo lakini baada ya siku chache Ile gas ya akiba ikaisha wakakubali kulipia Kwa rubo lakini tayari wameingiza damage kwenye hifadhi ya gas, na mrusi Kwa kujua west wamemaliza gas Yao ya akiba, akaja na mtego wa pili akapunguza kiwango cha kupeleka gas ulaya hii ikasababisha gas wanayoipata ni Ile itakayowawezesha kuishi sasa hivi tu hakuna gas ya akiba

2) baada ya kuona tayari vile zile nchi ndogo ndogo zimenasa akaanza kudeal na nchi kubwa kama ujerumani ambayo ina hifadhi kubwa,
Akafunga bomba la kupeleka gas ujerumani Kwa kisingizio kuwa pangaboi lilipo Canada ndilo linahitajika ili kuweza kufungwa ili gas iende ujerumani, yakaingia mabishano Kati yao wenyewe west na kipindi hicho chote ujerumani alikuwa anatumia gas yake ya akiba mpaka wanakuja kupata muafaka na kufunga bomba mjerumani kashatia damage kwenye hifadhi yake ya gas, kibaya zaidi mrusi akaja na tangazo la kupunguza kiwango cha kupeleka gas ujerumani kutoka 100% hadi 60%, hii maana yake ujerumani atumie hiyo gas bila kuweka nyingine akiba ,
Baada ya kufanikiwa hilo mrusi kaja na njia mpya kila mwezi anafunga bomba Kwa ajili ya matengenezo kipindi hicho nchi za EU zinalazimika kutumi gas ya akiba, lengo kuu la urusi ni kuhakikisha ulaya nzima kipindi cha baridi hakuna nchi yenye akiba ya gas

Sasa ulaya ndiyo wanagundua sasa lengo la mrusi ndiyo maana zimezuka hoja za kuwasha vinu vya nuclear vilivyopo ulaya ili kupata nishati, kibaya zaidi hii mitambo ya nuclear imekaa muda mrefu bila kufanya kazi kwahiyo wanahitajika wataalamu ili kuweza kufufua hiyo mitambo kibaya zaidi hao wataalamu wanapatikana urusi,
Kitu kingine hiyo mitambo inahitaji kufungwa vipuri vipya, ambapo hivyo vipuri vinapatikana Russia
Pia wanahofu kutokana na mitambo hiyo kukataa Kwa muda mrefu bila kutumika kuna uwezekano wa baadhi ya maeneo kuwa yameliwa na kutu na ikatoka mionzi ikavuja,
Kitu kingine ni kuwa hata wakiwasha hiyo mitambo ili upate umeme unaohitaji itabidi wasubiri kama mwaka mmoja, kitu ambacho matatizo waliyokuwa nayo ulaya hayawapi nafasi ya kusubiri Kwa muda huo

Sasa faida ambayo mrusi kapata baada ya hii operation kuchelewa ni

1) kujua ulaya Wana silaha gani na zinauwezo gani, na wamejua ni namna gani wanaweza kuzizuia ili zisilete madhara makubwa

2) kupunguza hifadhi kubwa za silaha zilizopo kwenye mataifa ya ulaya

3) kupunguza uwezo wa NATO na EU kwenye nishati hii inasaidia mpaka sasa kuwa hawana uwezo wa kuzalisha silaha nyingi Kwa wakati mmoja kutokana na upungufu wa nishati WA kuendeshea viwanda vyao vya silaha

4) kupitia vikwazo ambavyo ulaya wamaiwekea urusi nchi nyingi za ulaya zimeyumba kiuchumi na hivyo kupunguza uwezo wao wa kuendesha Vita ya muda mrefu na mrusi

5) mpaka sasa hivi mmarekani kajua wazi kitendo Chao cha kusubiria kumsoma Putin anawaza nini juu ya Ukraine lilikuwa kosa kubwa maana kama sasa hivi vikitokea Vita basi MTU pekee atakayewajibika ni USA Kwa kuwa ameshajua EU na NATO wamekwisha choka yaani hawana uwezo wa kupigana Vita na taifa kubwa kama urusi, Kwa hiyo akiingia Ukraine yeye ndiye atakayeandamwa na akipigwa yeye maana yake ulaya nzima imeanguka

Kiufupi mpaka sasa mrusi yupo kwenye nafasi nzuri ya kupigana Vita hasa muda huu ambao baridi linaanza ulaya, naona kila dalili ulaya ikisambaratika bila urusi kuingia vitani, na ikisambaratika ulaya na marekani inatafata maana bidhaa za marekani zitapigwa ban nchi za Asia na kusababisha marekani akose soko la kuuza bidhaa, na kutokana na hali ya uchumi wananchi watafunga mikanda na hapo ndipo anguko la marekani lilipo
Safi kabisa uchambuzi mzuri 👍
 
