Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fb6djA6XkAIznJ6.jpg
 
It is reported that our troops have either entered or have already taken the village of Shestakovo. This is the Kharkov-Stary Saltov road. If confirmed, this is quite a serious progress to the north-east of Kharkov. Earlier it was reported about the successful advance of our troops at Bayrak and Peremoga.
 
Hii video wamerecord warusi wenyewe hii ni ambushi wanapelekewa moto wanakimbia kujificha na kulia kwa makamanda wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Counter offensive ni hatari hii leo vijiji vingine vimekombolewa huko Kherson tazama video

 
Tusiongee sana, hasara ya Russia kutokubaliana na Israel ndani ya Syria ni hii. Na Israel hana muda wa kuhangaika na wewe kama hamna makubaliano sanasana they will express "sorrow" ambayo haibadili kilichotokeaView attachment 2347762
Na kama Russia inataka air defence systems zake zidharauliwe afanye engagement kwa IDF jets flying over Syria. Sera ya usalama ya Israel huwa haibadiliki
Lqbda haujui incident ya hii kitu ilikuwaje. Kilichotokea hapo ni kwamba ndege za israel zilienda kushambulia syria wakati hiyo ndege ya reconnaissance ya urusi inatua. Air defences za syria zikaanza kushambulia ndege za israel ila waisrael wakachelewa kuwaonya warusi kwamba air defences za syria zinafanya mashambulizi ya anga hivyo waitoe ndege yao inaweza kutunguliwa.

Kimsingi sio israel tu wamelaumiwa na urusi hata syria wenyew ekwenye hiyo statement kwa kushindwa kuhakikisha hakukuwa na ndege yeyote ya urusi kbl hawajaactivate air defences zao.


Hiyo haiprove chochote ubabe wa ndegevita za israel dhidi ya s 400. Kabla israel hajafanya lolot4 pale syria ni lzm pm awasiliane na simu kwanza na putin kupata greenlight

Maswali ya maana huwa unayaskip. Ikiwa ndegevita za Israel ni bora sana dhidi ya airdefences za urusi kwa nini israel wanalalamika hasimu wao iran asiuziwe airdefences hizo na urusi!?
 
Estonia asks the EU to make an exception to anti-Russian sanctions. About 12,000 tons of explosive ammonium nitrate belonging to a Russian chemical company are "stuck" in an Estonian port. Respecting EU sanctions, Estonia cannot allow its shipment, which puts its port and its people at great risk. "The European Union allows you to request an exception if it is necessary to... prevent situations that are dangerous to the environment or to the life and health of people," writes ERR. That is, not exposing Estonians to danger is possible only with the permission of the EU.
 
Wazee wa kudownload pesa


British Prime Minister Liz Truss intends to print 130 billion pounds and send them to pay electricity bills.
She believes that this will help solve the problem of a sharp increase in electricity and gas prices for ordinary consumers, according to Bloomberg.

Russia kawaumbua sana uchumi wao ni wa makaratasi
 
Tusiongee sana, hasara ya Russia kutokubaliana na Israel ndani ya Syria ni hii. Na Israel hana muda wa kuhangaika na wewe kama hamna makubaliano sanasana they will express "sorrow" ambayo haibadili kilichotokeaView attachment 2347762
Na kama Russia inataka air defence systems zake zidharauliwe afanye engagement kwa IDF jets flying over Syria. Sera ya usalama ya Israel huwa haibadiliki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] duhhh Israel uyu uyu anayeomba kibali kwa Russia akitaka kupitisha ndege zake syria mmesahau ilikuwa kila mwezi netanyau anaenda moscow
 
Kuna watu walilalamika Sana kuwa China ni muoga kashindwa kufanya chochote wakati wa ziara ya pelosi Taiwa,

Ila Kwa ninachokiona sasa kuwa China hakuogopa Ila ulikuwa ni mkakati maalumu wa Putin na Rais wa China

China walitengeneza mazingira Kama wanataka kuivamia Taiwan kijeshi na kuichukua, kitu ambacho marekani akaingia kwenye mtego wa China,
Marekani aliifanyia dharau kubwa Sana China mbele ya macho ya dunia na dunia nzima wanajua kuwa marekani ameifanyia nini uchina

Sasa Kwa hali inavyokwenda naanza kuona picha halisi ya hili tukio, kitendo cha Russia kusema anafunga bomba la gas hadi vikwazo viondolewe ndiyo mwanzo wa picha,
Najua Kwa jinsi walivyo vichwa ngumu west watakomaa kuliko Kula matapishi Yao, kitakacho fata ni wao kutafuta nishati mbadala Kwa kadri ya mahitaji ya nchi zao,
Ila watapata gas Ila tatizo litakuja kwenye gharama itakuwa bei juu kuliko Ile ya urusi
Kipindi hicho urusi inampa uchina gas bei ya chini sasa litakuja suala la kwenye bidhaa,
China na west watazalisha bidhaa zenye quality Sawa Ila kutokana na gharama za uzalishaji ulaya kuwa kubwa kuliko uchina wanapata gas ya bei ya chini na hata labour charge zake ziko chini maana yake China itazalisha bidhaa Bora kabisa kama ulaya Ila bei Yao itakuwa chini
Ukichukulia na mfumuko wa bei, kuyumba Kwa uchumi na ukosefu wa Ajira watu wengi watakumbilia bidhaa za China Kwenye unafuu wa bei, hapa ndipo lile jinamizi ambalo marekani alilokuwa analihisi kuhusu China ataliona live, maana ulaya na USA inaenda kuanguka kiuchumi

