Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo kubwa la EAC, SADC na AU ni pamoja na kuww umoja majina tu, huwezi kuwa na umoja imara kama kila mwanachama anajifanyia anachotaka. Hapo unakuwa na genge la wanywa kahawa tu.
Tunasoma habari za mapigano tu . HATUTAKI notes za F6
 
Nashindwa kuelewa incidence ya namna hii inaprove vipi kwamba israel ni babe kiasi cha kuitunishia misuli urusi licha ya syria tu bali popote pale duniani.
Israel sio kwamba ni mbabe wa yeyote dunia hii wala hatunishiani misuli na mtu. Yupo kwa ajili ya kulinda maslahi yake ambapo kama hamuwezi kubaliana kwa jambo basi mtashindana, watu hawawezi kufanya makubaliano kisha tuseme mmojawapo anaomba ruhusa.
Sielewi hiyo surveillance aircraft ya Russia ilishindwaje kuona air defence system zimekuwa activated wakati ni mojawapo ya kazi yake. Hata fighter jets tu zinakuwa na radar receivers kama hizo za Israel zilivyoweza tambua
 

Ukraine Tells Crimea Residents "Prepare Bomb Shelters / Get Food"​

WORLD NEWSDESK 06 SEPTEMBER 2022
The government of Ukraine is officially telling Russians in Crimea to prepare bomb shelters and stock up on supplies as Kyiv presses ahead with plans for a major counteroffensive to drive Russian troops out of what Kiev calls "Occupied Ukrainian territory."
Ukraine has, for weeks, been telling residents in its occupied south to be ready and to evacuate before it launches a counter-offensive. Still, Monday's warning was notable because it was addressed to residents of Crimea, which voted in a Referendum to return to Russia in 2014, after the European Union and United States fomented, incited, and financed the violent overthrow of Ukraine's President, Viktor Yanukovich.
Crimea had been part of Russia for at least 300 years before then-Soviet Communist Party Chairman Nikita Khrushchev, (a Ukrainian) GAVE Crimes to Ukraine. Crimea was part of Ukraine for only about 50 years, by Communist Party dictate; they voted to return home to Russia.
The European Union and United States flatly refused to recognize that referendum, claiming it was a rigged vote. They applied economic sanctions to Russia, but none of it made any difference; Crimea is now part of Russia by vote of the Crimean population, and laws enacted by the Russian Federation legislature.
The ongoing Special Military Operation by Russia, to de-militarize and De-Nazify Ukraine, has gone on for slightly over 6 months. Prior to the start of that operation, Ukraine had the largest standing army in all of Europe. That army had been trained by NATO for ten years, and in less than six months, the Russian Army has basically chewed it up and spit it out.
Ukraine is now losing the war very badly, and has absolutely no chance of winning . . . at all.
Their only hope is to have something take place that will bring NATO into the fight. Ukraine is not a member of NATO, yet NATO/US/EU are inextricably intertwined in the war, supplying Ukraine with money and all manner of weapons and intelligence.
It is clear by Monday's announcement, that Ukraine plans to attack Russian Crimea, which will likely result in an utterly massive Russian response. Perhaps so massive that NATO uses it as some sort of excuse to get involved.
The trouble with that is simple: At the beginning of Russia's Special Military Operations, Russian President Vladimir Putin made clear in public remarks that he knows Russia's conventional forces do not compare with NATO; that NATO is superior. He also went on to say publicly that "Russia is also a nuclear power, and many of [Russia's] weapons are superior to all other countries" He went on to say, "If NATO declares Article 5 (collective self-defense) against Russia, "it will be a war that no one will win."
As all educated readers know, the ONLY war that "no one will win" is a nuclear war.
Now that Ukraine is openly telling people in Crimea to build bomb shelters, it is clear Ukraine is planning on attacking (Russia) territory - Crimea- and that will be a massive escalation in the fighting taking place in Ukraine. The world is literally on the precipice of actual nuclear war.
Sadly, the mass-media in Europe and in the United States is not covering these developments very well, and the general public in both Europe and America remain blissfully unaware that we are facing an actual nuclear war,if indeed Ukraine attacks Crimea possibly within weeks.
At the pathetic state of NATO is now the member state can't fight this war ...not unless they have a death wish ...Russia will grind them slowly ......Winter is Coming
 
