Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 6, 2022)

Part 2 (read Part 1)

⚠️ Kiev regime continues its provocations at Zaporozhye power plant aimed at creating a possible technological disaster.

◽️ 15 artillery attacks launched at the city of Energodar and Zaporozhye power plant by AFU have been recorded over the past 24 hours.

📊 Ukrainian artillery has launched a total of 20 projectiles, including 3 of them at the nuclear power plant. One of the projectiles has impacted the roof of the special building №1, the second has impacted the area between the special building №1 and the second power generator, the third has exploded near the tankers designed for storaging distilled water near the power plant №2.

💥 The fire was being conducted from Ukrainian positions deployed near Marganets (Dnepropetrovsk region). AFU units have been neutralised by a counter-attack launched by Russian artillery.

◽️ The radiation environment at the Zaporozhye nuclear power plant remains normal.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 


This is what they have been doing all along, sisi ambao usanii huu wa jeshi la Zelensky tulisha ushitukia kwa muda mrefu, tulijaribu sana kuwatahadhalisha JM members lakini wengi wao hawakutuelewa hata kidogo, waliendelea kuamini picha na video za kughushi zinazo tolewa na jeshi/utawala wa Zelensky zenye lengo la kuwalaghai watu ili waendelee kupewa misaada ya kijeshi na fedha kutoka magharibi wakijifanya wana uwezo na hari kubwa ya kuwashinda Warusi, kumbe...
 
Yaani Israel watumie nguvu dhidi ya Urusi [emoji1787]. NATO na US wanahofia direct confrontation dhidi ya urusi alaf hapa israel ndio awe haofii wala hana haja ya kubembeleza ikibidi atumie ubabe!? Mkuu Unaichukulia Russia poa sana hadi sio poa

Ndege za Israel kuruka kwenye anga la Syria licha ya kuwa kuna air defences za urusi haimaanishi kwamba Hizo ndege ni bora sana au mifumo ya ulinzi wa anga ya urusi ni mibovu. Of course inaweza kuwa hivyo lkn pia inaweza kuwa ni makubaliano baina ya Israel na Urusi.

Logically speaking kama kweli ndegevita za Israel ni bora kiasi cha kutamba kwenye anga linalolindwa na mifumo ya urusi mbona hao hao Israel wanahangaika na kulalama mifumo hiyohiyo (mibovu) isiuzwe kwa mahasimu wao Tehran!?

Mfano Shambulio la December 28 kwenye bandari ya latakia lilikuwa umbali mchache tu kutoka base kubwa kabsa ya urusi hapo syria lkn cha ajabu sio tu kwamba s400 ilishindwa kuintercept bali hata haikuwa activated kbs. Alaf sasa wakati huo huo Israel wanafanya shambulio lao ndege ya urusi ya kijeshi ilikuwa inashuka kwenye base hiyo iliyoko mile chache tu kutoka latakia hivyo pia mifumo ya syria nayo haikuwa activated. Kumbuka Muda mchache kbl ya shambulio hilo la Israel waziri mkuu wa Israel na Putin waliwasiliana kwa njia ya simu

Bado haijakuwa wazi kbs kwa baadhi ya wachambuzi wa mambo haya kwamba ni kwa nini hasa urusi anaiacha Israel ishambulie kupitia anga syria licha ya kuwa hao ni allies wake. Zilizopo ni speculations tu ambazo hazikupi sababu yenye mashiko lkn inaaminika kuna kitu nyuma ya pazia.
Tusiongee sana, hasara ya Russia kutokubaliana na Israel ndani ya Syria ni hii. Na Israel hana muda wa kuhangaika na wewe kama hamna makubaliano sanasana they will express "sorrow" ambayo haibadili kilichotokea
IMG_20220906_161850.jpg

Na kama Russia inataka air defence systems zake zidharauliwe afanye engagement kwa IDF jets flying over Syria. Sera ya usalama ya Israel huwa haibadiliki
 
🇷🇺
"The guys built everything in three months, in three months!". This is the reaction of a resident of Mariupol to the construction of a new hospital in his hometown. The complex is equipped with modern medical equipment. Russian military engineers were engaged in its construction. "Here you learn, not to launder money, but to build!" the man concludes.
 
Wazee wa kudownload pesa


British Prime Minister Liz Truss intends to print 130 billion pounds and send them to pay electricity bills.
She believes that this will help solve the problem of a sharp increase in electricity and gas prices for ordinary consumers, according to Bloomberg.
 
Ulaya hawawezi kureplace gesi ya urusi kwa namna yeyote ile. Wataongea tu lkn mwishowe watarudi kununua.

Geopolitics is more chess than checkers.

EUROPE ECONOMY

Europe's plans to replace Russian gas are deemed 'wildly optimistic' — and could hammer its economy

Hii ni kutoka cnbc

Kataa gesi ya urusi ukanunue ya senegal kwa bei maradufu ya ile ya urusi alafu urusi auze ya kwake china kwa bei ya kutupa. Alaf wewe na china mtumie gesi kuzalisha bidhaa alafu tukutane sokoni [emoji1787]
Then hiyo gesi ya Nord Stream 1 itafikaje China? Unataka China anunue gesi zaidi ya mahitaji yake kisa inauzwa bei ya kutupwa na hilo haliwezekani, sasa Russia akate gesi ya Ujerumani ambayo ni 19% ya mauzo yake ya gesi kabla ya vita, akate gesi kwa Ulaya nzima ainywe hiyo gesi tuone uchumi wake utabebwa na biashara gani. Kwanza hakuna pipelines za kupeleka LNG China kwahiyo ni vigumu Russia afidie gesi ya Ulaya, hapo kumbuka anahatarisha 40% ya market na inayohusika ni kwa discount
IMG_20220906_162934.jpg

China anunue gesi kwa bei nafuu azalishe cheap alafu akose wateja maana si ushasema Ulaya watafirisika, bidhaa atamuuzia nani au sisi hapa tunaonunua mifagio na chupi?
Marekani pekee inanunua zaidi ya 15% ya exports za China, Taiwan inanunua over 10% ya exports na ndio hawa China inataka ipigane nao, Ulaya wengine wanachangia mno uchumi wa China kwahiyo net gain hakuna hapo.

Hatua hiyo ikifika sisi LDCs tutakula mawe
 
This is what they have been doing all along, sisi ambao usanii huu wa jeshi la Zelensky tulisha ushitukia kwa muda mrefu, tulijaribu sana kuwatahadhalisha JM members lakini wengi wao hawakutuelewa hata kidogo, waliendelea kuamini picha na video za kughushi zinazo tolewa na jeshi/utawala wa Zelensky zenye lengo la kuwalaghai watu ili waendelee kupewa misaada ya kijeshi na fedha kutoka magharibi wakijifanya wana uwezo na hari kubwa ya kuwashinda Warusi, kumbe...
Huu mchezo mbona hata huyo Russia anaufanya Sana kama Ile ya kuharibu Himars 44 wakati Ukraine wanazo 20 tu. Russia anataja kuharibu vifaa vya Ukraine ambavyo wakati mwingine ni mara mbili au zaidi ya idadi ambayo Ukraine inayo. Alisemaga kaharibu Bayraktar zaidi ya Mia wakati huo Ukraine alikua nazo kama 50 tu mpaka watengenezaji wa drone wakasema bado hawajaship idadi hiyo ya drone Kwa Ukraine
Screenshot_2022-09-06-11-06-39-803_com.facebook.lite.jpg
 
Back
Top Bottom