Kwenye millitary tunajua mchina hamuwezi mmarekani na pia tumeshasikia mmarekani akisema hataki Vita na urusi maana anajua hamuwezi, sasa kuna Vita nyingine inakuja marekani na uchina Nani mbabe Nani mbabe kwenye uchumi?????

Kumbuka kuna collabo la urusi,China,Irani,Korea na OPEC, huu muungano ni hatari zaidi ya hatari yenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ninachofanya Mimi naomba uzima tu ili nione watu wanakula matapishi Yao
 
Dah,thankyou for your reaction,umejaribu,ila there is more to it than what you have put across.Kabla sija highlight sababu za msingi hasa,naomba utambue kwamba tatizo hili limekumba binadamu wote,hasa wale ambao kwa kupenda wao wenyewe au kwa sababu ya mazingira yanayowa-zunguuka,wameshindwa kujua kimsingi mambo maovu yaliyopangwa kuwadhuru Wanadamu kwa makusudi,na hivyo kuweza kuya-epuka.

Naomba ikumbukwe kwamba mipango miovu ya kumdhuru mwanadamu haijaanza leo,imeanza baada tu ya kuporomoshwa mnara wa Babeli Wanadamu waliokuwa wanaujenga,eti ili wamfikie Mungu na Mungu mwenyewe.

Hata hivyo jinsi miaka ilivyozidi kuongezeka,mipango hiyo imekuwa mingi zaidi,mikali,
miovu na isiyokuwa na huruma kwa Binadamu kabisa,nia kubwa ikiwa ni kumtesa mwanadamu,kumtenganisha na Mungu wake na hatimaye kumuua!Hii inaonekana wazi kwa kuongezeka uovu;kumdhuru mwanadamu kwa mbinu mbali mbali za siri ambazo ni nyingi,ili atokane na uasili wake,na hatimaye asiwe na mawasiano na Mungu kabisa.Mbinu hizi naweza kuziita Mind Control Methods.Chanjo zinachukua nafasi kubwa sana katika uovu huu,pamoja na medications,what is called Planned Parenthood,Air Pollution,Paints,Plastics,Simu,etc.etc.The list is long.Haya ndiyo hasa yanayo-sababisha dumbness and even Dimentia kwa watu,sio vijana tu.
Naomba niseme pia kwamba mbinu hizo ndizo zilizoleta magonjwa yasiyotibika.

Pamoja na kuwadhuru Wanadamu kwa mbinu nilizo-taja hapo juu,naomba pia uniruhusu niseme yafuatayo.Inaonekana wazi kwamba majanga yakiwemo ya mioto mikubwa kila mahali Duniani inayoharibu mali za watu na kuleta vifo,hasa Ulaya na Marekani;mafuriko;joto kupanda duniani hasa Ulaya mwaka huu,India na Marekani na hatimaye kusababisha,ukame na njaa duniani kote;ukosefu wa mvua au mvua kunyesha bila mpangilio, vimbunga na Volcanoes yameongezeka sana.Haya pia ni matukio ya makusudi yenye nia ya kumdhuru mwanadamu na hatimaye kumfisha.

Niseme pia kwamba magonjwa yanayotibika yameongezwa nguvu na Wanadamu kwa kuwafanya wadudu hao,bacteria na virusi kuwa wakali zaidi kwa kutumia technolojia(Enhanced Fusogenicity &Pathogenicity),na nia ikiwa ni moja tu, kuwadhuru Wanadamu.Hii ni mipango miovu kabisa.Wanadamu badala ya kutumia Science kwa maendelea ya Wanadamu wanazotumia kuua Wanadamu,ni uovu uliopindukia kabisa.Mbu,Bacteria na Virusi wamefanyiwa utundu huu sana!Mbu wasio na majira,Fallworms,Covid-19 na UTI vimetokana na utundu huu,na sio bahati mbaya,it is intentional.
Leo umefunguka Vizuri sana
 
Sources report a massive counter-offensive of the Ukrainian army on Balakliya and the strongest losses of the Armed Forces of Ukraine in history. Artoy and aviation of the Russian Federation literally mows down entire units of the Ukrainian troops. The number of dead and wounded of the Armed Forces of Ukraine is literally in the thousands. Apparently, we are expecting another failed counteroffensive of Ukraine, by analogy with the Kherson direction.
 
Back
Top Bottom