IMG-20220907-WA0013.jpg
Ona Pro NATO mlikofikia na mahakama zenu
 
Ndio nilitaka kumanisha Golan nasio Sinai ya misri, Mkuu unaujanja mwingi mno na unakwepesha mambo Ila ukweli nikwamba nchi za middle East zikiwa na amani na vita ikaisha pamoja na machafuko mbali mbali ndio utakua mwisho wa Hilo taifa feki la kiyahudi hapo middle East.
Nchi za Middle East vigumu kuwa na amani ya kudumu, hizo nchi zinanafikiana. Saudi Arabia hapo haiipendi Qatar ila haina jinsi, few years ago iliweka embargo ila uzuri Qatar ilikuwa na foreign reserve ya kutosha. Muslims Brotherhood wanaungwa mkono na Qatar ila hawapendwi na Misri na Saudi. Iran haipendwi na Israel na Saudi Arabia. Iraq inagombewa influence baina ya madhehebu mawili. Palestina imetekelezwa na serikali za Kila hadi flighhs za kwenda Israel zimeanzishwa. Mambo ya MENA magumu
 
Kabla ya kilichosababisha machafuko SYRIA hao HIZBULLAH walikua wanapelekewa silaha na IRAN kupitia njia gani MKUU ambao waliweza kupigana vita na ISRAEL 2006
Kiufupi ISRAHELL anajipigia SYRIA tokea jamaa waanze kua na migogoro ndani kwao wala sio IRAN
Hapo jamaa waamue kupigana na ISRAHELL ama kupigana na wanaosumbua ndani
Kabla ya kilichotokea 2011 ISRAHELL asingweza kupambana na SYRIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Israel yupi ambaye asingeweza pambana na Syria. Syria huyu huyu ambaye hawezi zuia wahuni mtaani mpaka aitwe Iran na Urusi, Syria huyu ambaye Islamic State ilitafuta breeding ground ikampata yeye na Iraq kama nchi dhaifu ndio waanzie kujitanua.

Syria na Egypt ziliungana enzi zina nguvu zikaishindwa Israel sembuse leo. Na kilichotokea 2006 ndio kinafanya Israel izuie majaribio yote ya kuwapa silaha mahasimu wao, haitaki ipambane na matumizi ya silaha bali inataka izuie silaha kuwafikia. Kama Russia ingeharibu hizi HIMARS isingekuwa inateseka nazo
 
Okay, kwa hiyo wawapatanishe patanisheje kwa mfano?
Kumbuka Russia ilipofanya evacuation kutoka Kyiv ilisemaje na muda huo mazungumzo yalifanyika. Case kama hiyo inaweza tumika.

Ili Russia ikubali upatanishi inabidi ipate sababau ya kuondoa kuonekana imeshindwa. Ili Ukraine ifikie hatua hiyo inabidi ishinde counter offensive kadhaa na ionekane ina uwezo wa kupigana zaidi. Sasa hivi wote wanakaza vichwa
 
Unaongea tu pumba wala ujafatilia tukio vizuri.ndege ilikuwa inarudi kutoka kwenye mission.kwa iyo walikuwa wanajiandaa kutua.ghalfa wakapata warning ya kuwa wameingia kwenye target ya anti air missile(kumbuka ni kitu ambacho awakukitegemea maana wanajua wapo eneo salama)
Israel sio kwamba ni mbabe wa yeyote dunia hii wala hatunishiani misuli na mtu. Yupo kwa ajili ya kulinda maslahi yake ambapo kama hamuwezi kubaliana kwa jambo basi mtashindana, watu hawawezi kufanya makubaliano kisha tuseme mmojawapo anaomba ruhusa.
Sielewi hiyo surveillance aircraft ya Russia ilishindwaje kuona air defence system zimekuwa activated wakati ni mojawapo ya kazi yake. Hata fighter jets tu zinakuwa na radar receivers kama hizo za Israel zilivyoweza tambua
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 7, 2022)

Part 1 (read Part 2)

◽️ Successful offensive of Russian Armed Forces in the Donetsk People's Republic has resulted in total liberation of Kodema from nationalists.

