Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super power akatoe vijana wake maana wanakufa kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sidhani kama huyu super pawer wa mchongo atakuja kusahau hiki kipigo aisee [emoji848][emoji848]
 
Hahaha wazee wa Iskander, Ballistic na Supersonic missile wakishikwa wanakuwa wadogo sana.Wapige zile wanaita INTERCONTINENTAL MISSILE linafika marekani dakika 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Israel sio kwamba ni mbabe wa yeyote dunia hii wala hatunishiani misuli na mtu. Yupo kwa ajili ya kulinda maslahi yake ambapo kama hamuwezi kubaliana kwa jambo basi mtashindana, watu hawawezi kufanya makubaliano kisha tuseme mmojawapo anaomba ruhusa.
Sielewi hiyo surveillance aircraft ya Russia ilishindwaje kuona air defence system zimekuwa activated wakati ni mojawapo ya kazi yake. Hata fighter jets tu zinakuwa na radar receivers kama hizo za Israel zilivyoweza tambua
Mkuu usiwe na ubishi wa ajabu.
1. Israel haina ubavu wa kutunishiana msuli na Urusi hata kwa jambo moja.
2. Air defences za urusi s400 ndio bora zaidi kuliko zozote zile mpk muda huu tunaoongea
3. Israel wanahitaji greenlight ya urusi ili wafanye mashambulizi yao kwenye ardhi ya syria. We ita kukubaliana au kuomba ruhusa it sounds the same to me. Km huwezi kufanya jambo lako mpk ufanye kwanza makubaliano na mtu mwingine kuhusu hilo jambo ni sawa na kuomba ruhusa tu.

Kuhusu hiyo ndege km huelewi ngoja nikueleweshe. Pale syria kuna mifumo inalinda anga la syria ya syria na ya urusi. Urusi ni ally wa syria. Ndege za urusi zinaposhuka kwenye base zake huko syria haziofii chochote maana mifumo inayoweza kuzishambulia ndege ni ya ally wao syria na ya kwao wenyewe warusi. Waisrael on the other hand ndege zao pale syria zinakuwa considered km ndege za adui. Ndege zao zilipoingia syria kwenda kushambulia automatically either s400 au s200 ya syria ingekuwa activated kulinda anga dhidi ya ndege za adui. S400 haikuwa activated kufuatia makubaliano ya pm wa israel na raisi wa urusi ila s200 za syria zikawaka.

Ilitakiwa kbl israel hajaenda kushambulia atoe taarifa kwa urusi ili waondoe ndege zao karibu na eneo la tukio na syria walitakiwa wahakikishe hakuna ndege za urusi angani wakati wakijaribu kushusha ndege za adui (israel). Hakuna aliyefanya alichotakiwa kufanya. Israel alichelewa kutoa taarifa kwa urusi kilichopelekea ndege yao kudunguliwa.

Ndege ya urusi ilikuwa ni ndege ya surveillance sio ndege vita (fighter). Ni lzm tu ingekuwa hit kwa sababu haijawa designed kujilinda na mashambulizi ya mifumo ya kulinda anga ya ardhini. Ni ndege tu ya kawaida.
 
Tuliwaambia hichi kipigo Counter offensive lazima mrusi anyooke kama nawaona pro Russia mnachungulia nakutoka mnashindwa kutuma articles zenu mnasubiri papoe bado zipo video za mateka zaidi nazileta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220907-180319_Chrome.jpg
 
Pro Russia njoooni hukuuu, [emoji2] Msichungulie tu na kukimbia

Njoooni mshuhudie super pawer wa mchongo anavyohenyeshwa
 
Hivi kupanda kwa gharama za maisha kisa vita hazijawachosha mpaka leo? Mrusi hakujui, mmarekani hakujui unakazana huku. Bando ni aghali, chakula aghali, usafirishaji ghali halafu watu mpo bize na Urusi na Marekani. Kweli sie waTz aisee
 
Dynamic footage of the work of Lugansk scouts to detect enemy positions near Soledar.

The allied forces of the ORB unit of the NM LPR moved into the so-called "gray zone" in order to detect well-camouflaged positions of the Armed Forces of Ukraine, which could not be identified from the air.

Having overcome minefields, the fighters reached the alleged lines of the enemy, where they discovered his trenches and dugouts - a fleeting battle ensued, during which the scouts won a landslide victory - a Ukrainian bullet only once hooked a Luhansk soldier, and then it slipped through the armor
After that, the guys successfully returned to the location with the necessary intelligence.
Thanks to this brilliant operation, the enemy positions were subsequently destroyed by our artillery in the shortest possible time.418:58


.
 
Back
Top Bottom