King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Punguza mahaba,Kuna mda hua unaongea facts but sorry hiki unachosema Ni pumba. Hilo taifa la wayahudi feki ni sisimizi kwa urusi,nimeanza kufuatilia mgogoro vita vya Syria tokea 2011 mpaka mrusi alipoingia katika vita hivyo.Tusiongee sana, hasara ya Russia kutokubaliana na Israel ndani ya Syria ni hii. Na Israel hana muda wa kuhangaika na wewe kama hamna makubaliano sanasana they will express "sorrow" ambayo haibadili kilichotokeaView attachment 2347762
Na kama Russia inataka air defence systems zake zidharauliwe afanye engagement kwa IDF jets flying over Syria. Sera ya usalama ya Israel huwa haibadiliki