Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220906-204350.jpg

MOSCOW — Russian President Vladimir Putin on Tuesday attended sweeping war games in his country’s far east involving troops from China and other nations, in a show of military muscle amid the tensions with the West over Moscow’s action in Ukraine.

The weeklong exercise that began Thursday is intended to showcase growing defense ties between Russia and China and also demonstrate that Moscow has enough troops and equipment for the massive drills even while its forces are engaged in fighting in Ukraine.

The Russian Defense Ministry said that the Vostok 2022 (East 2022) exercise that runs until…

Continue Reading

News Source: Putin attends joint military drills with China, others
 
Naomba Ni comment hapo ulipoandika "Hakuna pipeline ya kupeleka gas China"

Mwanzoni nilidhani wewe ni mtu ni msomaji na mtu wa kufuatilia vitu. Kumbe nilikuwa najidanganya.

Nilichogundua wewe Mara nyingi unaandika hapa Kama "opinion" na Wala sio kwamba Kuna reference unafanyaga.

Naomba leo nikujuze kwamba kuna pipeline inaitwa "Power of Siberia I" hii pipe inapeleka gas China

Power of Siberia I

This is a Gazprom - operated pipeline in Eastern Siberia that transports natural gas from Yakutia to Primorsky Krai and China. It is a part of the eastern gas route from Siberia to China. Hii project imeanza kupeleka Gas huko China since 2019.

Pia kuna Power of Siberia II

Hii pipeline inatarajiwa kuanza kujengwa early 2024. Hii pipeline itapitia Mongolia. Dhumuni la hii pipeline ni divert Europe bound gas to China.

Sasa nakushangaa Sana unapokuwa unapotosha hapa. Next time jitahidi uwe unatumia kidogo akili.
Makosa madogo hayo, huwezi kuwa accurate 100% tangu vita ianze 24th of February especially ukiwa unatafutwa na kamati nzima inasubiri ukosee neno moja. Nachojua kuna ujenzi wa bomba kubwa sana ila sikujua kama kuna bomba lishakamilika.

Kama Power of Siberia 1 inatumika tangu 2019, hii gesi inayopitia Nord Stream 1 kwenda Ulaya ikizuiliwa kwenda itaendaje China? Kwamba pipeline itazidishiwa uwezo wake, na hiyo China itanunua gesi tu iitumie kuogelea ama namna gani. Kama China ilikuwa satisfied na gas iliyokuwa inapata, ongezeko lake la demand kufidia gesi ilitakiwa kwenda Ulaya litatoka wapi.
 
T14 Armata

Naomba nijulishe kuhusu another Far East Gas Pipeline ambayo ina supply gas to Japan and other Eastern Asia Countries.

Hii pipeline inaitwa Sakhalin–Khabarovsk–Vladivostok pipeline na imeanza kupeleka gas since 2011 and the pipeline is owned and operated by Gazprom.

This is a pipeline for natural gas in Russia, transporting Sakhalin's gas to the most populated and industrialized regions of the Russian Far East (Khabarovsk Krai and Primorsky Krai). It is also projected to become a part of an international export route, carrying Russian gas to East Asian countries, such as the People's Republic of China, South Korea and Japan.

Next time jitahidi kuwa una soma - soma ili kuwa update na habari za dunia.
Screenshot_20220906-204748.jpg
 
Tazama drone operators walivyofast kuzirusha kutambua enemy yuko wapi na kumlipua zina saidia sana kuliko kwenda kichwa kichwa

Kama kawaida,hatuchoki kukumbusha kipigo anachopokea super pawer wa mchongo huko field [emoji91][emoji91][emoji91]
 
M

Mgogoro wa Syria hauna uhusiano na Israel kama Iran asingeingia. Siku Iran anaondoka Syria na akaacha kupitisha silaha kwenda kwa Hezbollah ndio siku Israel itaacha kuhangaika na Syria
Mkuu are you serious kweli hivi unafatiaga Vizuri migogoro na vita vya Mashariki ya Kati hivi hujui Kama Syria na Israel walishapigana na Syria anakinyongo nae sababu alinyanganywa mlima Sinai na israeli.

Kwa taarifa yako Rais wa Syria Ni mshia na Iran hawezi kuacha kumsapoti Assad Hilo halitakaa litokee. Iran pia kazungukwa na base kibao za kijeshi za US Ila yeye Wala Hana mda wa kulialia sababu nayeye anajitanua ili kulinda ndugu zake na usalama wake.
 