Over the past 24 hours, due to high losses in manpower and equipment, Ukrainian forces have carried out no offensive operations at Nikolayev-Krivoy Rog direction.

💥 Russian Aerospace Forces, missile troops and artillery continued high-precision attacks at AFU units and reserve forces at this direction.

💥 High-precision attacks have resulted in the neutralisation of 24th Mechanised Brigade's command post near Olenovka (Nikolayev region), the manpower and military equipment of 46 Airmobile Brigade near Belogorka, Sukhoy Stavok and Andreyevka (Kherson region), as well as of 61st Infantry Brigade near Visunsk and Yavkino (Nikolayev region).

💥 Attack launched by Russian Aerospace Forces has resulted in the elimination of a munition depot of 406th Artillery Brigade of the AFU near Peremoga (Nikolayev region).

💥 Fighter aviation of Russian Aerospace Forces and air defence means have destroyed 1 MiG-29 near Tokarevo (Kherson region) and 1 Su-25 near Komsomolskoye (Nikolayev region).

▫️Due to high losses, the personnel of 57th Mechanised Infantry Brigade near Belaya Krinitsa (Kherson region) and Velikoye Artakovo (Nikolayev region) refused to fulfil combat tasks and abandoned its positions.

📊 The enemy has lost a total of 4 tanks, 6 infantry combat vehicles and 5 other armoured vehicles, 2 pickups with large-calibre machine guns and over 150 servicemen at Nikolayev-Krivoy Rog direction over the past 24 hours.

Russian Federation Armed Forces continue the special military operation.

💥 High-precision air-based armament has destroyed a depot with over 5,500 tonnes of fuel intended for AFU military equipment near Krivoy Rog (Dnepropetrovsk region).

💥 High-precision ground-based armament has neutralised a provisional base of a unit from Kraken nationalist group near Kharkov. Up to 30 nationalists and 10 motor vehicles have been destroyed.

💥 Concentrated fire attacks launched at the combat positions of 113th Territorial Defence Brigade near Prishib, Yavorskoye and Andreyevka (Kharkov region) have resulted in the elimination of up to 40 and wounding over 80 AFU servicemen.

Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery continue launching attacks at the military facilities in Ukraine.

💥 6 AFU command posts near Chuguyev, Dergachi, Prishib (Kharkov region), Artyomovsk, Soledar, Kurakhovo (Donetsk People's Republic), as well as 47 artillery units, 143 AFU manpower and military equipment concentration areas have been neutralised.

💥 Workshops for manufacturing rockets for Ukrainian Olkha MRLS have been destroyed near Konstantinovka (Donetsk People's Republic).

💥 3 missile, artillery armament and munitions depots have been destroyed near Liman (Kharkov region), Ocheretino (Donetsk People's Republic) and Gulyay Pole (Zaporozhye region), as well as 1 U.S.-manufactured counter-battery radar have been destroyed near Zelenodolsk (Dnepropetrovsk region).

💥 Air defence means have shot down 8 Ukrainian UAVs near Kamenka, Kapitolovka, Izyum, Pimonovka, Bolshiye Prokhody (Kharkov region), Kirillovka (Donetsk People's Republic), Lyubimovka (Zaporozhye region) and Golaya Pristan (Kherson region).

💥 20 projectiles of HIMARS and Olkha MRLS have been intercepted near Kakhovka hydroelectric plant, Korsunka, Novaya Kakhovka, Golaya Pristan (Kherson region), as well as 1 Tochka-U ballistic missile near Valuyki (Lugansk People's Republic).