Asante kunitag. Kachambua vizuri na it makes sense mfano suala la gesi nakubaliana nae ila kusema kwamba Ulaya itaishiwa ghala la silaha kisa kuisaidia Ukraine nalikataa hilo. Wala kusema Marekani itawekewa vikwazo na Asian countries baada ya Ulaya kuanguka kisa gesi ya Urusi kukatwa nakataa vilevile. Kwani Russia ikiipiga Ukraine ikaitwaa kisha ikakata gesi kwa Ulaya inapungukiwa nini, mbona unahangaika hadi sasa mpaka Ukraine imeanzisha counter offensive. Bado naona udhaifu wa jeshi lao.

Silaha zinazopelekwa Ukraine nyingi ni versions za zamani. HIMARS zilianza za zamani ila wakaongeza GMRS za kisasa, Gepard za Ufaransa zilishaacha kutumika uko kwao, Bushmaster IFV za Australia zilitumika vita ya Iraq na Waingereza walishaunda nyingine za uwezo mkubwa. AGM-88 zinazoua S-300 zote ni old version. Poland ambayo imekomba vifaru na kupeleka Ukraine ni kwamba imevichoka, ilikuwa na mpango wa kuvitunza kwenye ghala ichukue vingine. Kuna silaha nyingi za NATO wao wamezichoka ila Ukraine inazihitaji. Italy ina Leopard 1 MBT zilizoundwa na Oto Melara kwa leseni, ziko outdated kwa level zao. Canada ina Leopard 1 MBT vilevile na ziko modified ila hawazitaki tena. Hizi silaha zikikutana na silaha za Mrusi zinaonyesha uwezo. NATO mara nyingine wanatoa silaha nyingi kwa mfumo wa phasing out ili wapate mpya. Poland ilitaka itoe Mig-29 zote kwa Ukraine, bado hawajazitoa ila hawazitumii. Kuwaza eti kuna nchi ni wajinga watatoa silaha zote waishiwe ni sawa na Kusema USAID itagawa hela zote za Marekani mpaka Federal Reserve iishiwe.

Na pia NATO unabadili mifumo kabla ya kutuma hizo silaha. Ujerumani ilitumia muda mwingi kabla haijatoa Pz2000 howitzer kutengeneza software mpya na kuijaribu, tena ilikuwa na kasoro maana walikurupushwa. Italy ilitoa mine resistant vehicles ikazitoa mfumo wa mawasiliano wa NATO. Ukikamata zana na injini zake kapambane ukeshe ujaribu bahati yako, jambo la muhimu huwa ni blueprints na ndizo China hucheza nazo.

Tatizo la humu mtu ukiweka uchambuzi ujipange kujadili 80% matusi na 20% content jambo ambalo nowadays siko tiyari nalo. Matusi najua sana ila muda sasa ndio nakosa. Na uzi unajazwa porojo ndio maana ni kama naupotezea kiasi, nadhani itabidi tuje kuongeza ufahamu sio kupimana uwezo wa kutukana
Kwa kama umesahau subiri tukukumbushe

1) marekani soko lake la bidhaa Kwa asilimia kubwa ni ulaya, sasa kutokana vikwazo pamoja na kukosa nishati viwanda vya ulaya vinaenda kufungwa, kinachofata ni raia kukosa kazi na umasikini, uchumi wa ulaya utaanguka maana yake nchi za ulaya hazitaweza kununua bidhaa za marekani, kutokana na umasikini
Sasa kufatia bidhaa za marekani kukosa soko litasababisha viwanda kufungwa au kupunguza uzalishaji kutokana na bidhaa wanazozalisha hazina wanunuzi, hii itasababisha kupunguza wafanyakazi, wafanyakazi wakianza kupunguzwa ndiyo mwanzo wa raia wa marekani kupunguza matumizi ambapo ndipo uchumi wa marekani ulipo

Kwa hiyo hii itapelekea demand ya dolla kupungua, kitendo kitakachosababisha dolla kuanza kushuka thamani wakati pesa yuan na rubo zikichukua nafasi kutokana na ndiyo sehemu ambayo nchi nyingi duniani wanategemea kupata bidhaa kutoka Asia

Ila haya yote yanaweza yasitokee kama ulaya itatii matakwa ya urusi na kumalizika Kwa Vita ya Ukraine,
Au waanzishe Vita na urusi na washinde Ila kinyume na hapo ulaya inaenda kuwa masikini
 
Back
Top Bottom