Mateka wengine hawa silaha wameishiwa wamekuwa wadogo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Makosa madogo hayo, huwezi kuwa accurate 100% tangu vita ianze 24th of February especially ukiwa unatafutwa na kamati nzima unasubiri ukosee neno moja. Nachojua kuna ujenzi wa bomba kubwa sana ila sikujua kama kuna bomba lishakamilika.

Kama Power of Siberia 1 inatumika tangu 2019, hii gesi inayopitia Nord Stream 1 kwenda Ulaya ikizuiliwa kwenda itaendaje China? Kwamba pipeline itazidishiwa uwezo wake, na hiyo China itanunua gesi tu iitumie kuogelea ama namna gani. Kama China ilikuwa satisfied na gas iliyokuwa inapata, ongezeko lake la demand kufidia gesi ilitakiwa kwenda Ulaya litatoka wapi.

Sasa naanza kupata wasiwasi na wewe kwa namna unavyotengeneza arguments zako.

Wenzako wana design projects for next 50 to 100 years to come. Wewe unaleta akili za hand-to-mouth.

Russia na China wameshaona umuhimu wa kuongeza volume ya gas na ndio maana wamekuja na development ya Power of Siberia 2. Hizi project development zinafanyika based on economy development/projections.

Pia, kuna maisha baada ya Vita, je wewe nani kakuambia kwamba baada ya Vita Europe haitaitaji gas ya Russia?
 
Hawa walikuwa na uzi wao wa picha na video kule "jukwaa la Photo " Nilikwenda kule nikawa nawanyoosha kwa kuwapa ukweli. Walinitimua kwenye uzi huo kuwa wao hawataki uchambuzi wa ukweli wanataka picha na video za front line ya Ukraine. Bahati mbaya sana video na picha nyingi walizokuwa wanaweza kule zilikuwa zinakiuka maadili ya upashaji habari na utu pia nyingine zilikuwa za kubumba!

Hata hivyo, ni nadhani uzi huu unaweza kuwa unachafuliwa kwa makusudi kuzuia watu wengi wenye shauku ya kujua ukweli wa kinachoendelea kwenye operation demilitarization and denazification huko Ukraine. Pia kuna uwezekano wachafuaji wa uzi wanalengo la kuficha aibu ya upande Fulani wanaoutete kwenye Mgogoro huu.

TUJITEGEMEE umemaliza vyote MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mateka wengine hawa silaha wameishiwa wamekuwa wadogo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wazee wa article za kubumba kutoka kwenye telegram za warusi mpooo [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]
 
Majuzi Putin alidai ana siraha za kisasa kuliko mataifa ya Ulaya na USA na yuko Tayari kuzishare na friendly nations.

Mwezi haukuisha Urusi ikabainika kwamba inanunua Drones za kivita kutoka Iran.
Ghafla tena inasemekana iko kwenye mikakati ya kununua siraha kutoka North Korea.

hahahahahahahahaha

Kununua silaha sio kama wewe unavofikiria inamaana kubwa sana.
 
Sasa naanza kupata wasiwasi na wewe kwa namna unavyotengeneza arguments zako.

Wenzako wana design projects for next 50 to 100 years to come. Wewe unaleta akili za hand-to-mouth.

Russia na China wameshaona umuhimu wa kuongeza volume ya gas na ndio maana wamekuja na development ya Power of Siberia 2. Hizi project development zinafanyika based on economy development/projections.

Pia, kuna maisha baada ya Vita, je wewe nani kakuambia kwamba baada ya Vita Europe haitaitaji gas ya Russia?
Naona mkuu umembana vibaya kamanda Amata.
 
Hii vita ya sasa hakuna kujificha tunawafwatilia kila angle kwa drones na kuwalipua tazama video chini

Tunazidi kuwakumbusha urusi anavyopata kisago kikali huko front line [emoji2][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
 
Hii operation ni balaa tazama tunavyowalipua kama kuku ila drone zimabadilisha uhalisia wa vita maana tungekuwa tunalishwa articles za kubumba lakini drone inarecord kila kitu kipo live[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupe updates mkuu porojo za warusi wa bongo zisikupe shida

Kelele za chura hazizuii ngombe kunywa maji
 
Back
Top Bottom