📊 In total, 292 airplanes and 152 helicopters, 1,897 unmanned aerial vehicles, 373 air defence missile systems, 4,855 tanks and other armoured combat vehicles, 825 combat vehicles equipped with MRLS, 3,369 field artillery cannons and mortars, as well as 5,360 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Kumbuka Russia ilipofanya evacuation kutoka Kyiv ilisemaje na muda huo mazungumzo yalifanyika. Case kama hiyo inaweza tumika.

Ili Russia ikubali upatanishi inabidi ipate sababau ya kuondoa kuonekana imeshindwa. Ili Ukraine ifikie hatua hiyo inabidi ishinde counter offensive kadhaa na ionekane ina uwezo wa kupigana zaidi. Sasa hivi wote wanakaza vichwa
Naomba nitofautiane nawe kwenye Ukraine kukaza kichwa, maamuzi ya kumaliza huu mgogoro kwa upande wa Ukraine hayako kwa Zelensky bali kwa Mabwana wakubwa zake kule Washington ...na hao tayari wamesha invest kiasi kikubwa mno kwenye hii project na ndio wanaokaza vichwa ....Waliwekeza wakiamini kuwa Ukraine hatimaye ingemdhibiti Mrusi na nia zao ovu zingetimia ..lakini mambo yamewaendea kinyume
 
Pata sehemu ya pili

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 7, 2022)

Part 2 (read Part 1)

⚠️ Despite the presence of IAEA representatives, Kiev regime continues its provocations at Zaporozhye power plant aimed at creating a possible technological disaster.

◽️ 3 artillery attacks launched at Energodar have been recorder over the past 24 hours. A total of 16 projectiles have been launched from Ilyinka and Marganets located at the opposite shore of Kakhovka reservoir.

◽️ An impact to a transformer substation has resulted in leaving the city without electricity.

◽️ Enemy firepower has been neutralised by Russian artillery's counter-attack.

◽️ The radiation environment at the Zaporozhye nuclear power plant remains normal.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Naomba nitofautiane nawe kwenye Ukraine kukaza kichwa, maamuzi ya kumaliza huu mgogoro kwa upande wa Ukraine hayako kwa Zelensky bali kwa Mabwana wakubwa zake kule Washington ...na hao tayari wamesha invest kiasi kikubwa mno kwenye hii project na ndio wanaokaza vichwa ....Waliwekeza wakiamini kuwa Ukraine hatimaye ingemdhibiti Mrusi na nia zao ovu zingetimia ..lakini mambo yamewaendea kinyume
Ukraine inapewa silaha ili pamoja na mambo mengine liwe fundisho kwa Russia kwamba hatoweza msumbua jirani yake mwingine.

Ukraine inataka kukomboa maeneo yake kama Donetsk na Luhansk na ikiwezekana Crimea, hiyo ndoto wanayo na wanataka sana tu. Sasa unasemaje wanatumika?
Nikija kwako kukufukuza na kuchukua mali zako kisha jirani yako akakusaidia kunizuia nitasema unapigana kwa ajili yake?
Kati ya Westerns na Ukraine nani ana uchungu zaidi na nchi, nani anasaidiwa na nani kavamiwa
 
Unaongea tu pumba wala ujafatilia tukio vizuri.ndege ilikuwa inarudi kutoka kwenye mission.kwa iyo walikuwa wanajiandaa kutua.ghalfa wakapata warning ya kuwa wameingia kwenye target ya anti air missile(kumbuka ni kitu ambacho awakukitegemea maana wanajua wapo eneo salama)
Tunarudi palepale kwamba Israel haombi ruhusa, anatoa taarifa tu. Na Uturuki mwenyewe alishawahi idungua ndege ya Urusi iliyokuwa inakatiza anga lake kwa dharau kwenda Syria na hamna kitu kilitokea wakaishia kulipa fidia kwa familia ya rubani. Na Uturuki ilikuwa ishawaonya
IMG_20220907_135147.jpg
Hizi habari za kusema Russia inaombwa ruhusa nazikataa. Kama haitaki makubaliano itumie silaha zake
 
Back
Top Bottom